makamu wa rais mh ali mohamed shein akipozi na waandaaji na wadhamini wa diaspora baada ya mkutano kufunguliwa leo london. kushoto kwake ni waziri wa biashara na viwanda dk mary nagu, gavana wa benki kuu prof. benno na bosi wa masoko na biashara wa crdb tully esther mwambapa. kulia kwake ni balozi mwanaidi maajar, waziri wa biashara na utalii wa zanzibar mh. samia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. HATA MAALIM ABDALLAH PIA ALIKUWEPO WA KUSHOTO ALIESIMAMA...YAEEKEA ULIKUA MKUTANO WA KAFU HUO

    ReplyDelete
  2. Kazi kweli kweli Watu Mikonoooz utawaona, lakini mDr.Shein wa watu kajipanga vyema mikono ya aka, lakini wengine lazima waishikanishe yakwao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...