Wengine toka shoto ni Waziri Jumanne Maghembe na wa pili shoto ni Profesa Issa Shivji,Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Balozi Fulgence Kazaura na kulia kwake ni Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba na wanne kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Profesa Rwekaza Mkandara
Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
na yule aliye kushoto kabisa karibu na ukuta ni Prof Yunus Mgaya.
ReplyDeletezidumu fikra sahihi za mwenyekiti
ReplyDeleteLakini siyo fikira zote za Nyerere zilikuwa sahihi. Na zingine haziko viable kwa sasa.
ReplyDeleteNdo maana wanasema zidumu zile zilizokuwa sahihi, zisizo sahihi zilale mbele tu, hatuna haja nazo.
ReplyDeleteSAFI SANA MAMAAA, KWELI BWANA KUFA KUFAANA. UNAPENDEZA KAMA KAWA. HONGERA.
ReplyDeleteKunako majaaliwa, nafasi kama hiyo ipatikane pia kwa Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, na Jakaya Kikwete
ReplyDelete