Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda akiagana na Mama Maria Nyerere baada ya kuzindua The Mwalimu Julius Nyerere Research Chair in Pan-African kwenye ukumbi wa Nkrumah katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam leo.
Wengine toka shoto ni Waziri Jumanne Maghembe na wa pili shoto ni Profesa Issa Shivji,Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Balozi Fulgence Kazaura na kulia kwake ni Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba na wanne kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Profesa Rwekaza Mkandara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. na yule aliye kushoto kabisa karibu na ukuta ni Prof Yunus Mgaya.

    ReplyDelete
  2. zidumu fikra sahihi za mwenyekiti

    ReplyDelete
  3. Lakini siyo fikira zote za Nyerere zilikuwa sahihi. Na zingine haziko viable kwa sasa.

    ReplyDelete
  4. Ndo maana wanasema zidumu zile zilizokuwa sahihi, zisizo sahihi zilale mbele tu, hatuna haja nazo.

    ReplyDelete
  5. SAFI SANA MAMAAA, KWELI BWANA KUFA KUFAANA. UNAPENDEZA KAMA KAWA. HONGERA.

    ReplyDelete
  6. Kunako majaaliwa, nafasi kama hiyo ipatikane pia kwa Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, na Jakaya Kikwete

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...