Habari za siku wakuu,
Bado sijapata response toka kwa Mjumbe na Chris.Kuhusu hili sitakaa kimya kama nilivyokaa kimya nilipokosa response kuhusu kampeni ya uchaguzi.Hivyo naendelea kuleta kipande kingine na naendelea kuwa optimistic kuwa utafika wakati tutaelewana.
This may help fellows to get another side of Zimbabwe's problem and why the "west" is largely responsible...Some sides of that problem will not be covered on BBC or CNN.
Frazer is now travelling in Africa to lobby for africans to hate each other,and I still hear africans saying the west is not at all responsible for the crisis in Zimbabwe.
Its hard to comprehend why some fellows dont get it!
http://www.youtube.com/watch?v=CjHen9BupDI&feature=related
If we dont stand against them today they will come to do it to us tomorrow...
Nawatakia weekend njema...
ze marcopolo


Jongwe kaongea ukweli mtupu! Tujaribu kutafakari kabla ya kufisadiwa. Jongwe kawagomea kufisadiwa ndo anaonekana dictator wa kutupwa! Nyie mnao katiwa 10% na kisha mkatulia ndo mnaitwa nchi yenye AMANI. Eeeh Mungu inusuru Zimbabwe, inusuru na Tanzania yetu kutoka katika ufisadi huu na VIJISENTI.
ReplyDeleteWasiojua historia ndio wanaweza kuchanganywa akili juu ya kuhusika kwa US na UK kuigombanisha Zimbabwe na majirani zake na kuwa tayari kuwapa kina Mwanawasa pesa ili wampinge Mugabe.
ReplyDeleteSomeni historia ili mpate kuelewa umuhimu wa kuwaheshimu watu wanaotaabika kwa niaba yenu.
Mimi nimejaribu sana kuwaeleza marafiki zangu wa kimarekani kwamba waafrika wanafikia wakati wanachika kunyanyasika ndio maana wanafikia hatua kama ya Mugabe, ingawa waut wengi hawapendi kuangalia ukweli uliopo na kukubaliana na Marekani na Uingereza. Hata baadhi ya waafrika hawaelewi kinachoendelea, wanakubaliana na wazungu. Wakati umefika waafrika waamke na kutetea haki zao.
ReplyDeleteIn as long as we cannot make ends met,eg basic neccesities like food, shelter,etc etc the west will always use carrot and stick policies to put us in our place.no matter how we shout or argue that is the undeniable truth. GOD BLESS AFRICA
ReplyDeleteZe Marco Polo Iam sorry to tell you. Hawa cviongozi wa Africa wameshatudanganya vya kutosha. Now we say enough is enough. Africa is RESPONSIBLE for its own predicaments! Hivi wazungu ndo wanaiba kura, wazungu ndo wanaiba pesa za EPA? wazungu ndo wanaiba Richmond, wazungu ndo wanatusainia mikataba fake ya Buzwagi? Please, we are grown up enough..enzi za zidumu fikra za mwenyekiti zimeshapitwa na wakati. Wazungu wanatumia ujinga wetu kufanya wapendavyo..kama Chenge aliiba jasho letu akawapelekea..unataka wao wafanye nini?
ReplyDeleteJenday might be wrong...but she is just stating the obvious kwamba Mugabe aliiba kura, NANI HAJUI HILO KWANI?...just say she is saying kitu ambacho viongozi wa Africa akina Kikwete na SADC wanaogopa kusema wazi kwa sababu na wao wako huko huko kwenye league ya akina Mugabe!
I used to think your way, lakini nilishagundua...Waafrica sisi ndo wachawi wa maendeleo yetu!
Unless tulijue hilo..tutaendelea kulalamikia wazungu..Tofauti yao..wao wanaongea kitu ambacho sisi tunaogopa kusema hadharani..
So Jenday Frezer..mi sioni kibaya alichofanya zaidi ya kuwaambia ukweli wahusika...
Kama Kibaki aliiba kura..leo mnalalamikia wazungu? Jamaa mpaka alivyofokewa na Condoleeza Rice ndo akakubali kushare power na Raila...Waafrika tunasikitisha saaana. We are never short of excuses..hata kama wazungu wanaply part katika migogoro yetu, kiasi kikubwa ni sisi na uroho wetu wa kuwa na mali ambazo hata kuzitumia hatuwezi..sasa mtu kama Mkapa mihela yote hiyo kama siyo ULAFI ni nini? Peeeew..inaudhi sana....
JOngwe alitekeleza makubaliano waliyoahidiana na Serikali ya Uingereza, ambayo kabla ya serikali ya Labour kuingia madarakani yalianza kutekelezwa, ilivyoingia tu hiyo serikali chini TB wakakataa kuyatekeleza. Huwezi kuacha watu wako zaidi ya asilimia 90% bila ardhi halafu ukasema nchi iko huru. Cha msingi ni UK kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa wakati wa uhuru wa Zimbabwe. Kuna Wazimbabwe ambao wanafahamu ukweli na hali halisi, kwani wao ndio waliokuwa wakilima kwenye mashamba ya wazungu kwa mshahara wa chakula (unalipwa pesa halafu unaambiwa lazima ukafanye shopping ya mahitaji yako kwenye duka la bosi wako mwenye shamba). Na huyo Tsvangirai alishaahidi kuwa akipata urais atawarudishia wazungu mashamba yao! Kauli hii ndio iliyomponza hazikuibwa kura wala nini, wazungu wako tayari kuiba kura ili Tsv. ashinde, nani asiyetaka ardhi ya Africa sasa hivi? Tunashuhudia sheria za ardhi zikibadilishwa kila siku ili iwe rahisi kwa wawekezaji kumiliki ardhi! Yanayotokea Zimbabwe na Afrika Kusini yako njiani kutokea na kwingineko ambako minority wameng'ang'nia ardhi na majority wanateseka kwa dhiki. Tuache kutawaliwa kifikra na kulishwa propaganda. Jongwe ni mwanaume wa shoka ndio maana nchi za Africa zinamuunga mkono, tumechoka ukoloni mamboleo ambao unarudi kwa kasi kubwa kwa kuwa tu baadhi yetu waafrica hatuelewi vita iliyoko mbele yetu. Kama ni kuiba kura hata GB aliiba kura!
ReplyDeleteKila siku kufuata wanachosema wazungu matokeo yake sasa dunia inakumbwa na uhaba mkubwa wa chakula tena wa kutisha na bei za vyakula kupanda kila kukicha. Na nchi masikini ndio zitaumia zaidi. Mozambique waliambiwa na IMF kuwa hawana haja kulima mchele wataagiza kwa bei nafuu kutoka Asia, leo hii wanawacheka eti Mozambique wana ardhi yenye rutuba lakini wana njaa hawalimi chakula, wakati wao wamewapa watu mashamba makubwa kwa ajili ya kulima miwa ya biofuel! Ni Jongwe tu ambaye anakataa ujinga wao na anayeadhibiwa kwa kukataa ujinga na wakubwa. Hata siye siku viongozi wetu wakisema noo basi utaona vikwazo vya kiuchumi kama vinvyoekewa nchi za Cuba, Iran na wengineo.
Waafrika tuamke! Tuache kumtafuta mchawi kwa kila tatizo letu. Viongozi wetu wanatumaliza. Mugabe anawatesa wananchi wake yeye mwenyewe ambao ana claim anawapenda. Anawapenda wapi? Kama anawapenda maswala ya ardhi angeyakalia kidete tangu miaka ya 1980s na 1990s na sio baada yakuona popularity yake inafikia ukingoni. Muda wakutumiana uishe. Wazungu walikuwa ndio marafiki wakubwa wa Mugabe na wakashirikiana vizuri kuwaumiza na kuwanyonya wazimbabwe wanyonge. Mugabe has to go! And he is going this time whether he likes it or not.
ReplyDeleteAkhsante sana Ze MarcoPolo na usichoke kuendeleza hii kazi nzuri sana.Ni waafrika wachache ambao tunaishi huku nje tunavifahamu vitu hivi sasa wewe umewafungua macho wengi. Maneno anayozungumza Rais Mugabe mimi nilimsikia Lord Owen ambae wakati wa uhuru wa Zimbabwe yeye alikuwepo Lancaster House kama Foreign Secretary wa Uingereza na alisema Rais Mugabe ana kila haki ya kufanya anavyofanya. Tukumbuke juzi tu hapa, Kenya watu walikuwa wanachinjana lakini hawa waungwana walikunja mikono wakasema watu wakae na wazungumze, sababu? Mtu wao ndie alieshindwa na ndio chanzo cha zile vurugu. Leo wanasema Mugabe kashindwa na waafrika waungane kuhakikisha anatolewa yeye pamoja na Lancaster agreement na Mbeki ameshayaona hayo. Mungu ibariki Afrika na sisi tudumishe umoja na amani......
ReplyDeleteImekuja hoja kuwa Mugabe anawatesa wazimbabwe.Hii sio kweli!
ReplyDeletewanaowatesa watu wa zimbabwe ni wale wanaoweka fitina ili Zimbabwe isiweze kununua au kuudha bidhaa nje ya nchi.
Na tusidanganyike kuwa wazimbabwe "weusi" hawawezi kulima.Hii sio kweli.
Siku zote wazimbabwe "weusi" ndio waliokuwa wanahudumia hayo mashamba.
Kilichotokea ni kwamba commercial banks zilikataa kuwapa mikopo.Hata wale wanaosifiwa kuwa walikuwa wakulima wazuri wangenyimwa mikopo,wangeyashindwa mashamba.
Mugabe anateseka kisaikolojia sasa hivi lakini lengo nililokuwa nalo ni kusisitiza kuwa Mugabe na watu wa Zimbabwe hivi sasa wanateseka kwa niaba ya wengi.Hivyo tusiwabeze na kuwafanyia mzaha.
Kulingana na Utaratibu wa kupata Uhuru wa Zimbabwe ulivyo,ukweli ni kwamba Zimbabwe ilikuwa bado haijapata uhuru.Na sasa wameamua kujinyakulia uhuru huo(baada ya kuona porojo za Lancaster haziwezi kuwahakikishia uhuru) ndio maana unaona wale wote wasioheshimu/wanaoogopa uhuru wa wenzao wanawafanyia fitina.
Nisingependa kumchanganya Tsvangarai kwenye huu mjadala,ila nitagusia point moja tu.Kampeni yake inakuwa funded na 400 former farm owners-I think the message is clear...
Natoa changamoto kwa wale wasioona fitina za "west" wafuatilie Historia ya Zimbabwe ya mwaka 1964 mpaka 1979 wakati Ian Smith alivyojinyakulia nchi kwa kuasi utawala wa Uingereza na kuwafunga kina Mugabe.
Hivi ndivyo jinsi Kaunda anavyoliona tatizo la Zimbabwe,
http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/6728015.stm
MAFANIKIO YA ZIMBAMWE NI MAFANIKIO YA WOTE WANAOTHAMINI UHURU.
Curriculum ya Tanzania iliyojikita kwenye sera ya ujamaa na kujitegemea ndio iliotufanya watu wengi tuwe biased na mawazo yetu. Hebu watu waliangalie hili suala la Zimbabwe kwa mabana yake: Hivi ni kweli Western ndio source ya matatizo yaliyopo leo Zimbabwe? Nini mchango wa ZANU PF na vingunge wake katika mahangaiko ya leo ya wa Zimbabwe? Hivi ni lazima Mugabe tu awe mgombea tokea ZANU PF? Kwanini wanachama wengi wenye nia yakuongoza Zimbabwe kupitia chama cha ZANU PF hawapewi nafasi? What happened to Simba Makoni? Tvsangarai haingii popote katika haya. Wa Zimbabwe wanataka mabadiliko hata Kaka Michuzi kutoka Tanzania (a.k.a mkuu wa wilaya ya Tegeta)angesimama na Mugabe angepewa kura nyingi na wa Zimbabwe. Na kwa taarifa yenu kama kuna watu wanaommaliza Mugabe ni viongozi wa Africa ambao watu wengi wanadai wameamua kunyamaza kimya ili kumuunga mkono. Kama kweli wanamuunga mkono kwanini wamekataa kuruhusu meli yake yenye mabomu yakuua wapiga kura wake isitie nanga kwenye fukwe zake? Na kama wana hoja za kimsingi nawasimame waseme. Hakuna asiyeweza tambua uzito wa hoja. Huyo Thabo Mbeki kati ya issues zilizommaliza ndani ya ANC ni pamoja na issue ya Zimbabwe. Ndio maana kuna contradiction ya opinion kati ya Thabo Mbeki na ANC leaders. Jamani Babu 'Mugabe' amechemsha this time! Priiiiiiiiiiiiiiiii Mugabe get out of the office. Waache wa Zimbabwe wajipange upya.
ReplyDeleteNi kweli kwamba ufisadi ni kitu kibaya sana kwa Afrika, lakini hiyo siyo sababu ya wazungu kuwanyanyasa waafrika na kuwafanya kana kwamba hawawezi kufanya lolote bila msaada wa wazungu. Inabidi waafrika shikamane na kulaani ufisadi kutoka kwa viongozi wetu, na vilevile kutoka kwa wazungu.
ReplyDeleteNi kweli viongozi wa Afrika wana matatizo na matatizo yenyewe ni rushwa na Ufisadi,wizi wa kura....brabrabrabra.
ReplyDeleteLakini hawa Wazungu wa (Western Countries)ndio chanzo cha migogoro yote hasa inapofika kipindi cha uchaguzi,kwani mara nyingi wao upendelea kiongozi ambao wao wanamtaka na sio hali halisi ya matokeo ya Uchaguzi yanapotokea.............kumbukeni Rwanda,Zaire,Angola na Siera Leon ukikumbuka jinsi walivyoacha Watu wauane Rwanda huku Askari wao wakishuhudia mahuaji yale na wao bila kuingilia wakisema kwamba wao ni waangalizi tu wa Amani na sio walindanda Amani na wakafungasha virogo na kuacha mamilioni ya raia wakiuliwa pasipo sababu ya msingi.Wao wangeweza kuripoti lile tuio kwenye Umoja wa Afrika kabla ya kuondoka lakini hawakujali hilo na waliacha mamia ya weusi wakiteketea, sababu kubwa walikuwa hawana chochote cha maana walichokuwa wakikipata Rwanda.
Tukija Angola vita vimedumu miaka nenda miaka rudi kwa sababu walikuwa wanampiga tafu Savimbi (SASA MAREHEMU) ili wanunue dhahabu kwa risasi ili ziwaue weusi.
Lakini swala la Siera Leon waliweza kulizima mara moja na hapa ndipo utajua kwamba hawa watu sio wazuri hata kidogo ukienda kinyume nao unakuwa Dicteta na ukiwa rafiki yao wanakwita shujaa.
Sishangai watu hawa walishamwita Mandela terrorist kama mnakumbuka Margret Thatcher waziri wa uingereza kipindi hicho mpaka hivi juzi bwana mdogo David Camerron ndio anakuja kuomba radhi kwamba ilikuwa ni makosa kumwita mandela terrorist.
hii ni mifano tosha ya hawa jamaa, hata nyerere alipokuwa anawawekea ngumu kuwekeza walijaribu kutaka kuiua kabisa Tanzania kwenye uchumi na hata kujaribu kutangazia dunia kwamba kilimanjaro ipo Kenya na sio Tanzania.
Tukija kwa Mugabe alikuwa rafiki yao mpaka pale alipochukua mashamba ya wazungu wenzao kitu ambacho Afrika nzima ilifanya baada ya uhuru (Mfano Tanzania Azimio la Arusha) Sasa leo iweje wamwite Mugabe Dicteta.Hawa jamaa wanatushangaza angalia kipindi cha ubaguzi wa rangi weusi waliokuwa wanagombania ardhi yao walikuwa ni maadui kwao na wale wazungu ndio walikuwa mashujaa kwao,ni kitendo cha ajabu sana kuwakumbatia na kuwaamini hawa jamaa.
je mbona wanashindwa kusema ukweli kuhusu Israel kukalia Ardhi ya Wapalestina?
Imefika muda Waafrika kujifunza historia na tuje na njia yetu pekee ya kujisaidai lakini sio ambayo tunayo sasa Tanzania Ufisadi na rushwa nikiwa na maana njia fasaha ya sheria na haki za binadamu sio ubabaishaji
Popobawa
Kwanini kila kitu wanategemewa wasest wafanya? Na wakienda kufanya wanaitwa bullies.
ReplyDeleteMimi naona mambo mengine tunajitakia wenyewe.Kwani kura wanapiga wawest au wao?
Wachachamae kama kenay mpaka kieleweke...Kama wote wanataka kuwa viongozi wafanye kama Kenya.
Imefikia muda Africa we need to stand and be responsible for our own problems.
Haya mambo yatatukuta hata sisis soon...Vijana tunachoshwa na mambo yanayoendelea na wakubwa wetu bila kujali maslahi ya taifa la sisi watu wakesho...
Utaona mifano kila siku watu wanapishana viti tu...Mtu akiiba hapa anahamishiwa hapa, au kama jazba lake ni kubwa anaambiwa jiuzulu bila kufanyiwa chochote...Inachosha na inakatisha tamaa sana..
kama Mugabe anaipenda sana nchi yake kwanini asimwachie kijana au mtu mwingine naye ajaribu kuona nini kitabadilika? Sasa uchaguzi umekua stall wanasubiri wawest waseme kitu ndio waanze tena.....
Na Angola wameshakubali kupokea huo mzigo kutoka China tusubiri mapambano tu hapa. Wataanza kupigana mpaka WAWEST waje wawaambie acheni kupigana. Bill Cosby anasema kila siku. They are watching us and laughing at us. Hilo li meli lililokuja na silaha huko za kumuua nani? Jamani we need to wake up.
ReplyDeleteYaani hata kuchagua kiongozi hatuwezi wenyewe. Kila mtu anataka kuwa kiongozi. Muda umefika baba waachie wengine. Kwani hawawezi kucount hizo kura ua ni ufisadi umezidi? Hata kuhesabu kura anatakiwa akatiwe mtu kitu kidogo. Karibu mwezi hamna matokeo. Halafu watu wanalalamika mbona CNN na BBC hawatangazi au mbona Marekani haisemi kitu. Kwanini waseme kitu. Nao wanamatatizo yao mengi tu. Misaada tupewe na kuchagua viongozi tusubiri watu watushtue ndio kieleweke. Juzi Kenya mpaka wabembelezwe na kuambiwa nini cha kufanya. Sasa huko Zimbabwe matokeo hamna mpaka leo na kesho sijui wapi. It is too much. Tatizo hawa wazee hawataki kuachia vijana waongoze. Halafu mnasema anaipenda nchi. Kama anaipenda nchi be fair kubali matokeo. Na hayo masilaha ninani kayaagiza? Jamani tusipojipenda wenyewe nani atatupenda?
Kweli mtasema MUGABE SHUJAA?
ReplyDeleteHARARE, Zimbabwe - Riot police and intelligence officers ransacked opposition party headquarters and the offices of independent election monitors Friday, hauling away material documenting President Robert Mugabe's apparent electoral defeat.
Hundreds of people were arrested in the raids, which sent a powerful message that Zimbabwe's longtime leader intends to hold onto power despite a growing global clamor for him to step aside and rising violence at home.
Pregnant women, mothers with babies strapped to their backs, girls who had been threatened with rape and men with broken bones were among those herded into a bus and pickup truck during Friday's raid on opposition headquarters.
Morgan Tsvangirai's Movement for Democratic Change and the independent Zimbabwe Electoral Support Network both maintain Tsvangirai won the March 29 presidential vote, based on their own surveys of tallies posted at ballot stations. Official results have yet to be released.
About 250 riot police wielding batons arrested about 300 people in a sweep on the opposition's Harvest House offices in the capital, Harare, the party reported.
It said the detainees included scores of opposition supporters who had sought refuge there from a brutal postelection revenge campaign in the countryside.
"Their homes were burned," said Thokozani Khupe, a party vice president. "Some have been brutally assaulted."
Assistant Police Commissioner Wayne Bvudzijena said those arrested were suspected of "crimes committed in the countryside."
The operation came a day after a U.S. envoy declared opposition leader Tsvangirai the victor and called on Mugabe to step down.
The raids appeared aimed at collecting any information showing Mugabe and his ruling Zimbabwe African National Union lost the election.
"The police ... say they want the documents that the party has that form the basis of our claim that we won the election in general, and the presidential ballot in particular," Tsvangirai's party said.
Police took computers and equipment, and searched for key election-related documents, the party said.
Noel Kututwa, chairman of the independent monitoring organization, said officers from the feared Central Intelligence Organization said they were looking for "subversive material likely to overthrow the government using unconstitutional means."
Kututwa told The Associated Press the raid appeared aimed at intimidating and weakening his organization ahead of any possible presidential runoff.
The official Zimbabwe Electoral Commission stopped announcing results after releasing tallies for legislative contests showing the ruling party lost control of Parliament for the first time since independence in 1980. A recount for 23 constituencies instigated by the ruling party appears aimed at overturning those results.
Mugabe has been under intense international pressure to release the results of the presidential ballot — which independent monitors say have been known since the day after the vote.
Kututwa, of the observer group, said the intelligence officers intended to arrest him and his deputy but they were away from the office. He said both were now in hiding.
The head of South Africa's ruling African National Congress condemned Friday's raids, saying it appeared "somebody is sabotaging the elections" in Zimbabwe. Jacob Zuma told the AP the operations make the country resemble a police state.
Hundreds of opposition supporters have been abducted, tortured and assaulted in recent weeks in what independent religious and human rights groups call a violent crackdown on dissent. Tsvangirai's party says at least 14 of its supporters have been killed.
Mugabe's officials have accused the opposition of violence.
Human Rights Watch told the AP that a campaign against those perceived to have "voted wrongly" has escalated this week.
Carolyn Norris, the New York-based group's deputy director for Africa, said soldiers have joined in torturing and beating people in recent days. Previously, ruling party officials, militiamen and war veterans carried out the violence at informal torture centers in the countryside, the rights group said.
In one case, Norris said, a man's ear was cut off — reminiscent of Zimbabwe's seven-year bush war to end white minority rule, when guerrillas cut off the ears and tongues of people accused of being traitors.
She said the first reports of retaliation by opposition supporters have emerged, with ruling party supporters' homes set on fire in the central Mashonaland East and Manicaland provinces.
Tsvangirai's party had been urging its supporters not to retaliate, fearing it would give Mugabe reason for an even more severe crackdown.
Friday's raids came as the top U.S. envoy for Africa, Jendayi Frazer, was in the region on a diplomatic push to help resolve Zimbabwe's crisis. Speaking in South Africa Thursday, Frazer said: "We think in this situation we have a clear victor: Morgan Tsvangirai won, and perhaps outright."
But the State Department backed off Friday, with spokesman Sean McCormack telling reporters "there are a lot of indications" that Tsvangirai "may well have won," though he would not go as far as Frazer.
Frazer flew to Angola on Friday and met with President Eduardo dos Santos, a staunch Mugabe ally who himself has not held elections since 1992.
Mugabe also sent a delegation that met with dos Santos. Afterward, Zimbabwe's former Security Minister Emmerson Mnangagwa told reporters he expected the election results to be announced in three or four days.
Angola, meanwhile, said Friday that a Chinese ship carrying arms destined for Zimbabwe had been allowed to dock at the Angolan port of Lobito, but only to unload cargo for Angola.
The possibility the weapons could be used by Mugabe's regime to clamp down on dissent had prompted protests from the U.S. and across the region. The Chinese Foreign Ministry said Thursday the weapons would be returned to China.
Mugabe was in Zimbabwe's second city of Bulawayo Friday, opening his nation's trade fair, an annual fixture for more than 40 years. Organizers said just 21 foreign exhibitors, mainly from neighboring states and Asia, attended.
Meanwhile, U.N. officials said that the Security Council will get a briefing on the situation in Zimbabwe next week from the U.N. Secretariat. Secretary-General Ban Ki-moon has repeatedly called for the presidential vote results to be released.
WEE UNAYESEMA WAKULIMA WALISHINDWA KUPATA MIKOPO? KWANI GOVT HAIKUJUA HAYO KABLA HAIJAWAPA HAYO MASHAMBA? BANK NI COMMERCIAL SECTOR NA INAANGALIA MASLAHI YAO. KAMA GOVT ILIONA KIKWAZO HICHO INGETOA MIKOPO KUTOKA KWAO. NA KUWAKOPESHA WAKULIMA. KAMA ANAWEZA KUFANYA BIRTHDAY BASH KUBWA HIVYO NAONA HATA ANGEWEZA KUKOPESHA WAKULIMA HELA ZA KULIMA.
ReplyDeleteWEWE UNAWANYANG'ANYA WATU MASHAMBA AMBAO NDIO WALIKUA WANAFANYA HAYO MABANK YAWE HAPO HALAFU UNAENDA KWENYE HAYO HAYO MABANK NA KUOMBA MIKOPO. IT DOESN'T WORK THAT WAY.
MABANK WANA HIYARI YA KUKUPA MKOPO AU LA. WANAANGALIA RISK FACTOR KWANZA KABLA HAWAJAKUPA MKOPO NA HAO WATU BANK HAIJUI RAIA WOTE WAMEPEWA MASHAMBA.WANGEFANYA KWA AWAMU LAKINI WOTE LEO ONDOKA KESHO WEKA WATU WENGINE. HATA KAMA MIMI NINGEKUA BANK NINGEKATAA.
MUGABE NDIO ALIWATOA WAZUNGU LAKINI AMUACHIE MWINGINE ATAKAYEWEZA KUJA NA IDEA NYINGINE YA KUSONGA MBELE. MZEE WA JUZI ANAYOFIKIRI SIO KAM MZEE WA LEO. NA HATA VIJANA WANAVYOFIKIRI SIO KAMA WAZEE WANAVYOFIKIRI
Wanaodhani kuwa hakuna za hila kuwaadhibu wasiokubaliana na sera za unyang´anyaji wamsikilize huju jamaa
ReplyDeletehttp://www.pbs.org/moyers/journal/04252008/watch.html
Si mliona wanyang´anyaji walivyomshambulia?
amkeni vijana,before its too late.