Ndugu wapendwa:

Kwa niaba ya familia nzima ya Kibodya tunapenda kuwakumbusha hitma ya mzee wetu marehemu Alhaj Abdallah Mkambavange Kibodya (89).


Hitma hapa Marekani itafanyika Jumamosi ijayo tarehe 17 Mei 2008 nyumbani kwa Bwana Ahmad Mkambavange Kibodya

96 Warregan Street,
Chicopee,
Mass 01013

majira ya saa kumi jioni.
Na huko nyumbani Tanzania hitma itafanyika nyumbani kwa baba Yahya Airport Dodoma siku ya Jumamosi tarehe 24 Mei 2008 baada ya salat Asr.

Ndugu zangu, tunarudia tena kutoa shukran zetu za dhati kwa wema, upendo na mshikamano uliouonyesha katika kipindi cha msiba kwani mmeufanya msiba wetu uwe wenu na kutupa wepesi kwa mengi.

Mwenyezi Mungu awalipe yalio mema,
Amen!
Shukran!

Kibodya.


Kwa mawasiliano zaidi:

Isaac Kibodya 413.209.8666 (nyumbani) 413.219.1153 (simu ya mkono)

Ahmad Mkambavange Kibodya 413.315.9023(nyumbani) 413.221.2935 (simu ya mkono)

Khalfan A. Kibodya 044.780.961.7416 (simu ya mkono)

Mohammed A. Kibodya 413.273.4591 (simu ya mkono)

Msemwa A. Kibodya 214.916.0879 (simu ya mkono)

Zainab A. Kibodya 832.208.0316 (simu ya mkono)

Omar A. Kibodya 413.330.2007 (simu ya mkono)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...