timu ya mkoa wa iringa kabla ya gemu lao la ufunguzi na timu ya mkoa wa manyara (chini). matokeo ni kwamba ngoma inogile kwa wana wa iringa ambao wameshinda bao 4-1 na kuwafungasha virago manyara kwenye michuano hii ya mtoano ya safari taifa cup 2008


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...