kundi la ze comedy wakitoa burudani wakati wa ufunguzi wa taifa cup leo neshno. mikoa yote 23 inashiriki kwenye michuano hii inayodhaminiwa na tbl kupitia kilaji chake cha safari


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2008

    Hahaahha Mwanawari AkA mnyalu Joti AkA Hami JAy, na Muona Shemejiiiiiiii! Muhaya AkA mpoki na Mrema Nyuma Yake Kulia Mwanzo namuona Mama Belle. timu imekamilika Ze comedy hawa jamaa wabaya sana. www.eastafricantube.com wama box rudini jamani tujenge taifa manake hata hamsomi kazi nasikia mnajirusha tu alafu mnasema tanzania kubovu kumbe mnaharibu nyie njooeni au mpaka vita ndio mtarudi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2008

    Du Hawa Jamaa Kwa Kujitoa Sadaka Si Kikuku.. Kweli Umaarufu Hauji Hivi Hivi..NUFF RESPECT ZE KUCHEKESHA

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2008

    we luv you guys please keep it up kwa mnalolifanya kwani mnaelimisha na kuburudisha at the same time.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2008

    Hawa jamaa walivyo tu,wanachekesha bado hawajasema.hya sisi wadau wa UK kina Pinto waleteni basi na hao ili tupate kucheka basi

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 07, 2008

    mwanawani!!! Hawajamaa nawafagilia sana. wanachekesha si utani.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 07, 2008

    fantastic,hawa jamaa ni wachekeshaji wazur sana,hata hivyo nasikia bei ya kuwakodisha wakupe vichekesho nasikia iko juu kinoma,big up guys

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 07, 2008

    mashalaaaaaaaaaah! shemejiiiiiiiiiiii! real go! naona vijana wanabonyeza kizenzi.....mdebwedo!lile songi mlilocheza wiki iliyopita la "sipati picha" lilinichekesha sana.
    vena
    Arusha

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 07, 2008

    these guys are something else...they r smart and talented
    joti na mpoki wametoka mbali kweli, i wish u all the best 'ze comedy'
    kip it up

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 07, 2008

    Comedy hawa hamna kitu kabisa. Chati yenu inashuka kwa kasi sana washikaji. Mkiendelea kudorora hivi, haki ya kani baada ya mwaka mtakau historia. Jaribuni kuwa wabunifu zaidi kwani mmetoka kwenye actuality, mmekwenda kwenye illussions. Mashabiki wenu wanaendelea kupungua kila kukicha. KAZENI BUTI

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 07, 2008

    Komedy kwisha siku hizi. siwahi tene nyumbani alhanisi kuwatizama. The group is too local

    ReplyDelete
  11. Kweli ninaamini watu tunatofautina kiakili. Mwaka jana nilipokuwa Bongo nililazimika kuona hawa jamaa kwenye luninga. Nasema nililazimika kwa sababu watu wote waliokuja pale nyumbani kuniona na kunisalimu walitaka kuangalia hii comedy. Yaani nilishikwa na butwaa baada ya kuona ujinga unaofanywa na hawa jamaa then watu hucheka kwa kujinyea na kujikojolea. Kwa kweli inasikitisha, yaani these people bore me to death, their comedy haichekeshi bali inauzunisha. Cha kushangaza eti Bongo hawa ndo Bab kubwa? All I can say ni kwamba ni haibu tupu, na ndio maana hata sinema zetu za kibongo ni za kijinga tu, hakuna plot, setting, wala upuuzi wowote.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 07, 2008

    jitahidini kubuni mambo mapya zaidi

    ili tusiwachoke

    ila wakieleza reality juu ya ufisadi wanatishiwa amani na kutishiwa maisha yao na viongozi

    ila ni kundi zuri,kuweni wabunifu tu

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 07, 2008

    Wewe Anonymous wa saa 11:30am unajuwa kuwa wewe ndio to local... labda ujuwi the difference between "comedy and stupidity"??? Because if you did then you would have said that at all. Now let me translate what I have just said in Kiswahili, maybe you cannot understand English.

    Swahili: Wewe Anonymous wa saa 11:30 asubuhi unajuwa kuwa wewe ndio local....labda ujuwi tofauti ya "vichekesho na ujinga"??? Kwasababu kama ungejuwa, usinge sema kabisa. Wabongo acheni UJINGA!!!!!

    From Mbongo.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 08, 2008

    The comedy ni utumbo mtupu .. kwanza hakuna kuchekesha ila kuonyesha matukio ambayo yalikwishapita ..na mengi ni siasa nani anataka kusikiliza siasa kila wakati ..leteni vituko vya mitaani ..Kuhusu Sinema Bongo nani kasema Tanzania au Nigeria Tunatengeneza sinema .. zile sio sinema bali ni Local Drama ..hakuna realistic humo ..hivi hivi hizo sinema zinaweza kunionyesha mji wa Dar unaungua wote kama tunavyoona za Hollywood!! zaidi ya utumbo wa kudanganyana..

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 08, 2008

    Ze Comedy niliwapenda sana pale mwanzoni ila siku izi mnaniboa. Kwanza kabisa mnshindwa kuelewa kuwa mashabiki wenu ni watu wa RIKA zote. Kuna wakati mwingine mnakuwa na maneno makali mpaka tunajisikia vibaya tunapokuwa na watoto wetu na Watu tunaowaheshimu. Ushauri wangu kwenu; hebu tafuteni vichekesho ambavyo hatutaona haya kuviangalia na kuvisikiliza tukiwa na watoto na Wazazi wetu. Mara sijui mwanafunzi wa darasa la tatu amtia mwalimu wake mimba!!! No; naona haipendezi sana. Pili huwa ninachukia sana tena kuliko sana mnapowaita wanawake ambao ni Mama zenu, Dada zenu, Shangazi zenu "KIBURUDISHO"!!!!!!! Yaani na ujanja wenu wote mmekosa jina la heshima la kumwita Mwanamke?? Karne hii kwa mtu mjanja hawezi kumuita Mwanamke "Kiburudisho" Wangekuwa viburudisho tu leo hii tungeongelea kina Dr. Asha Migiro? Dr. Anna Tibaijuka? Wangari Maathai, Her Exls Rais wa Siera Leon Hillary Clinton, Condoleza Rice na wengineo wengi wenye madaraka katika dunia hii. Kwa haya machache naomba kuwakilisha. Naishiye!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 08, 2008

    Sisi wananchi kwa ujumla tunawapenda sana ze comedy. Nyinyi mnaolalamika mnajua hilo, na hamna uwezo wa kulizuia. Endeleeni kulalamika na kulia, na mtachoka tu. Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji. Au basi, anzisheni kundi lenu ya vichekesho, muwe mnacheka wenyewe.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 13, 2008

    Michu kuna fukunyungu wameniambia hawa jamaa wamemaliza mkataba wao na EA na sasa wapo huru ndio maana wiki iliyopita waliturushia vipindi vilivyopita badala ya kipya hebu fatilia inakuwaje?. Pia nasikia kuna uwezekano wakaibukia TBC?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...