Home
Unlabelled
katikati
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu, jamaa wanasema hapo ni center of the road from cairo 2 cape town.
ReplyDeleteTupatie maendeleo ya karibu trade fair
inanikumbusha pale cape town! wana kitu kama hiki..good job!
ReplyDeleteHapo ni katikati ya Jiji la Arusha au panaitwa Clock tower opposite na Arusha Hotel.
ReplyDeleteKatika ya barabara ya Cairo to CC-RSA ni pale ngarenaro barabara ya Nairobi.
Halafu acheni kuit a-town kwani ushapandishwa hazi ya kuwa jiji toka 1-7-2006
kwa hiyo unaitwa A-City.
Kama hamwamini waalize NAKO2NAKO SOLDIERSSSSS!!!
Prince G
Michuzi utawahi mechi ya Taifa kesho?
ReplyDeleteHUU MLINGOTI ULIWEKWA MIAKA YA ZAMANI WAKATI VIONGOZI WA TANU HAWAKUWA MAFISADI. HAPO KUNA KIBAO KINACHOONESHA KUELEKEA DODOMA WAKATI HUO BARABARA HIYO IKIJULIKANA GREAT NORTH ROAD TOKA CAPE KWENDA CAIRO NA ILIKUWA IKIPITIKA MWAKA MZIMA LICHA YA KUTOKUWA NA LAMI LAKINI KULIKUWEPO KAMBI ZA PWD KILA UMBALI FULANI. HAWA WALIKUWA WAKIFANYA MATENGENEZO KATIKA MAENEO YAO KILA SIKU. SASA BARABARA HIYO HAIPO INABIDI KUPITA CHALINZE! KISA NA MKASA NI UFISADI ULIOKITHIRI.
ReplyDelete