Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2008

    Hii imekaa sawa,ni kweli watanzania inabidi tubadilike na mambo ya ngono,Ngono imekuwa ni fashion in Tanzania watu hawana adabu tena isitoshe wanafunzi ndiyo kabisha wanasikitisha sana,wamesha sahau kama wanatakiwa wajielimishe kwa faida yao na familia zao hapo baadae na sio ngono!...TUBADILKE JAMANI..
    "Kpeace"

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2008

    Kipanya, you are getting wiser by the day, You should have add a grave yard on a roung road to ngono holela , that would have been a perfect message, I suggest.

    Any how a well received by us, modesty approach, an old way is still is a PERFECT WAY, whatever you may say on this, in somehow I partly agree.

    We should pay more attention of this message than our own desire, it is hard to ferment those temptations these modern days life.

    By Mchangiaji

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2008

    mbona wachangiaji wachache, sio kawaida hata wale jamani mnaosema kipanya ''anachemka'' tunataka tusikie angalau tu mseme anachemsha!! kumbe wako wengi humuhumu, ok labda mko busy na assume, du sijawahi kuona!!!!! au labda watu wanatafakari ujumbe,

    NAUNGA MKONO, MAPAMBANO YANAENDELEA,

    mdau
    Canada

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...