Home
Unlabelled
usiku wa kinamama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapa ni Patashika Nguo Kuchanika!Asiye na mwana aeleke jiwe.Kila mtu aje na ndizi zake katika kanzu,pilau watalikuta hukohuko manaake!Kuleni lakini Bakisheni!Msisahau Mdumange,Kitoto,Sindimba,shauri ya moyo na Mameyamwali!Hapo shughuli ya kiTZ itakuwa imekamilika japo kwa 80%!
ReplyDeleteJamani, jamani, jamani...... tumezaliwa, tumekuwa na sasa tumezeeka, sijawahi kusikia usiku wa akina baba! Usiku wa akina baba lini, jamani, kabla hatujafa?
ReplyDeletewaoooooooo aminia mwenyewe baba yake lazima tuibuke uko.
ReplyDeletehee usiku wakina mama, kwa hiyo tusije na wakina baba haya bwana ntakuja kucheza mduara, hayo ndio mambo yangu......... its me single lady toronto.
ReplyDeletewadau wa toronto tunajitahidi sana, hongereni kwa kuandaa hii kitu, tutaonana uko michuzi karibu sana na wewe uje.
ReplyDeleteKaka mithupu ahsaaante kwa tangazo. Naaaaaja mie lkn Finch duh mbona balah tena Finch west kule kwa vichaaa...party naitaka kupigwa naogopa manake mmmh...lkn doooh kuna rusha roooho naenda mie nkarushe watu rooho. Tututututututu
ReplyDeletewacha wacha waseme, watasema mchana eeeh usiku watalaaaaala
Hii poa kabisa tutakuja ila mlichokosea tu ni kuweka huu muziki wa Bongo Flava. Huu muziki ni kwa ajili ya wajinga waliopo huko Bongo sio huku majuu. Wekeni muziki wa nyumbani lakini si Flava, that's NOT OUR MUSIC.
ReplyDeleteHaji mtu huko..Jane and Finch..upige party halafu ukitoka nje gari hakuna au upigwe ngeu...tafuteni sehemu za maana bwana
ReplyDeleteasante sana michuzi, ukweli ni kwamba hii jumuiya ya toronto inaeleweka na mipango yao, asante sana michuzi.
ReplyDeleteMsituwekee Flava, muziki mwingine tutakuja lakini si flava na ushenzi wake!
ReplyDeletemichuzi karibu na wewe, uje kujichanganya huku, wanatoronto msikose jamani, na miji mingine mnakaribishwa.
ReplyDelete