bei yake ni dola milioni 4.8 (madafu ngapi sijui, wadau msaada) na ni gari la 34 la mwana mfalme khaleed wa uarabuni. hiyo inayong'ara ni vumbi la almasi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 40 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2008

    Inasikitisha kuona kuwa muislamu mmoja anaweza kufanya isirafu kama hiyo ilhali kuna waisilamu tele duniani wanahangaika na kufa kwa njaa. Haitoshi hata kidogo kama unasaidia wenzako k iasi gani, ikiwa bado kuna wanaoteseka na wewe unacho cha kuweza kula kesho, ni wajibu wako kusaidia muislamu mwenzako. Wakati wa mtume walipofukuzwa makka, mkate mdogo tu ulienda round nzima kila mmoja akichukua chembe kidogo na kumfikiria mwenzake kuwa yuko na njaa zaidi yake. Tujifunzeni kutoka kwa mtume, tuwacheni israfu na tuwakumbuke wenzetu wanaoteseka dunianii hata chakula cha leo jioni hawajuii kitapatikana vipi

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2008

    MAFISADI MPO , KAZI KWENU SASA SIO MPAKA MFE NDO VIJISENTI VITUMIKE.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2008

    Duh!! hivi kweli hawa jamaa wanakumbuka kwamba kuna watu masikini huku kweli au ndiyo hizo tende wanazotuletea ndiyo zitatusaidia kuondoa umasikini. Kweli fedha kiboko na wakati mwingine matumizi yake ni kama kumkuru mungu vile. Tumia mwana kwani kufa kwaja acha masikini wafe na umasikini wao kwani siyo kosa lako wao kuwa masikini

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2008

    bwana michuzi usiwe unakurupuka samtime

    MASAHIHISHO:

    ni mfalme waleed sio khaleed

    ni gari la 38 sio 34

    ana hela kaa kichefuchefu huyu bwana,yaaani gari limenakshiwa na diamonds. ukilisogelea tu karibu,bila hata kuligusa lina piga king'oling'oli limetegeshwa kumtambua mfalme na dereva wake! aisee si cha mtoto

    know-it-all

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2008

    Mwanzoni nilidhani ni gari la Andrew lakini baada ya kuona bei yake nikabaini unahitaji mihela, mijihela na mamijihela kununua gari kama hilo, sio vijisenti.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2008

    INNA ALLAH LA YUHIBU 'LMUSRIFIIN

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 29, 2008

    Hii sasa ni kufuru

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 29, 2008

    Stupid King!!!!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 29, 2008

    mbona kapamba gari kama demu!mi-almasi ya nini sasa?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 29, 2008

    Acha wee. Yaani hiyo moja tu ni chenge 4.8 (a.k.a. vijisenti 4.8 tu) (kumbuka: chenge 1 = USD 1 million).

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 30, 2008

    mi namuona ni mpuuzi tu, hawa wazungu wanaoyatengeneza, hawayaendeshi huku, badala yake wanawauzia wafalme wa kiarabu!

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 30, 2008

    Kumbe Chenge ni masikini tu wabongo kwa kulalama kumbe hela yake youte hainunui gari moja!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 30, 2008

    msisahau kwamba mafuta yanayowaumiza kichwa kila siku kwa mwenzenu huyu ni maji tu. unategemea nini sasa? ungekuwa wewe ungefanyaje? tanua mwaya!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 30, 2008

    people really have money dayuuuuuum

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 30, 2008

    MAALIM ISSA TUNASHUKURU SANA KWA PICHA UJUMBE HUU..UNAONYESHA NCHI NYINGINE WALIVYO "..KRIETIV.." KUTAFUTA ..FEDHA SHUKRANI SANA..TUKUMBUKE ALMASI INAPATIKANA "..AFRIKA.." IKIWEMO "..TANZANIA.."

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 30, 2008

    Stupid KIng!!!????Nyie vipi???Unatakiwa ukiwa na vijisenti hayo ndio matanuzi yake ...sio mabillionea wa kwetu wanaweka bank mpaka wakifa watu wengine wajifurahishe...

    hela ya kuchuma kwa jasho unaila kiulaini lakini ya mafisadi wetu hawawezi kula kwa ulaini kwa vile walala hoi watashtukia...

    ReplyDelete
  17. Bwa' Michuzi hongera kwa kazi nzuri lakini mbona tunamwagiana mchanga wa macho mchana mchana. Hiyo habari haina ukweli na hizo ni propaganda tu. Ukweli kuhusu hii gari ni huu:
    Mwenywe: Garson USA na wanapatikana hapa http://www.garson-usa.com.
    Vimeremeta: Swarovski crystals ambavyo ni vioo vilivyotengenezwa na kukatwa kwa ufundi maalum. http://www.swarovski.com/
    Na gharama ya hii gari ni chini ya $ 1,000,000US. Kama ingekuwa diamond, gharama yake ingekuwa kubwa sana kupita hiyo Million 4.8 US.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 30, 2008

    ama kweli hii ni mijihela haswa,si mchezo tumia hapa hapa duniani ukifa ndo imetoka hiyo.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 30, 2008

    mi hadhani kama ni misaada mtu anaweza toa kwa mtu yoyote mwenye kuhitaji haijalishi ni dini gani au taifa gani na huo ndo unaitwa upendo. ila gari hili si mchezo.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 30, 2008

    Inna Li lah waina I laihy Ragy'uuna

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 30, 2008

    hopeless!!!!!!!, at the end of day he will end up 6" Feet under, with no diamond. King of Saudia, Mama Teresa, Y. Araft are all 6 feet under ...

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 30, 2008

    Stupid king?umekosa shabaha kweli sasa ukiona nyumba yake si ndiyo utachanganyikiwa hat White House haioni ndani.
    Dont ask urselves gharama za mafuta zikipanda sababu nini?
    Nendeni mkazaliwe Uarabuni.
    Kaka Michuzi ukipata nyumba ya Mugabe post it nadhani wadau will go nuts.
    Andrew

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 30, 2008

    Poleni waosha vinywa nadhani kutoa msaada ni swala la moyo wa mtu .Napenda mfahamu hawa jamaa wametusaidia mambo mangapi kwa sisi wabongo ktk maendeleo yetu wamesaidia kuchimba visima vingi ili kupunguza tatizo la maji na nk.Na isitoshe na misaada yote ambayo wametupatia bado siye wenyewe kwa wenyewe tunanyonyana(Ufisadi).Naona hata hilo gari ni la bei ya chini waongeze tu kuwa na vyagharama tena vyazaidi.Na ukisema kuwa kuna watu wengi wanakufa kwa njaa ebu jiulize binafsi yako unahakikisha vipi jirani yako halali na njaa kama maandikoya dini yako yanavyosema.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 30, 2008

    Anon may 29 8:19 Umesema kweli kabisa hiyo ni israfu kubwa kabisa. Hizi hadithi tukizisoma kwa cinderella kumbe ni ya ukweli?

    Mzee wa MASAHIHISHO, "ana hela kama kichefuchefu" au ana hela mpaka kichefuchefu.

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 30, 2008

    we unaelalamika hasaidii waislamu wenzake ni mpuuzi...kwani kuna waislamu wangapi duniani?unajuaje kama anawasaisia hao waislamu?au ulitaka apite dunia nzima?au ulitaka ajitangazie kama john mashaka

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 30, 2008

    Diamonds from Mwadui.No question about that.

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 30, 2008

    Hiyo gari siyo ya huyo King.. ni gari ilikuwa kwenye monesho ya GARSON.. na ni katika collections Za D.A.D accessories
    na hizo sio Diamond ni Crystal...

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 30, 2008

    Joseph David ione hio picha vizuri, haina haja yakuleta hizo link
    tunaona hapo chini upande wa kulia " Prince Waleeds 38th car"

    Saudia hawatengenezi magari, kwahio hilo gari limenunuliwa marekani kama si ujerumani nakupelekwa marekani kuwekwa huo urembo.
    Garson kama unavyosema wewe, niwatengenezaji na mteja ni kama unavyoona hilo jina hapo.

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 30, 2008

    Ubishi mwingine hauna maana.Wewe unaonyeshwa chini na juu ya hiyo gari (maandishi ya yellow color) kuhusu bei na anaemiliki hiyo gari halafu bado unasema eti iko kwenye maonyesho mara ni ya Garson.

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 30, 2008

    Hivi huyu akitia timu kwa Manka kweli dada yetu ana ubavu wa kumchomolea kweli?

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 30, 2008

    Wewe anony wa may 30 200 12.04 PM
    acha ushamba hayo maandishi ya Yellow ni mampo ya photo Editors hata wewe ukitaka nitumie picha yako nitaiweka maandishi ninayotakaa.. haha
    Usibishe kabla haujajifunza ukaelewa MAMBO YA TECHNOLOGY {KATAFUTE gimps ni free ware photo editor unaweza ujifanye kuku ukitaka} au basi hata Paint ya windows.. basi nikutajie ulizozoea PHOTOSHOP inafanya mambo hapo hahah

    Hiyo Gari ukweli sio ya Huyo King wala Prince na siyo DIAMONDS HIZO NI CRISTALS..

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 30, 2008

    diamondss are foreveer

    they wont leave through the nitee

    dont be scared that they miightt

    ACHENI WIVU,KALAGABAO,HELA ANAYO,WACHA AITUMIE.ALA! ULITAKA AKUPE WEWE,MLIKUWEPO WOTE ALIVYOITAFUTA?

    usemi unasema work like a slave,to live like a king FANYA HIVYO KWANZA!

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 30, 2008

    Wabongo bwana sasa mnalialia nini?Kila siku mnamlaumu Nyerere kwa ujamaa na hapo hapo mnataka huyu mfalme awasaidie masikini.Kuna ANON mmoja katowa mfano wa Mtume MUDDY kugawa mkate kwa watu lukuki si haya MCHONGA alikuwa anahubiri na hivi sasa mnamlaani sababu eti alilita umaskini.Acheni huyo MWAMI atanue.Mnasema hayo sababu mko mbavu mbaya,majalala ya bibi mkora

    ReplyDelete
  34. AnonymousMay 31, 2008

    Sahihisho: prince waleed bin talal sio mfalme bali anahusiana na mfalme, yeye ni businessman.

    ReplyDelete
  35. AnonymousMay 31, 2008

    Wewe unasema photo shop unataka kufanya kwamba kila mtu ni mbumbumbu hapa.

    Nakupa challenge, katika hilo jina prince waleeds car, tafuta kwenye google na uona results, tafuta link na images.
    halafu utaleta ubishi wako wakusema ni photo shoot.

    ReplyDelete
  36. AnonymousMay 31, 2008

    Dont hate, kama huna ela kwenda zako! c tunaendelea na ufisadi mpaka mwisho!ahahaha!!!!!MULOX

    ReplyDelete
  37. AnonymousJune 02, 2008

    jamaa ana ela huyu..inaudhi but wote ni sawa mbele za mola

    ReplyDelete
  38. AnonymousJune 02, 2008

    Kwanza Diamond kuwa nyingi kiasi hicho na bei kuwa $4,000,000 haiwezekani.
    Pili nani kakudanganya eti White House ni nyumba za kifahari kiasi hicho?

    ReplyDelete
  39. AnonymousJune 02, 2008

    Dunia ya leo sema sina hela siyo hakuna hela jamaa huyu ananyumba kali kinoma michuzi nitakutumia nyumba yake uwaekee wadao wazimie kabisa.

    ReplyDelete
  40. AnonymousJune 02, 2008

    mulox acha pumba wewe,we fala nini kwenda huko!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...