Home
Unlabelled
kuona bure, kugusa dola 1,000
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inasikitisha kuona kuwa muislamu mmoja anaweza kufanya isirafu kama hiyo ilhali kuna waisilamu tele duniani wanahangaika na kufa kwa njaa. Haitoshi hata kidogo kama unasaidia wenzako k iasi gani, ikiwa bado kuna wanaoteseka na wewe unacho cha kuweza kula kesho, ni wajibu wako kusaidia muislamu mwenzako. Wakati wa mtume walipofukuzwa makka, mkate mdogo tu ulienda round nzima kila mmoja akichukua chembe kidogo na kumfikiria mwenzake kuwa yuko na njaa zaidi yake. Tujifunzeni kutoka kwa mtume, tuwacheni israfu na tuwakumbuke wenzetu wanaoteseka dunianii hata chakula cha leo jioni hawajuii kitapatikana vipi
ReplyDeleteMAFISADI MPO , KAZI KWENU SASA SIO MPAKA MFE NDO VIJISENTI VITUMIKE.
ReplyDeleteDuh!! hivi kweli hawa jamaa wanakumbuka kwamba kuna watu masikini huku kweli au ndiyo hizo tende wanazotuletea ndiyo zitatusaidia kuondoa umasikini. Kweli fedha kiboko na wakati mwingine matumizi yake ni kama kumkuru mungu vile. Tumia mwana kwani kufa kwaja acha masikini wafe na umasikini wao kwani siyo kosa lako wao kuwa masikini
ReplyDeletebwana michuzi usiwe unakurupuka samtime
ReplyDeleteMASAHIHISHO:
ni mfalme waleed sio khaleed
ni gari la 38 sio 34
ana hela kaa kichefuchefu huyu bwana,yaaani gari limenakshiwa na diamonds. ukilisogelea tu karibu,bila hata kuligusa lina piga king'oling'oli limetegeshwa kumtambua mfalme na dereva wake! aisee si cha mtoto
know-it-all
Mwanzoni nilidhani ni gari la Andrew lakini baada ya kuona bei yake nikabaini unahitaji mihela, mijihela na mamijihela kununua gari kama hilo, sio vijisenti.
ReplyDeleteINNA ALLAH LA YUHIBU 'LMUSRIFIIN
ReplyDeleteHii sasa ni kufuru
ReplyDeleteStupid King!!!!!!
ReplyDeletembona kapamba gari kama demu!mi-almasi ya nini sasa?
ReplyDeleteAcha wee. Yaani hiyo moja tu ni chenge 4.8 (a.k.a. vijisenti 4.8 tu) (kumbuka: chenge 1 = USD 1 million).
ReplyDeletemi namuona ni mpuuzi tu, hawa wazungu wanaoyatengeneza, hawayaendeshi huku, badala yake wanawauzia wafalme wa kiarabu!
ReplyDeleteKumbe Chenge ni masikini tu wabongo kwa kulalama kumbe hela yake youte hainunui gari moja!!
ReplyDeletemsisahau kwamba mafuta yanayowaumiza kichwa kila siku kwa mwenzenu huyu ni maji tu. unategemea nini sasa? ungekuwa wewe ungefanyaje? tanua mwaya!
ReplyDeletepeople really have money dayuuuuuum
ReplyDeleteMAALIM ISSA TUNASHUKURU SANA KWA PICHA UJUMBE HUU..UNAONYESHA NCHI NYINGINE WALIVYO "..KRIETIV.." KUTAFUTA ..FEDHA SHUKRANI SANA..TUKUMBUKE ALMASI INAPATIKANA "..AFRIKA.." IKIWEMO "..TANZANIA.."
ReplyDeleteStupid KIng!!!????Nyie vipi???Unatakiwa ukiwa na vijisenti hayo ndio matanuzi yake ...sio mabillionea wa kwetu wanaweka bank mpaka wakifa watu wengine wajifurahishe...
ReplyDeletehela ya kuchuma kwa jasho unaila kiulaini lakini ya mafisadi wetu hawawezi kula kwa ulaini kwa vile walala hoi watashtukia...
Bwa' Michuzi hongera kwa kazi nzuri lakini mbona tunamwagiana mchanga wa macho mchana mchana. Hiyo habari haina ukweli na hizo ni propaganda tu. Ukweli kuhusu hii gari ni huu:
ReplyDeleteMwenywe: Garson USA na wanapatikana hapa http://www.garson-usa.com.
Vimeremeta: Swarovski crystals ambavyo ni vioo vilivyotengenezwa na kukatwa kwa ufundi maalum. http://www.swarovski.com/
Na gharama ya hii gari ni chini ya $ 1,000,000US. Kama ingekuwa diamond, gharama yake ingekuwa kubwa sana kupita hiyo Million 4.8 US.
ama kweli hii ni mijihela haswa,si mchezo tumia hapa hapa duniani ukifa ndo imetoka hiyo.
ReplyDeletemi hadhani kama ni misaada mtu anaweza toa kwa mtu yoyote mwenye kuhitaji haijalishi ni dini gani au taifa gani na huo ndo unaitwa upendo. ila gari hili si mchezo.
ReplyDeleteInna Li lah waina I laihy Ragy'uuna
ReplyDeletehopeless!!!!!!!, at the end of day he will end up 6" Feet under, with no diamond. King of Saudia, Mama Teresa, Y. Araft are all 6 feet under ...
ReplyDeleteStupid king?umekosa shabaha kweli sasa ukiona nyumba yake si ndiyo utachanganyikiwa hat White House haioni ndani.
ReplyDeleteDont ask urselves gharama za mafuta zikipanda sababu nini?
Nendeni mkazaliwe Uarabuni.
Kaka Michuzi ukipata nyumba ya Mugabe post it nadhani wadau will go nuts.
Andrew
Poleni waosha vinywa nadhani kutoa msaada ni swala la moyo wa mtu .Napenda mfahamu hawa jamaa wametusaidia mambo mangapi kwa sisi wabongo ktk maendeleo yetu wamesaidia kuchimba visima vingi ili kupunguza tatizo la maji na nk.Na isitoshe na misaada yote ambayo wametupatia bado siye wenyewe kwa wenyewe tunanyonyana(Ufisadi).Naona hata hilo gari ni la bei ya chini waongeze tu kuwa na vyagharama tena vyazaidi.Na ukisema kuwa kuna watu wengi wanakufa kwa njaa ebu jiulize binafsi yako unahakikisha vipi jirani yako halali na njaa kama maandikoya dini yako yanavyosema.
ReplyDeleteAnon may 29 8:19 Umesema kweli kabisa hiyo ni israfu kubwa kabisa. Hizi hadithi tukizisoma kwa cinderella kumbe ni ya ukweli?
ReplyDeleteMzee wa MASAHIHISHO, "ana hela kama kichefuchefu" au ana hela mpaka kichefuchefu.
we unaelalamika hasaidii waislamu wenzake ni mpuuzi...kwani kuna waislamu wangapi duniani?unajuaje kama anawasaisia hao waislamu?au ulitaka apite dunia nzima?au ulitaka ajitangazie kama john mashaka
ReplyDeleteDiamonds from Mwadui.No question about that.
ReplyDeleteHiyo gari siyo ya huyo King.. ni gari ilikuwa kwenye monesho ya GARSON.. na ni katika collections Za D.A.D accessories
ReplyDeletena hizo sio Diamond ni Crystal...
Joseph David ione hio picha vizuri, haina haja yakuleta hizo link
ReplyDeletetunaona hapo chini upande wa kulia " Prince Waleeds 38th car"
Saudia hawatengenezi magari, kwahio hilo gari limenunuliwa marekani kama si ujerumani nakupelekwa marekani kuwekwa huo urembo.
Garson kama unavyosema wewe, niwatengenezaji na mteja ni kama unavyoona hilo jina hapo.
Ubishi mwingine hauna maana.Wewe unaonyeshwa chini na juu ya hiyo gari (maandishi ya yellow color) kuhusu bei na anaemiliki hiyo gari halafu bado unasema eti iko kwenye maonyesho mara ni ya Garson.
ReplyDeleteHivi huyu akitia timu kwa Manka kweli dada yetu ana ubavu wa kumchomolea kweli?
ReplyDeleteWewe anony wa may 30 200 12.04 PM
ReplyDeleteacha ushamba hayo maandishi ya Yellow ni mampo ya photo Editors hata wewe ukitaka nitumie picha yako nitaiweka maandishi ninayotakaa.. haha
Usibishe kabla haujajifunza ukaelewa MAMBO YA TECHNOLOGY {KATAFUTE gimps ni free ware photo editor unaweza ujifanye kuku ukitaka} au basi hata Paint ya windows.. basi nikutajie ulizozoea PHOTOSHOP inafanya mambo hapo hahah
Hiyo Gari ukweli sio ya Huyo King wala Prince na siyo DIAMONDS HIZO NI CRISTALS..
diamondss are foreveer
ReplyDeletethey wont leave through the nitee
dont be scared that they miightt
ACHENI WIVU,KALAGABAO,HELA ANAYO,WACHA AITUMIE.ALA! ULITAKA AKUPE WEWE,MLIKUWEPO WOTE ALIVYOITAFUTA?
usemi unasema work like a slave,to live like a king FANYA HIVYO KWANZA!
Wabongo bwana sasa mnalialia nini?Kila siku mnamlaumu Nyerere kwa ujamaa na hapo hapo mnataka huyu mfalme awasaidie masikini.Kuna ANON mmoja katowa mfano wa Mtume MUDDY kugawa mkate kwa watu lukuki si haya MCHONGA alikuwa anahubiri na hivi sasa mnamlaani sababu eti alilita umaskini.Acheni huyo MWAMI atanue.Mnasema hayo sababu mko mbavu mbaya,majalala ya bibi mkora
ReplyDeleteSahihisho: prince waleed bin talal sio mfalme bali anahusiana na mfalme, yeye ni businessman.
ReplyDeleteWewe unasema photo shop unataka kufanya kwamba kila mtu ni mbumbumbu hapa.
ReplyDeleteNakupa challenge, katika hilo jina prince waleeds car, tafuta kwenye google na uona results, tafuta link na images.
halafu utaleta ubishi wako wakusema ni photo shoot.
Dont hate, kama huna ela kwenda zako! c tunaendelea na ufisadi mpaka mwisho!ahahaha!!!!!MULOX
ReplyDeletejamaa ana ela huyu..inaudhi but wote ni sawa mbele za mola
ReplyDeleteKwanza Diamond kuwa nyingi kiasi hicho na bei kuwa $4,000,000 haiwezekani.
ReplyDeletePili nani kakudanganya eti White House ni nyumba za kifahari kiasi hicho?
Dunia ya leo sema sina hela siyo hakuna hela jamaa huyu ananyumba kali kinoma michuzi nitakutumia nyumba yake uwaekee wadao wazimie kabisa.
ReplyDeletemulox acha pumba wewe,we fala nini kwenda huko!
ReplyDelete