HABARI NJEMA KWA WADAU WA GLOBU HII YA JAMII.
KATIKA KUELEKEA KUPATA MDAU WA MILIONI 5, ARISE BEAUTY SUPPLY WAMEJITOKEZA KUTOA ZAWADI YA DOLA 500 KWA ATAKAYEBAHATIKA KUWA MDAU WA MILIONI 5 MUDA WOWOTE KUNZIA SASA.
MASHARTI NI KWAMBA MDAU HUYO LAZIMA AKACHUKUE ZAWADI YAKE DUKANI SINZA AMA MIKOCHENI. NA KAMA ANAISHI NJE YA DAR ATUME MWAKILISHI HALALI KUMWAKILISHA.
ZOEZI NI LILE LILE. PINDI UKIFUNGUA GLOBU NA KUKUTA NAMBA YA CHINI KULIA INASOMEKA 5,000,000 BASI FANYA JUU CHINI UTUME HUO UKURASA NA ANUANI YAKO KAMILI KWA issamichuzi@gmai.com
KAMA KAWA UAMUZI WA MAJAJI NI WA MWISHO.
CHINI NI MAELEKEZO YA DUKA HILO LILILOTOA UFADHILI HUU. SOMA KWA MAKINI MAANA WEWE WAWEZA KUWA MSHINDI WA HIYO DOLA 500 KWA KUWA MDAU WA MILIONI 5 WA GLOBU HII YA JAMII...
--------------------------------------------------------------------------------------
ARISE BEAUTY SUPPLY

KWA UMARIDADI WA AKINA KAKA NA AKINA DADA
Jaribu Kabla Hujanunua
Kuna Hitilafu? Rudisha Dukani
Discount Card Kwa Kila Mteja
DUKA SASA LINA MATAWI MAWILI
1. ARISE SINZA
2. ARISE MIKOCHENI KWA MWALIMU
Wasiliana na Rose
Namba za simu
0784-521171
0753-335011,
Email: info@arise-tz.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2008

    Jamani ebu tuonesheni hiyo namba inaonekana wapi ukifungua hii blog maana na sisi tunataka kuwa washindi wadau masaada kwenye tuta

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2008

    jamani eeh,mimi mbona namba hazitokei au ndio utapeli wenyewe huu?

    ReplyDelete
  3. Mbona humekosea email yako
    innosenty@gmail.com

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 30, 2008

    amaaah!!kudadadekiiii michu we kiboko yani mie pc yangu eti now kwenye number pale chini imewekewa alama ya x sijui ndo pa kubomolewa amaaah!!!??
    ma chenge n ze nkapa bin balali mko wengii ila mwatofautiana mbinu tuu

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 30, 2008

    hivi ni mimi au kaunta haionekani?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 30, 2008

    chini kabisa kulia (mwishoni mwa page)
    by dume

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 31, 2008

    Mpe tu unayetaka kumpa hiyo laki 5maana hii counter imesimama kwenye 4,184,132 au sijui ndio ufisadi mpaka kwa kinyang'anyiro cha huo mkwanja.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 31, 2008

    Anon 4:55 u hav made ma day!! sikujua kama ningecheka leo!!! any way, hata mimi mwanzo nilidhani changa la macho ila sasa inasoma!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 31, 2008

    lol michuzi acha kutufisadi na wewe

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 02, 2008

    nimechoka nasema nimechokaaaaaaaaaaaaa kusubiri hiyo namba we michuzi unatuingiza mjini wakati wenzio tuko mjini hayyaaa
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 02, 2008

    minamba wala hata haisogei!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 03, 2008

    msaada wadau
    naomba mnielekeze ukitaka kumtumia michuzi hii page unabofya wapi.
    AU KAKA MICHUZI NIELEKEZE.
    Mshiko namimi nautaka sana jamani msaada

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 04, 2008

    anon 5:24 fanya 'print screen' halafu uisave kwenye word document na baadae uitume kama attachment kwa michuzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...