HABARI NJEMA KWA WADAU WA GLOBU HII YA JAMII.
KATIKA KUELEKEA KUPATA MDAU WA MILIONI 5, ARISE BEAUTY SUPPLY WAMEJITOKEZA KUTOA ZAWADI YA DOLA 500 KWA ATAKAYEBAHATIKA KUWA MDAU WA MILIONI 5 MUDA WOWOTE KUNZIA SASA.
MASHARTI NI KWAMBA MDAU HUYO LAZIMA AKACHUKUE ZAWADI YAKE DUKANI SINZA AMA MIKOCHENI. NA KAMA ANAISHI NJE YA DAR ATUME MWAKILISHI HALALI KUMWAKILISHA.
ZOEZI NI LILE LILE. PINDI UKIFUNGUA GLOBU NA KUKUTA NAMBA YA CHINI KULIA INASOMEKA 5,000,000 BASI FANYA JUU CHINI UTUME HUO UKURASA NA ANUANI YAKO KAMILI KWA issamichuzi@gmai.com
KAMA KAWA UAMUZI WA MAJAJI NI WA MWISHO.
CHINI NI MAELEKEZO YA DUKA HILO LILILOTOA UFADHILI HUU. SOMA KWA MAKINI MAANA WEWE WAWEZA KUWA MSHINDI WA HIYO DOLA 500 KWA KUWA MDAU WA MILIONI 5 WA GLOBU HII YA JAMII...
--------------------------------------------------------------------------------------
ARISE BEAUTY SUPPLY
KWA UMARIDADI WA AKINA KAKA NA AKINA DADA
Jaribu Kabla Hujanunua
Kuna Hitilafu? Rudisha Dukani
Discount Card Kwa Kila Mteja
DUKA SASA LINA MATAWI MAWILI
1. ARISE SINZA
2. ARISE MIKOCHENI KWA MWALIMU
Wasiliana na Rose
Namba za simu
0784-521171
0753-335011,
Email: info@arise-tz.com
Wasiliana na Rose
Namba za simu
0784-521171
0753-335011,
Email: info@arise-tz.com
Jamani ebu tuonesheni hiyo namba inaonekana wapi ukifungua hii blog maana na sisi tunataka kuwa washindi wadau masaada kwenye tuta
ReplyDeletejamani eeh,mimi mbona namba hazitokei au ndio utapeli wenyewe huu?
ReplyDeleteMbona humekosea email yako
ReplyDeleteinnosenty@gmail.com
amaaah!!kudadadekiiii michu we kiboko yani mie pc yangu eti now kwenye number pale chini imewekewa alama ya x sijui ndo pa kubomolewa amaaah!!!??
ReplyDeletema chenge n ze nkapa bin balali mko wengii ila mwatofautiana mbinu tuu
hivi ni mimi au kaunta haionekani?
ReplyDeletechini kabisa kulia (mwishoni mwa page)
ReplyDeleteby dume
Mpe tu unayetaka kumpa hiyo laki 5maana hii counter imesimama kwenye 4,184,132 au sijui ndio ufisadi mpaka kwa kinyang'anyiro cha huo mkwanja.
ReplyDeleteAnon 4:55 u hav made ma day!! sikujua kama ningecheka leo!!! any way, hata mimi mwanzo nilidhani changa la macho ila sasa inasoma!!
ReplyDeletelol michuzi acha kutufisadi na wewe
ReplyDeletenimechoka nasema nimechokaaaaaaaaaaaaa kusubiri hiyo namba we michuzi unatuingiza mjini wakati wenzio tuko mjini hayyaaa
ReplyDeletesweet,
Arusha.
minamba wala hata haisogei!
ReplyDeletemsaada wadau
ReplyDeletenaomba mnielekeze ukitaka kumtumia michuzi hii page unabofya wapi.
AU KAKA MICHUZI NIELEKEZE.
Mshiko namimi nautaka sana jamani msaada
anon 5:24 fanya 'print screen' halafu uisave kwenye word document na baadae uitume kama attachment kwa michuzi
ReplyDelete