Za asubuhi Michuzi,
Kuna post kadhaa huwa naona za wadau wanatafuta washkaji zao wa enzi hizo (primary, sec, chuo, etc..)
Wabandikie mtandao huu waanza kuutumia - www.graduates.com
Washkaji kibao wa mashuleni na vyuoni wanapatikana humo.
Siku njema,
Fred

--------------------------------------------------------------------------------------------
Bro michuzi habari!
Naomba unisaidie kumpata sister yangu huyu,Sherifa Said Kajembe(sherry),mara ya mwisho alirudi Tanzania 2000 kama sijakosea.
anaishi German na alisema yuko Hamburg!
kama kuna mtu mwenye taarifa zake Please naomba anitaarifu kupitia email hii
pia kwa simu number
+255713630223,huzu said kajembe.
+2557130524285, salim hassan

Wewe Salim Kajembe unashangaza, ni sista wako Sherry Kajembe lakini hujui taarifa zake? na lakujiuliza nikwamba ulimfanya nini huyo ndugu yako[dada yako] hapo mwaka wa 2000 mpaka aache au asikupe taarifa yoyote kuhusu yeye na aliko?
ReplyDeletembona kina kajembe wapo tanga!! na hata mwinjuma aliwahi kuoa kwenye ukoo wao!! hebu muulize mwinjuma muumini
ReplyDelete