dan mruanda ameisawazishia taifa staaz dhidi ya mauritius kwa bao safi la gonga za wan-twu na kigi makassy katika dakika ya 25 ya kipindi cha pili na ngoma kuwa 1-1. na uwanja sasa unacheka...
Home
Unlabelled
staaz wasawazisha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kaka michu update basi mzee
ReplyDeletekwisha kazi, hapa ndo mwisho wetu kama tumeshindwa kuifunga maurtius basi tena tusahau,halafu watu wanajifanya kumlaumu kocha sasa maximo afanye nini ikiwa washambuliaji hawawezi ata kufunga penati hivi vitu sio vya kufundishwa inatakiwa wajue kutoka kwenye klabu zao, okay my prediction on the coming games
ReplyDeleteCAPE VERDE 3 TANZANIA 0
CAMEROON 4 TANZANIA 1 okay wadau labda tujaribu kombe la dunia 2014 labda tutapangwa kundi moja na djibout na somalia wanyonge wetu.