wadau wenye mabaluni wakisubiri wakaguzi wa magari kabla ya kupata tenda kwenye mkutano wa sullivan aicc club, na magari kibao yamekodishwa kwa bei ya laki moja unusu kwa siku

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2008

    Huyo mkaguzi hakuchukua rushwa maana TZ hakuna kitu kinachoendeshwa kwa uhalali.
    Mdau

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2008

    Kigezo ili gari lichaguliwe ni lazima liwe na bima ya 50,000 kila siku na ambayo inatakiwa ilipwe kabla ya ukaguzi na kwa mkaguzi. Ni pendekezo tu hivyo ambao magari yao yataachwa japo yanaonekana mazuri ni kukosekana kwa hiyo insuarance. mmmmmm

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2008

    safi sana.inabidi jk awaombe jamaa mkutano unaofata waufanye tena kwetu,maana watani wetu wanauwania kwa sana,bakoon kwa kawaida ni buku 70 kwa wiki,sasa kama unachukua kilo na nusu kwa siku,siku 5 ni umefunga hesabu nzuri.na hawa wageni ni town trip only hawaingii madongo kuinama kuumiza gari

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 02, 2008

    jamani wanatoa hela nzuri sana lazima wasubiri wajue tunapata au tunakosa kweli subira huvuta heri
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...