Habari!
naitwa Stev, nipo kidato cha nne,Ilboru sec,Arusha. Ninapenda kuandika blog na ninamiliki blog. Ninapendelea kutembelea blog yako pia, tatizo langu ni kuisambaza ili ijulikane.
Naandika kuhusu vijana na ninatumia lugha ya kiingereza, ninachoomba kutoka kwako ni msaada wa kuijumuisha blgo yahngu katika list yako ya blog za bongo.
Thanks.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 09, 2008

    Keep it up young blood. Its amazing fo see youngster like you doing positive thinking. Internet is todays means of communication.
    Mobilize your fellow young blood to visit your blog and the more viewers you get may result in business venture.
    Best of luck young G

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2008

    Lakini dogo kwa lugha hii ya Kiingereza, ni vijana wenzako wangapi ambao utawafikishia ujumbe? Au umelenga tabaka fulani pendelewa la vijana ndiyo wasome na kupata unachokisema?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 10, 2008

    Big up my bro naona umefata ushauri wangu ila i would advise you to include Kiswahili in your blog as well ili upate bloggers wengi maana yake uweze kureach out to many people out there,literates and illeterates.
    All the best.
    Andrew.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2008

    ASANTENI SANA!!!I WILL DO SO!stev.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2008

    Hongera Steve, Nimetembelea blog yako baada ya kusoma tangazo hapa kwa MICHUZI, and I will keep on doing so, You are doing a GOOD job, ila jaribu KUFUPISHA mada zako, ila at the same time ZIKIFIKISHE UJUMBE unaokusudia.Ili wanaovutiwa kusoma Wasiboreke na maelezo marefu,You are Young and Smart, I believe U do have a LOT to Offer. KEEP IT UP.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 14, 2008

    Hey hey anonym upstairs at May 10, 2008 @ 11:31 am Be a bit lot more carefull!Kujua Kiswahili peke yake na kutojua English haimaanishi kwamba mtu ni 'ILLITERATE!'.Hata hivyo Ujumbe wako umefika.I would nevertheless congratulate both of you for being very positive on the subject.Tunataka vijana wetu wa leo muwe hivyo jamani!Msilaze damu.Dunia ni Mapambano.Na Knowledge is Power!So keep on keeping on and on and on infinatum!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...