Deputy High Commissioner to UK Chabaka Kilumanga launches a project in Cheltenham to supply 700 computers to 70 Tanzanian schools with 10 computers per computer club in each school .Deputy HC with Members of 5 Rotary Clubs from Cheltenham who are providing together with Rotary Foundation some $56,000 for the project . Their implementing partner is the Rotary Club of Bahari


HUU NDIO MASAADA SIO MISAADA YA MATOFALI, MAWE NA MABATI. KILICHOBAKI SASA NI MSAADA WA UJUZIA KUZALISHA HIZO COMPUTER. KAZI KWENYU UCC
ReplyDeletena ni shule ngapi zenye umeme!? au watatumia umeme wa jua kuziwasha hizo computer?
ReplyDeletescapper
ReplyDeleteVizuri,
ReplyDeleteI hope hizi computer hazitakuwa kwa Tanzania mainland school peke yake. Kama hazikuletwa Zanzibar basi tutamuomba muheshimiwa balozi aseme kuwa Kompyuta ni kwa ajili ya Tanganyika na sio Zanzibar. Kwasababu there has been this tendency.
Anyway tunasubiri hizo kompyuta huku zenji baada ya kuwashiwa umeme.
Huyu hofisa wa hubalozi mbona kama hanamfanania Jack Pemba au macho yangu?. Wadau msaada kwenye bums.
ReplyDeleteMdau , mtoni kijichi.
HUO MSAADA UTAFIKIA WALENGWA AU NDIO UTAISHIA MIKONI MWA WAALIMU?mie sidhani kama kuna mwanafunzi atapewa hiyo laptop ashike
ReplyDeleteI sincerely congratulate High Comm Deputy Hon.Kilumanga for the creative and generous support to Tanzanian Schools!This is what we have always been asking you dear excellencies to do all these years.Its my firm belief that our other embassies abroad will emulate What Hon.Kilumanga has done.Kompyuta hizo zipelekwe moja kwa moja mashuleni bila ya kupitia wizara ya elimu.Balozi Kalumamga ahakikishe kwamba anakuwa na shortlist ya shule zitakazo pewa hizo kompyuta na kisha kila mzigo unaandikwa anuani ya ile shule na shule husika inajulishwa kimaandishi kwa email kuhusu msaada huo wa kompyuta na vifaa vinginevyo.Please Kompyuta hizo zisipitie kwa 'Third Party'kama wizara au idara yoyote ile ya serikali au binafsi,bali ziende moja kwa moja kwenye shule iliyopewa msaad.Kwa mara nyingine tena nakupongeza kwa dhati kabisa Balozi Chabaka Kilumanga kwa kuonyesha mfano bora wa nini kinapaswa kufanyika katika Balozi zetu za Nje.Hearty Congratulations to our London High Commission for the job well done.Even greater vote of appreciation and sincere thanks should go to the Five Rotary Club Leaders and Members for the generous support!
ReplyDeleteJob well done to all involved, kwa kweli UBalazo wa Tanzania UIngereza na Uongozi wake wa sasa hivi kuanzia Balozi Mama Maajar, Naibu Mr. Kilumanga, dada yetu head of Chancery Mrs.Carol Chipeta na team yenu yoote mnafanya kazi nziri san ya sisi watanzania tulioko Uingereza kujivunia for a change , Mwenyezi mungu awazidishie na afya njema ya kuendeleza libeneke la Mkoa wetu wa Diaspora na hopefully Serikali yetu inaona kazi mnayoifanya na izidi kuwapa msaada wa hali na mali na isiwachanganye na Ufisadi unaendelea huko nyumbani , we can be selfish enough na kusema ya kwamba hopefully Mheshiwiwa Rais Kikwete hana mpango wa kuondoa hii safu ya Uingereza hivi karibuni hata akiiacha mpaka muda wake ukikaribia kuisha ndio akawape woote Uwaziri kama zawadi ya kazi nzuri mnayoifanya!! Anyway on the Computer issue well done na namuunga huyo anany wa hapo juu aliyecomment ya kuwa hizi Computer kutokana na Ufisadi wa wazi wa huko nyumbani jamani zisipitie third party ni direct kwa walengwa na huko kwa walengwa hao walimu wasizifanye za Staff Room zao maana bongo tunaijua wenyewe ilihali hawa watoa misaada wangejua kinachendelea huko kwa kweli ingewavunja sana moyo kwa hiyo Mzee Chabaka tunaomba uhakikishe hizi Computer zinaenda kufanya kazi kwa wanafunzi huko nyumbani kwa faida ya jamii yetu na nchi yetu.
ReplyDeleteHaya waosha vinywa computer mpya zimetolewa wanahoji kama zitafika kwa walengwa....zimetolewa kuukuu wanasema za jalalani mwataka nini jamani eeehhhh
ReplyDelete