hilo basi la kijani ndilo karandinga jipya la idara ya magereza likipeleka wafungwa na mahabusu mahakamani chini ya ulinzi mkali. hii ni mojawapo ya huduma zilizoboreshwa katika jeshi hilo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2008

    Madirisha ya hilo basi yana nondo? na ama hayafunguki? alafu magereza ndo wanaescort1 hapo patam

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2008

    Naona magereza ndio wamewekwa kwenye vijikarandinga sasa loool

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2008

    Kweli"anon.." hapo juu....Magereza ndio walioko kwenye karandinga....wafungwa wanakula "AC" ndani ya Basi....labda kideo pia kinaonyeshwa......lolololol....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...