mshiriki wa big brother africa II toka zimbabwe, bertha zakeyo, akiwa na mwenyeji wake dennis ssebo kwenye ofisi za daily news na habarileo walikotembelea leo. ssebo ni mwandaaji wa miss dar city centre inayofanyika kesho ukumbi wa cine club kuanzia saa mbili usiku aambapo warembo 10 watachuana kuwania taji hilo pamoja na tiketi ya kushiriki miss ilala. burudani itatolewa na sweet kid toka kampala ambaye anatua leo saa kumi na moja na nakaaya sumary.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2008

    Mithupu ehe achana na mambo ya vichupi...mtafute mdau mmoja akupe news...kuna ajari mbaya imetokea arusha, gari ya abiria na mizigo zimegongana uso kwa uso...tafrani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...