Habari kaka michuzi,

Sisi ni kampuni inaitwa House of Glamour, tupo Sinza - Kumekucha, Dar es salaam na tunashughulika na biashara ya boutique na kukodisha mahema (marquee).


Asante sana na karibuni wote


Joyce Kiwia
Partner/Company Buyer
House Of Glamour
Tel: ( UK): +44 (0) 7861317103


Email: houseofglamour@hotmail.co.uk
Web: www.houseofglamour.weebly.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2008

    Eh! we Joy! Na mi naomba u partner, nakodisha ma fridge na mafeni,tuwasiliane achumchujuko@hotmail.com

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2008

    We joyce vipi mbona unmechemka? Sinza Kumekucha, namba ya simu ya UK!!!!????

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2008

    Dada Joyce habari.Unaonaje ukamwomba michuzi ukaongeza na simu yako ya mkononi ya Tanzania,wewe uko sinza(TZ),simu unaweka ya Uingereza,are you a real in business?Anyway,nilitaka kujua tu kama una na 'tenti' za kuishi binadamu na za aina gani,nipo nchi jirani na TZ 'tenti' za kuishi watu zinawapa tabu kidogo kuzipata ningekupigia cross.(atyini@yahoo.com)

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2008

    hapo mie sijaelewa mmesema mpo sinza kumekucha aafu mnatupa namba ya simu ya UK how come????

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 13, 2008

    Jamani kwani ukiandika namba ya Tanzania ya mama yako ina matatizo gani au ndio ilimradi tu watu wajue unakaa Ulaya au wakupigie wewe, duh dada ndio soko lako limechahcha hivi.
    Hizi biashara ambazo watu hawatumii akili zina matatizo sana
    Your marketing skills Joyce are poor.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 13, 2008

    Habari wana blogs

    Nandahani kulikuwa na miss communication kidogo hapo, Kati yangu mimi na kaka Michuzi.

    Mimi niliambatanisha flyer yenye maelezo yote, anwani tulipo na namba za simu hapo nymbani, ila maona kaka yetu hakuziona kwa bahati mbaya. Mimi maishi UK ila biashara inaendeshwa na partners wenzangu Dar es salaam.

    bila shaka maelezo zaidi ni kama ifuatavyo; sisi tunapatikana:

    House of Glamour Ltd
    Sinza - Kumekucha
    P O Box 75360
    Dar es salaam
    Tanzania

    Simu:
    +255 (0) 786 918 934 (Mrs Happy Kiwia - Dar)

    + 255 (0) 713 338 900 (Mama P Kiwia - Dar)

    + 255 (0) 784 262 224 (Mr Jonas Kiwia - Dar)

    barua pepe: houseofglamour@hotmail.co.uk

    Tovuti: www.houseofglamour.weebly.com

    poleni sana na utatanifu uliotokea hapo, na natumaini wote mtakuja kututembelea House of Glamour.

    Pia ningefurahi kupata maoni yeni katika tovuti yetu www.houseofglamour.weebly.com.

    Asanteni sana
    Joyce - House of Glamour

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 13, 2008

    Vizuri umejisafisha dada Joyce siku nyingine usirudie hako kamchezo kako.I believe ulitaka tu kujionyesha kuwa uko Ulaya, lakini kuwa ulaya si kwamba ndio dili.Watu walishakaa huko siku nyingi wakaamua kurudi bongo na yao poa.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 13, 2008

    Kweli Joyce mimi masikia kuwa wewe nakosea mamba ya simu ya yako hapo mimi mabata ushungu hasa nujua kuwa wewe maishi UK ila mafanya partnership bongo basi habana tabu mimi matafuta wao kwani sisi warabu twa juani kwa vilemba na maandishi habana tabu mimi maelewa wewe

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 14, 2008

    this is a hot idea, warasilimali oyeeeeeeeeeee!!!! well done binti Kiwia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...