Home
Unlabelled
chris tucker
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hahahhahahahahah
ReplyDeleteI didnt know misupu your a funny sometimes! hahahh nini?? Kakungángania??
you made my day kwa kweli ... nimecheka mpaka.....
Dhuuuuu! Huyu jamaa anapenda kutanua sana. Basi angalu omba basi kilongalonga ili atusaidie kutafuta kazi ugaibuni
ReplyDeleteHihihi Acha Kujipigia Deki a.k.a kujifagilia Kaka Misupu Yaani kama nakuona ulivosukuma watu hadi ukamkuta huyo chalii na uliomba sana hadi ukataka kulia upige nae picha..UONGOOOOO..hihihi Job true true
ReplyDeletesio mmatumbi atajuaje blog yako ya kimatumbi??hii ni kwa wamatumbi na wadanganyika wewe vipi mkuu wa nanihii ya nanihii
ReplyDeleteTeh teh kaka naona kwa kujinganganiza kimobo wallahi naona njaaa ilikuuma ishia kucheka tuuuu
ReplyDeletebro acha mijisifa jamani naona ultema mimvua hope mniga hakuloa maana zaidi ya hallow!ni yes no yes no cjui nani kakuunganisha upate nae snep hiyo
ReplyDeleteKaka michuzi umependeza yani cha jabu suti yako $200 ya chris $2000 lakini wote mko sawa ,mtu akiiona hi picha anaweza fikiria Jackie Chan na Chris Tucker premier ya Rush Hour 4 lakini Jackie kapata Sun tun hahaha umetoka bomba
ReplyDeleteaah,misupu mi huwa unaniuwaga kwa kujipalilia!kwanza we nani hata chris akunganganie?,hahaha,basi mpaka george kichaka atakua anakuelewa wewe!maana wapenda kujichomeka chomeka mpaka watiwa. Baajun-seoul.
ReplyDeleteKaka Michu leo umetoa utani wa mwaka!
ReplyDeleteNa mdau wa Tarehe June 02, 2008 1:11 PM, Job true true, wewe he, kwa kutafsiri maneno... nhe he he
Tehetehetehe!
ReplyDeleteDuh .... Huyo jamaa kaka anaongea ama tumfananishe na "Chiriku au tuseme cherehani sijui"Mlielewana kweli kaka?au ndo ilikuwa vip mambo ya Gestures tuu!!?manake kama ujuavyo tena Kimombo yetu ya kuchochea kama mot wa kuni vile!!??
hahahha jamaaa anataka ujiko kwa issa michuzi huyo superstar kama michuzi lazima apige na wewe picha kirisi "TAKA" Rasho Hawa 1111 hiyo lol.
ReplyDeletehahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa halooooooooooooooo
ReplyDeletei lav yu michuzi!
Kama Michuzi alimpiga jamaa(CT) kimatumbi na akamuelewa kwamba anatakiwa apozi kwa snep tatizo lipo wapi nyie wafyetere? Mtakufa kudadadadeki zenu mkifikiri ng'eng'e mtaji! Ngoma unazamaishwa futi sita chini, huna kingine zaidi ya ng'eng'e!
ReplyDeleteWaulize FA(England), Kapelo ndo anajifunza ung'eng'e saa hizi! Madrid walichukua ubingwa baada ya kusota long tyme kama aka tatu hivi, Kapelo hajui Kispaniola wala ung'eng'e wala mavi ya ung'eng'e!
xris tucker ur the man! ain nobody lyk u,ma niga!
ReplyDeleteMAONGEZI YA MICHUZI NA CHRIS TUCKER:
ReplyDelete[Michuzi: Hallow, goodmorning]
[Tucker: Morning buddy..how r u doing hommie?]
[Michuzi: Me doing good, me saw u on video of jackie chain]
[Tucker: Hell Yeah..thats me, so how can u help u?]
[Michuzi: Me want photograph of you to put on my globe]
[Tucker: Oh no problem buddy, hurry up]
BAADA YA PICHA
[Michuzi: Can u give me your mobitel number?]
[Tucker: What is mobitel?]
[Michuzi: I want to send message to u when u go marekani]
[Tucker: Oohh..my phone number, its plus one two, eight...]
[Michuzi: Noo.. beep me I will save it]
DAH sikuweza kusikia yote manake body guard wa Tucker alikanyaga waya.
you make my day Michuzi LOL hahahahahahahahha
ReplyDeleteSwali ni Kwamba, Mli-elewanaje?....Maana Misupu Kimombo chako ni cha kudonyoa, Chris tucker Yeye k'yepe chake najua huwezi kaanga...Dah!!...Natumai ulikuwa na Mkalimani...Au ulitumia Lugha ya ishara Misupu "Gesture"?...
ReplyDeleteJust Joking Bana, Tucker is Friendly Guy, Great Personality, and very Funny at all the time...He Lives across the street from my House.[Kwa nini nisijipakulie??]
-BooSt3D.
Teheee heee heee. Picha ya CT na Mkuu wa nanihii ya nanihii. Uliweza kumhamasisha aje na Jackie kurekodi Rush Hour 4 huko Tegeta? Ndio utekelezaji wa sera za uwekezaji huo tena.
ReplyDeleteMichuzi naomba mtafute Vivica Foxx na Melinda Dolittle upige nao picha nataka niwaone nasikai wapi Mjini.
ReplyDeleteHalafu wewe uliye sema Michuzi kavaa $200 suit na Criss $2,000 suit, sasa kwa taarifa tako, bora Michuzi kajinunulia mwenyewe ,huyo Criss kapewa bure, hao ma stars wana penda vitu vya bure na ni wa kwanza kuomba celebrity discounts.
Ha ha ha he he!
ReplyDeletethat's a good 'un.
woote nyie malofa kumfanya mkuu wetu wa tegete mr. misupu mbumbumbu hivi mmesahau anakofanyia kazi ni waapi na aliwaambia level ya elimu yake iliishia chini ya mkungu......mnajuwa wote mnao mkandia bro misupu woote sidhani kama alikofika bro michuzi na watu wa level mbalimbali aliokutana nao ambao nyie mnaishia kuwaangalia kwenye luninga mtakaa hata muone walikokanyaga....wacheni ushamba ....who is C. tker by the way...inaamaana akija kwenu mtamwozesha dada zenu right away au..!!!!!!!!!!!wacha kuwa limbukeni....Big up bro. Misupu
ReplyDeleteNgomuo Bin Mdanganyika
Nyie mbona hivyo? Michu kashasema huyo jamaa sijui mnamuita chris alikimbilia kupiga picha na yeye sasa debe la nini?
ReplyDeleteHapo michu ndiyo celebrity maana nafikiri chris aliambiwa kwamba huyo ni Mheshimiwa mkuu wa nanihii kule nanihii, ingekua marekani labda michu ndo angemkimbilia jamaa. wengi wenu kwanza wivu tu, mnaishi US lakini hawa jamaa mnawaona kwenye TV tu. job true true
wewe boosted toa karanga zako hapa,eti jirani yake,KWAHIYO TUFANYAJE SASA??get a day job mofaka!
ReplyDeleteTuwache kumpaa kichwa huyo C.Tucker hana faida yoyote na maisha yako mbongo. kupiga picha nae sawa sawa na kupiga picha na ami Jey au Masanja mkandamizaji wa Ze comedy. hapo Michu jione kama umepiga picha na kina Kingwendu tu.
ReplyDeletemdau Paka la Kitchen- UK
Mkuu michuzi hongera sana sasa hapa leo ndio watu waliokuwa na vichwa maji ndio wameonekana acheni mambo ya kwanini sisi wote wabongo sasa mmejuaje kama michuzi lugha haipandi hiyo daily news anaongea kiswahili na hao watu anaongea nao kiswahili msimwangalia mtu kwa macho mumchunguze kwanza yupo vipi etii hajui ngeli sasa huyo jamaa aliongea nae kiswahili au mhhh kweli wabongo kwa mpango huu hatuendeleni maana comment nyingi sana hapa nimeona watu wana roho ya kwa nini hatuendi hivyo jamani kuna wengine haoa hapa kingwendu hamumjua mnaishia kuponda watu tu Keep it up Michuzi kazi nzuri sana....
ReplyDeleteJune 02, 2008 8:45 PM, <-- Acha Ngebe. Kama wewe unaishi uswahilini, kimpango wako...sio wote...Kichwa ka Box, you sound like you just came out of the Restroom, GET A LIFE.
ReplyDeleteMichuzi: Mwambie Huyu jamaa aoshe Mdomo wake na JIK, Mtoto ana mdomo mchafu kaa nini.
and Yes Tucker lives in my Neighborhood
-BooSt3D.
Chris Tucker kabla ya kuja Tanzania
ReplyDeletealitaka kujua watu maarufu wa Bongo.
Hivyo akapitia Wikipedia na kutambua kuwa Michuzi ni celebrity, wewe ingia ktk webusaiti
[[www.wikipedia.org]] hapo utaona
kuwa Michuzi anafahamika kwa blogu yake/yetu kusomwa zaidi na watu, yaani idadi ya wasomaji wa blogu hii haifikiwi na wasomaji wa magazeti yote ya Tanzania.
Hivyo kwa kulilia kupiga picha na Michuzi ni sehemu ya ma-celebrity kujitangaza, karibuni celebrity David Beckham nae akija kupanda Mlima Kilimanjaro hapo Bongo lazima atamtafuta Michuzi.
Mdau
Honolulu.
Duh yaani miaka yote ughaibuni kina Jesse jackson na Chris Tucker tunawasikia tu redioni na kuwaona kwenye TV, lakini watu Bongo mnabanana nao hivyo!
ReplyDeleteBongo tambarare. Ebwana eeh! narudi Nyumbani.
heheheh ....angalia jumba lake moja alilokua analiuza...kabla hajaja bongo...labda kweli ni funny wa blog yako wengi wakienda nje ya nchi hawaendi kichwa kichwa kama siye..wanafanya research ya hiyo sehemu au nchi wanayokwenda sio chini ya miezi sita kabla hawajaenda...kwa hiyo labda alistumble kwenye hii blog alivyosoma umbeya wa humu ukamvutia ...
ReplyDeleteWatu wengine jamani! hamnaga hata sens of hyuma sam taimz? Michuzi anajaribu kuwa funny wao wanakuja juu kaa moto wa kifuu. Loosen up sometimes people, stress mda wote? mtakufa siku si zenu.
ReplyDeleteMichuzi umenichekesha sana kwamba Chriss kakukomalia mpaka usnepu nae,LOL!
Glesi.
Huyo Grisi Takataka hilo domo chapati hakunjii?Kiwango mkuu wanaosema we ni sawa na Kina-kingwendu ni mabwege mtozeni,huyu jamaa ni proffesional na wanapenda kujiendeleza km hvi yupo a-city...we umeona sura ya kina Mzee Pwagu kwenye maonesho hayo labda tujaribu kuona jinsi gn tunawasupport artist wetu waweze kujitambua...Viva Tanzania!!
ReplyDeletepoa Kakungangania kupiga picha kwa Camera yako..
ReplyDeleteMdau Holland
Jamani Chris kulaleki namzimia kweli ningekuwa Bongo ningekuja kwenye Sullivan angalau nimtie machoni...tehe tehe teheeeeeee, Michu naomba umpe hug na kiss on my behalf...pls do so atakuelewa tu.Mkutano mwema nawaonea donge walahi.
ReplyDeleteBwana misupu wachekesha sana.Sio kwamba wewe ndio umenganda?
ReplyDeletejamani tusiwe na jazba haya ni mambo ya utani tu, watu wanaongea kujifurahisha bloguni.alafu anony june 02,2008 6:18pm umenichekesha sana.michuzi ni mpenda utani na si kweli kwamba hajui kingereza.anafahamu ila anapenda tu kuchokoza waosha vinywa.
ReplyDeleteMs Bennett
jamani kweli watu wanafanana,yani huyu chris Tucker anafanana na mtangazaji wa BBC mtanzania charles hillary.si ajabu akawa ndugu yake lol
ReplyDeleteHaaa!haa !! Shafiq unachekesha
ReplyDeleteStop being so serious ppl its just a pic,Haterz sit down,we r just having fun. Idc, Chris babe ur Cute.MISTEW hi,need some Highheel??lol.
ReplyDeleteSasa CT kakukosea nini? wewe unaejiita Nyau?????
ReplyDeleteU made my day Misupuz.Ila nimeshanga sana kumuona huyo CT alivyochoka.kwani alihamia unga limitedi ama bado anaishi marekani.Yani bro misupu,mtu akiaangalia picha kwa ghafla atadhani wewe ndio umetoka marekani na huyo jamaa anajipendekeza.Ila huyo jamaa is very funny na anaongea kama redio.
ReplyDeleteBig up bro.
Sasa na wewe unayejiita Ngomuo bin Mdanganyika!inaonekana ni mdanganyika kweli kweli kwa maana yake halisi!!kwani Umesikia Level of Education ina Matter kitu gani bwana!!??Hiyo kwa Michu ni Jokes tu!kwa kukurekebisha achana na hayo mawazo ya Kiwango cha elimu!kwani kuna watu kibao hapa Bongo wamesoma Elimu za Juu na vilevile mayai hayavunjiki(N'gen'ge!!) vigugumizi na Mate kibao wakiongea tena hata wengine wanafahamika wakiwemo wenye nafasi zao mahala fulanifulani!unasikia bwana!!
ReplyDeletePole!!!
Nwasupport Anonymous wa Tarehe June 02, 2008 8:22 PM na wengine mlioongelea kuh kumkandia mithupu na hiyo lugha ya wageni. Watu wengi wana a lot of misconceptions about Ndugu Muhidin Issa Michuzi.
ReplyDeleteThis is simply because they seem not to get the grasp his high creativity in making his blog as exciting as possible.Ni mara nyingi amekuwa ana potray multiple images mfano english is not richebo.
Hatuwezi kuwalaumu hawa wenzetu ni kwamba kama share ya kichwa chako mara nyingi unailekeza katika kubeba maboksi mara nyingi unakuwa unafikiria kiboksiboksi!LOL
anyway Malcom Forbes alisema hivi
"The dumbest people I know are those who know it all"
sasa i wonder ni vipi hawa wenzetu wanajua mpaka kuwa michuzi alikuwa ana conversate vipi na chris tucker!
ndiyo uboksi boksi huo!
Sasa nimeamini ulikuwa unatufunga kamba kwamba wewe sio selebliti mbona picha zote uko na wakali wa dunia.
ReplyDeleteACHA USHAMBA ISSA MICHUZI. CHRIS TUCKER AKUNG'ANG'ANIE WEWE??? IN YOUR DREAMS. HAAA HAAA HAAA.
ReplyDeleteNimekukubali, hiyo nafasi hata mimi ningeipata ningesambaza picha blog zote! zooooote hadi humu kwako ningeileta! Jamaa yu juu na ana kisu namzimika sana haswa ktk R.Hour one na two!
ReplyDelete--TheHaveNots
Michuzi, mbona hauhemi? You appear to bee out of breath!!! Chris Tucker nae ni mtu tu kama wengine jamani, next time you should loosen up!!!
ReplyDeleteBOOST3D wa june 02,10:53 UMENICHEKESHA HAHA,MWAYA KAMA JIRANI YAKO WALA USIOGOPE WANADAMU,WAO WANAONAGA MACELEBRITY KAMA WATU WA KUOGOPEWA,KUMBE NI MTU KAMA MIMI NA WEWE,HATA WEWE KESHO UNAWEZA UKAWA AU MIMI NIKAWA AU LABDA TAYARI WE ARE.KWAHIYO ACHANA NAE
ReplyDeleteCritic, Am with u 100%, Mistew U need 2 relax a lil.
ReplyDeleteHIVI WATU WENGINE MMEZALIWA KATIKA FAMILIA AMBAZO HAZIJUI MAANA YA UTANI?MICHUZI KUANDIKA KUWA TUCKER KAMKIMBILIA ILIKUWA JUST KUTUFANYA TUCHEKE...IT WAS NOTHING SERIOUSLY SO NASHANGAA MIJITU MINGINE INABANA PUA HAPA KUSEMA KUWA ISSA ANAJIPALILIA.
ReplyDeleteBOOST ALIPOSEMA KUWA TUCKER NI JIRANI YAKE HAIKUWA TATIZO MI NASHANGAA KWA NINI IKUUME WEWE...KAMA UNAISHI USWAHILINI NA CELEBS UNAWASIKIA REDIONI AU KWENYE TV HAYO NI MATATIZO YAKO USIMALIZIE HASIRA ZAKO KWA BOOST.NA UNAPOSEMA ETI KUPIGA PICHA NA TUCKER HAIBDALISHI MAISHA YA MTANZANIA, HIYO HAITUHUSU KAMA VIPI KAJIPANGE MICHUZI APIGE PICHA NA WEWE TUONE KAMA KIJIJINI KWENU NJAA NA MALARIA VITAISHA.
NA LASTLY HUYO JAMAA ALIEANDIKA CONVO YA MICHUZI NA TUCKER AMEANDIKA KAMA UTANI...ACHA UJINGA WA KUWA SENSITIVE KWA VITU AMBAVYO HAVINA MAANA..KUWA SERIOUS KWA MKEO NA WATOTO LAKINI TUNAPOKUTANA WATU TUNAOPENDA JOKES TUACHE TUFANYE JOKES KAMA INAKUUMA TRY BLOG NYINGINE U MUPPET!!
SAWYER umeongea point,sometimes watu wa humu wako so insensitive,masikini issa michuzi,sijui atakua alijisikiaje watu walivyokua wanakejeli bila hata haya. be humans jamani. its just a joke.
ReplyDeleteTucker kafanana na Jimmy Kabwe, Jimmy sijakuona masiku mengi!!
ReplyDelete