chris tucker kumbe naye ni mdau wa globu hii ya jamii. acha aning'ang'anie nipige nae snepu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 51 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2008

    Hahahhahahahahah
    I didnt know misupu your a funny sometimes! hahahh nini?? Kakungángania??
    you made my day kwa kweli ... nimecheka mpaka.....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2008

    Dhuuuuu! Huyu jamaa anapenda kutanua sana. Basi angalu omba basi kilongalonga ili atusaidie kutafuta kazi ugaibuni

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 02, 2008

    Hihihi Acha Kujipigia Deki a.k.a kujifagilia Kaka Misupu Yaani kama nakuona ulivosukuma watu hadi ukamkuta huyo chalii na uliomba sana hadi ukataka kulia upige nae picha..UONGOOOOO..hihihi Job true true

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 02, 2008

    sio mmatumbi atajuaje blog yako ya kimatumbi??hii ni kwa wamatumbi na wadanganyika wewe vipi mkuu wa nanihii ya nanihii

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 02, 2008

    Teh teh kaka naona kwa kujinganganiza kimobo wallahi naona njaaa ilikuuma ishia kucheka tuuuu

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 02, 2008

    bro acha mijisifa jamani naona ultema mimvua hope mniga hakuloa maana zaidi ya hallow!ni yes no yes no cjui nani kakuunganisha upate nae snep hiyo

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 02, 2008

    Kaka michuzi umependeza yani cha jabu suti yako $200 ya chris $2000 lakini wote mko sawa ,mtu akiiona hi picha anaweza fikiria Jackie Chan na Chris Tucker premier ya Rush Hour 4 lakini Jackie kapata Sun tun hahaha umetoka bomba

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 02, 2008

    aah,misupu mi huwa unaniuwaga kwa kujipalilia!kwanza we nani hata chris akunganganie?,hahaha,basi mpaka george kichaka atakua anakuelewa wewe!maana wapenda kujichomeka chomeka mpaka watiwa. Baajun-seoul.

    ReplyDelete
  9. Kaka Michu leo umetoa utani wa mwaka!
    Na mdau wa Tarehe June 02, 2008 1:11 PM, Job true true, wewe he, kwa kutafsiri maneno... nhe he he

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 02, 2008

    Tehetehetehe!
    Duh .... Huyo jamaa kaka anaongea ama tumfananishe na "Chiriku au tuseme cherehani sijui"Mlielewana kweli kaka?au ndo ilikuwa vip mambo ya Gestures tuu!!?manake kama ujuavyo tena Kimombo yetu ya kuchochea kama mot wa kuni vile!!??

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 02, 2008

    hahahha jamaaa anataka ujiko kwa issa michuzi huyo superstar kama michuzi lazima apige na wewe picha kirisi "TAKA" Rasho Hawa 1111 hiyo lol.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 02, 2008

    hahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa halooooooooooooooo

    i lav yu michuzi!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 02, 2008

    Kama Michuzi alimpiga jamaa(CT) kimatumbi na akamuelewa kwamba anatakiwa apozi kwa snep tatizo lipo wapi nyie wafyetere? Mtakufa kudadadadeki zenu mkifikiri ng'eng'e mtaji! Ngoma unazamaishwa futi sita chini, huna kingine zaidi ya ng'eng'e!
    Waulize FA(England), Kapelo ndo anajifunza ung'eng'e saa hizi! Madrid walichukua ubingwa baada ya kusota long tyme kama aka tatu hivi, Kapelo hajui Kispaniola wala ung'eng'e wala mavi ya ung'eng'e!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 02, 2008

    xris tucker ur the man! ain nobody lyk u,ma niga!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 02, 2008

    MAONGEZI YA MICHUZI NA CHRIS TUCKER:

    [Michuzi: Hallow, goodmorning]

    [Tucker: Morning buddy..how r u doing hommie?]

    [Michuzi: Me doing good, me saw u on video of jackie chain]

    [Tucker: Hell Yeah..thats me, so how can u help u?]

    [Michuzi: Me want photograph of you to put on my globe]

    [Tucker: Oh no problem buddy, hurry up]

    BAADA YA PICHA

    [Michuzi: Can u give me your mobitel number?]

    [Tucker: What is mobitel?]

    [Michuzi: I want to send message to u when u go marekani]

    [Tucker: Oohh..my phone number, its plus one two, eight...]

    [Michuzi: Noo.. beep me I will save it]

    DAH sikuweza kusikia yote manake body guard wa Tucker alikanyaga waya.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 02, 2008

    you make my day Michuzi LOL hahahahahahahahha

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 02, 2008

    Swali ni Kwamba, Mli-elewanaje?....Maana Misupu Kimombo chako ni cha kudonyoa, Chris tucker Yeye k'yepe chake najua huwezi kaanga...Dah!!...Natumai ulikuwa na Mkalimani...Au ulitumia Lugha ya ishara Misupu "Gesture"?...

    Just Joking Bana, Tucker is Friendly Guy, Great Personality, and very Funny at all the time...He Lives across the street from my House.[Kwa nini nisijipakulie??]


    -BooSt3D.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 02, 2008

    Teheee heee heee. Picha ya CT na Mkuu wa nanihii ya nanihii. Uliweza kumhamasisha aje na Jackie kurekodi Rush Hour 4 huko Tegeta? Ndio utekelezaji wa sera za uwekezaji huo tena.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 02, 2008

    Michuzi naomba mtafute Vivica Foxx na Melinda Dolittle upige nao picha nataka niwaone nasikai wapi Mjini.

    Halafu wewe uliye sema Michuzi kavaa $200 suit na Criss $2,000 suit, sasa kwa taarifa tako, bora Michuzi kajinunulia mwenyewe ,huyo Criss kapewa bure, hao ma stars wana penda vitu vya bure na ni wa kwanza kuomba celebrity discounts.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 02, 2008

    Ha ha ha he he!

    that's a good 'un.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 02, 2008

    woote nyie malofa kumfanya mkuu wetu wa tegete mr. misupu mbumbumbu hivi mmesahau anakofanyia kazi ni waapi na aliwaambia level ya elimu yake iliishia chini ya mkungu......mnajuwa wote mnao mkandia bro misupu woote sidhani kama alikofika bro michuzi na watu wa level mbalimbali aliokutana nao ambao nyie mnaishia kuwaangalia kwenye luninga mtakaa hata muone walikokanyaga....wacheni ushamba ....who is C. tker by the way...inaamaana akija kwenu mtamwozesha dada zenu right away au..!!!!!!!!!!!wacha kuwa limbukeni....Big up bro. Misupu

    Ngomuo Bin Mdanganyika

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 02, 2008

    Nyie mbona hivyo? Michu kashasema huyo jamaa sijui mnamuita chris alikimbilia kupiga picha na yeye sasa debe la nini?
    Hapo michu ndiyo celebrity maana nafikiri chris aliambiwa kwamba huyo ni Mheshimiwa mkuu wa nanihii kule nanihii, ingekua marekani labda michu ndo angemkimbilia jamaa. wengi wenu kwanza wivu tu, mnaishi US lakini hawa jamaa mnawaona kwenye TV tu. job true true

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 02, 2008

    wewe boosted toa karanga zako hapa,eti jirani yake,KWAHIYO TUFANYAJE SASA??get a day job mofaka!

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 02, 2008

    Tuwache kumpaa kichwa huyo C.Tucker hana faida yoyote na maisha yako mbongo. kupiga picha nae sawa sawa na kupiga picha na ami Jey au Masanja mkandamizaji wa Ze comedy. hapo Michu jione kama umepiga picha na kina Kingwendu tu.
    mdau Paka la Kitchen- UK

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 02, 2008

    Mkuu michuzi hongera sana sasa hapa leo ndio watu waliokuwa na vichwa maji ndio wameonekana acheni mambo ya kwanini sisi wote wabongo sasa mmejuaje kama michuzi lugha haipandi hiyo daily news anaongea kiswahili na hao watu anaongea nao kiswahili msimwangalia mtu kwa macho mumchunguze kwanza yupo vipi etii hajui ngeli sasa huyo jamaa aliongea nae kiswahili au mhhh kweli wabongo kwa mpango huu hatuendeleni maana comment nyingi sana hapa nimeona watu wana roho ya kwa nini hatuendi hivyo jamani kuna wengine haoa hapa kingwendu hamumjua mnaishia kuponda watu tu Keep it up Michuzi kazi nzuri sana....

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 02, 2008

    June 02, 2008 8:45 PM, <-- Acha Ngebe. Kama wewe unaishi uswahilini, kimpango wako...sio wote...Kichwa ka Box, you sound like you just came out of the Restroom, GET A LIFE.

    Michuzi: Mwambie Huyu jamaa aoshe Mdomo wake na JIK, Mtoto ana mdomo mchafu kaa nini.

    and Yes Tucker lives in my Neighborhood

    -BooSt3D.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 02, 2008

    Chris Tucker kabla ya kuja Tanzania
    alitaka kujua watu maarufu wa Bongo.
    Hivyo akapitia Wikipedia na kutambua kuwa Michuzi ni celebrity, wewe ingia ktk webusaiti
    [[www.wikipedia.org]] hapo utaona
    kuwa Michuzi anafahamika kwa blogu yake/yetu kusomwa zaidi na watu, yaani idadi ya wasomaji wa blogu hii haifikiwi na wasomaji wa magazeti yote ya Tanzania.

    Hivyo kwa kulilia kupiga picha na Michuzi ni sehemu ya ma-celebrity kujitangaza, karibuni celebrity David Beckham nae akija kupanda Mlima Kilimanjaro hapo Bongo lazima atamtafuta Michuzi.

    Mdau
    Honolulu.

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 02, 2008

    Duh yaani miaka yote ughaibuni kina Jesse jackson na Chris Tucker tunawasikia tu redioni na kuwaona kwenye TV, lakini watu Bongo mnabanana nao hivyo!

    Bongo tambarare. Ebwana eeh! narudi Nyumbani.

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 03, 2008

    heheheh ....angalia jumba lake moja alilokua analiuza...kabla hajaja bongo...labda kweli ni funny wa blog yako wengi wakienda nje ya nchi hawaendi kichwa kichwa kama siye..wanafanya research ya hiyo sehemu au nchi wanayokwenda sio chini ya miezi sita kabla hawajaenda...kwa hiyo labda alistumble kwenye hii blog alivyosoma umbeya wa humu ukamvutia ...

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 03, 2008

    Watu wengine jamani! hamnaga hata sens of hyuma sam taimz? Michuzi anajaribu kuwa funny wao wanakuja juu kaa moto wa kifuu. Loosen up sometimes people, stress mda wote? mtakufa siku si zenu.
    Michuzi umenichekesha sana kwamba Chriss kakukomalia mpaka usnepu nae,LOL!
    Glesi.

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 03, 2008

    Huyo Grisi Takataka hilo domo chapati hakunjii?Kiwango mkuu wanaosema we ni sawa na Kina-kingwendu ni mabwege mtozeni,huyu jamaa ni proffesional na wanapenda kujiendeleza km hvi yupo a-city...we umeona sura ya kina Mzee Pwagu kwenye maonesho hayo labda tujaribu kuona jinsi gn tunawasupport artist wetu waweze kujitambua...Viva Tanzania!!

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 03, 2008

    poa Kakungangania kupiga picha kwa Camera yako..
    Mdau Holland

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 03, 2008

    Jamani Chris kulaleki namzimia kweli ningekuwa Bongo ningekuja kwenye Sullivan angalau nimtie machoni...tehe tehe teheeeeeee, Michu naomba umpe hug na kiss on my behalf...pls do so atakuelewa tu.Mkutano mwema nawaonea donge walahi.

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 03, 2008

    Bwana misupu wachekesha sana.Sio kwamba wewe ndio umenganda?

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 03, 2008

    jamani tusiwe na jazba haya ni mambo ya utani tu, watu wanaongea kujifurahisha bloguni.alafu anony june 02,2008 6:18pm umenichekesha sana.michuzi ni mpenda utani na si kweli kwamba hajui kingereza.anafahamu ila anapenda tu kuchokoza waosha vinywa.
    Ms Bennett

    ReplyDelete
  36. AnonymousJune 03, 2008

    jamani kweli watu wanafanana,yani huyu chris Tucker anafanana na mtangazaji wa BBC mtanzania charles hillary.si ajabu akawa ndugu yake lol

    ReplyDelete
  37. AnonymousJune 03, 2008

    Haaa!haa !! Shafiq unachekesha

    ReplyDelete
  38. AnonymousJune 03, 2008

    Stop being so serious ppl its just a pic,Haterz sit down,we r just having fun. Idc, Chris babe ur Cute.MISTEW hi,need some Highheel??lol.

    ReplyDelete
  39. AnonymousJune 03, 2008

    Sasa CT kakukosea nini? wewe unaejiita Nyau?????

    ReplyDelete
  40. U made my day Misupuz.Ila nimeshanga sana kumuona huyo CT alivyochoka.kwani alihamia unga limitedi ama bado anaishi marekani.Yani bro misupu,mtu akiaangalia picha kwa ghafla atadhani wewe ndio umetoka marekani na huyo jamaa anajipendekeza.Ila huyo jamaa is very funny na anaongea kama redio.
    Big up bro.

    ReplyDelete
  41. AnonymousJune 03, 2008

    Sasa na wewe unayejiita Ngomuo bin Mdanganyika!inaonekana ni mdanganyika kweli kweli kwa maana yake halisi!!kwani Umesikia Level of Education ina Matter kitu gani bwana!!??Hiyo kwa Michu ni Jokes tu!kwa kukurekebisha achana na hayo mawazo ya Kiwango cha elimu!kwani kuna watu kibao hapa Bongo wamesoma Elimu za Juu na vilevile mayai hayavunjiki(N'gen'ge!!) vigugumizi na Mate kibao wakiongea tena hata wengine wanafahamika wakiwemo wenye nafasi zao mahala fulanifulani!unasikia bwana!!
    Pole!!!

    ReplyDelete
  42. Nwasupport Anonymous wa Tarehe June 02, 2008 8:22 PM na wengine mlioongelea kuh kumkandia mithupu na hiyo lugha ya wageni. Watu wengi wana a lot of misconceptions about Ndugu Muhidin Issa Michuzi.
    This is simply because they seem not to get the grasp his high creativity in making his blog as exciting as possible.Ni mara nyingi amekuwa ana potray multiple images mfano english is not richebo.
    Hatuwezi kuwalaumu hawa wenzetu ni kwamba kama share ya kichwa chako mara nyingi unailekeza katika kubeba maboksi mara nyingi unakuwa unafikiria kiboksiboksi!LOL
    anyway Malcom Forbes alisema hivi
    "The dumbest people I know are those who know it all"
    sasa i wonder ni vipi hawa wenzetu wanajua mpaka kuwa michuzi alikuwa ana conversate vipi na chris tucker!
    ndiyo uboksi boksi huo!

    ReplyDelete
  43. AnonymousJune 03, 2008

    Sasa nimeamini ulikuwa unatufunga kamba kwamba wewe sio selebliti mbona picha zote uko na wakali wa dunia.

    ReplyDelete
  44. AnonymousJune 03, 2008

    ACHA USHAMBA ISSA MICHUZI. CHRIS TUCKER AKUNG'ANG'ANIE WEWE??? IN YOUR DREAMS. HAAA HAAA HAAA.

    ReplyDelete
  45. AnonymousJune 03, 2008

    Nimekukubali, hiyo nafasi hata mimi ningeipata ningesambaza picha blog zote! zooooote hadi humu kwako ningeileta! Jamaa yu juu na ana kisu namzimika sana haswa ktk R.Hour one na two!

    --TheHaveNots

    ReplyDelete
  46. AnonymousJune 03, 2008

    Michuzi, mbona hauhemi? You appear to bee out of breath!!! Chris Tucker nae ni mtu tu kama wengine jamani, next time you should loosen up!!!

    ReplyDelete
  47. AnonymousJune 03, 2008

    BOOST3D wa june 02,10:53 UMENICHEKESHA HAHA,MWAYA KAMA JIRANI YAKO WALA USIOGOPE WANADAMU,WAO WANAONAGA MACELEBRITY KAMA WATU WA KUOGOPEWA,KUMBE NI MTU KAMA MIMI NA WEWE,HATA WEWE KESHO UNAWEZA UKAWA AU MIMI NIKAWA AU LABDA TAYARI WE ARE.KWAHIYO ACHANA NAE

    ReplyDelete
  48. AnonymousJune 03, 2008

    Critic, Am with u 100%, Mistew U need 2 relax a lil.

    ReplyDelete
  49. AnonymousJune 03, 2008

    HIVI WATU WENGINE MMEZALIWA KATIKA FAMILIA AMBAZO HAZIJUI MAANA YA UTANI?MICHUZI KUANDIKA KUWA TUCKER KAMKIMBILIA ILIKUWA JUST KUTUFANYA TUCHEKE...IT WAS NOTHING SERIOUSLY SO NASHANGAA MIJITU MINGINE INABANA PUA HAPA KUSEMA KUWA ISSA ANAJIPALILIA.

    BOOST ALIPOSEMA KUWA TUCKER NI JIRANI YAKE HAIKUWA TATIZO MI NASHANGAA KWA NINI IKUUME WEWE...KAMA UNAISHI USWAHILINI NA CELEBS UNAWASIKIA REDIONI AU KWENYE TV HAYO NI MATATIZO YAKO USIMALIZIE HASIRA ZAKO KWA BOOST.NA UNAPOSEMA ETI KUPIGA PICHA NA TUCKER HAIBDALISHI MAISHA YA MTANZANIA, HIYO HAITUHUSU KAMA VIPI KAJIPANGE MICHUZI APIGE PICHA NA WEWE TUONE KAMA KIJIJINI KWENU NJAA NA MALARIA VITAISHA.

    NA LASTLY HUYO JAMAA ALIEANDIKA CONVO YA MICHUZI NA TUCKER AMEANDIKA KAMA UTANI...ACHA UJINGA WA KUWA SENSITIVE KWA VITU AMBAVYO HAVINA MAANA..KUWA SERIOUS KWA MKEO NA WATOTO LAKINI TUNAPOKUTANA WATU TUNAOPENDA JOKES TUACHE TUFANYE JOKES KAMA INAKUUMA TRY BLOG NYINGINE U MUPPET!!

    ReplyDelete
  50. AnonymousJune 04, 2008

    SAWYER umeongea point,sometimes watu wa humu wako so insensitive,masikini issa michuzi,sijui atakua alijisikiaje watu walivyokua wanakejeli bila hata haya. be humans jamani. its just a joke.

    ReplyDelete
  51. AnonymousJune 05, 2008

    Tucker kafanana na Jimmy Kabwe, Jimmy sijakuona masiku mengi!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...