supa modo cynthia masasi majuzi kazindua tovuti mpya ambayo ni http://www.cynthiamasasi.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2008

    Cynthia na wewe kwa uchokozi!!!!!!!!!!!,

    Mi hayo macho tu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2008

    another one??? c'mon chick!! wat's new mama?????? mi cioni jipya kwa huyu mam'dogo.. nothing...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 16, 2008

    Hongera Cynthia, All the best!
    Website iko bomba.

    Love, Mama Kishimundu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 16, 2008

    Cynthia is not a supermodel. She models music videos etc within her locality. A super model is "An extremely successful and internationally famous fashion model." eg Naomi Campbell (see Online dictionary)

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 16, 2008

    LMFAO......

    Low priced hoo*er. Hivi Mbelwa yuko wapi siku hizi?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 16, 2008

    tovuti mpya au ameikarabati?becoz hiyo tovuti ilikuwepo muda mrefu tu!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 16, 2008

    Cynthia if we call you supermodel, I wonder what name we should call Janice Dickinson, Tyra banks, Naomi Campbell, Iman, Kate Moss. Therefore blog owners (Michuzi, Haki -Ngowi, TK, TZUK and the rest of you who have printed this nonsense!!) you have responsibility on what you print on these sites, so get your facts straight. The lady (not sure if she even is a lady) in question here is what myself and plenty more people will call a gruppy/video chic!!!

    I do not hate on the hustle you are doing, to make ends meet or whatever; so long as you do not try and lie to noble citizens and young girls of Tanzanian community that nowadays have access to the internet; especially when you ask then to contact you if they want to get into modelling; what advice do you have for them, sleep with few rappers then you will be on your way to Milan and fashion week……. That certainly did not work for you; nor am I wrong here!

    As a mother and a good pioneer for a better Tanzania; I call girls like you a poison to our community; the community which needs to strive on excellence, true hard work, honesty and good leaders and role models; which these are qualities that you are obviously lacking, its sadden that these good upcoming journalist have allowed you to get into these blogs.

    If you are a young girl out there and hope of becoming a model one day, being a video girl is not a way forward, you need to strive on becoming high fashion and not a glamour model. African models are in big demands all round the world, and even at home. We now have wonderful designers at home Mustafa, Khadija Mwanamboka etc and plenty more in the days to come, so have respect for your bodies, modelling is art and not a desire for back minded people with no class.

    That’s all

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 17, 2008

    wewe anon wa June 16, 2008 9:55 PM uemuamulia cynthi umeandika hiyo msg katika blog kama tano duu mama unahasira inabidi utafute kazi ya kufanya kwa sababu hizo hasira zako usije kumuua mtoto wa watu buree.mi naona mi model mzuri tuu na michuzi na wenye blog zao wanamwita supa modo kwa sababu ni kweli ndio supa modo wetu wakibongo.kama unaweza kumwita Fide supa modo cinthia ni supa supa supa modo wa nguvu hongera mtoto wa mwanza mi nakufagilia wawawaaaaaaaaaa wachawi ni wachache na mashabiki ni wengi kwa hiyo kaza buti tu.halafu brothe mithupu mchokozi hiyo picha kavaa jezi namba 1 na jina lako mi sina la kusema tena.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 17, 2008

    Mama mtoto aliyemwaga pointi za ungenge kasema kweli jamani.Kama ni mfano wa kuigwa kwa mabinti zetu hapana kwa kweli lakini kipi bora kuwa video model na ulipwe au kusimama barabarani.Chochote anachofanya si kwa ajili yake amesaidia ndugu zake an jamii yake pia. kinachoendelea kazini kwake hayo ni mengineyo kwani hata kwenye kazi za suti na tai kuna uchafu usio kithirika.
    Wanomsapoti wanaona ameleta maendeleo hata majambazi husaidia nchi na familia zao pia kwa hiyo mimi binafsi nampongeza kwa jitihada zake maana kuna watu wamekaa tu hawajishughulizhi wanatubebesha mizigo ndugu zao. Kwa upande wa maadali ni uhuru wa mtu binafsi siku hizi dunia imetandawazwa sana kiasi udhibiti unamipaka yake mtu anapokuwa mtu mzima hufanya uamuzi binafsi mwisho kabisa binadamu yoyote yule atapendwa ama kuchukiwa na watu. Unayemchukia usiinfluence watuu wengine wamchukie au unayempenda usi infulence wa mpende kwa sababu umempenda kwani nia yetu sote ni kujenga na si kubomoa hivyo tuheshimiane katika hisia zetu. Jambazi mtoa roho za watu haonekani ubaya wake kama dada poa au mcheza shoo na vyote kwa maadili si vitu vya kupendeza.
    Kwetu sisi tunamwona supamodo kwani hata kutokea kwenye video hizo kwa Mtz si jambo baya kwani hakuna aliye wahi kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kimataifa zaidi ya Milen aka Happiness Magesse na sasa cynthia kama kuna wenigne nisiowajua nawapongeza pia ila nao watapondwa sijui tukoje hivi tunafurahia wote tubakie hapo hapo watu wasiendelee why?? kwanini?? ( cosota mzinishitaki kwa hili)

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 17, 2008

    wewe unayemwaga ung'eng'e mbuzi sikiliza cynthia kakukosea nini sisi ndio tunamuona supermodel hutaki kivyako kula jiwe sukumia na makamasi au bwana yako anamtaka sinsia nini unaenda mbali sana kama vile una beef na huyu dada umepoteza nuda mwingi kwenye dictinary kuandika kizungu mi sijui point yako ni nini.tuna masupermodel kibao kina miriam odemba,nancy,flaviana na wengine kwa hiyo dada michuzi akisema supermodel anamaanisha acha roho ya kijuba.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 17, 2008

    Wewe kwenda zako huko domo kubwa ndio maana umeamka week nzima hujapika mswaki kingereza chenyewe cha nursery hebu kata miguu huko usitake kutuharibia lugha yetu maana hizo sentensi zako hazina hata vituo maalum wewe umesoma kweli maana mhhh unalazimisha kingereza ambacho hakina hata mpango wewe nahisi ndio una beef na huyu sister maana kuna sehemu nyingi sana nimekuta amekupaka au amekutukana sana na saa zingine unatumia jina lake kumchafulia jina lake acha mambo yako ya kishamba wewe unamfahamu au ulimzaa tafuta maisha yako na wewe hata kama umalaya si bora unaingiza hela wewe vipi wewe utaishia kumwonge wivu mwenzako unalala unakula mlenda kula maisha binti sasa niwakati wako sio unakaa na kuanza majungu yasiyokuwa na mpango au umempenda kama wewe lesbian sema basi maana point zako ulizoziandika za kijinga tu hamna hata kitu cha maana hapo.....

    Mhhh Michuzooo na wewe nakuamiania kufunga safari mpaka U.S huoni hasara maana na wewe nimekukubali sio mchezo mkuu lakini lazima kuwabana ila angalia usijekukanyaga koto tu maana mhhh sio mchezo sasa hivi

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 17, 2008

    JAMANI HII NI BONGO SISI HAPA TUNAPENDA CHEAP PUBLICITY, HAPA WATU LAZIMA WAELEWE KUWA CYNTHIA ANAPOTAMBULISHWA KUWA NI SUPA MODEL AKIWA NJE YA NCHI INA MAANA KUWA HICHO NDICHO KIWANGO ALICHONACHO HUKO ALIKO SASA SIJUI NA SINA UHAKIKA KAMA HICHO NDICHO KIWANGO ALICHOKIFIKIA HUKO ALIKO AU NI KWANGO TUNACHOMPA WABONGO KUMPANDISHA CHATI HEWA NA AJIONE AMEWAZIDI MASUPA MODO WA HUKO KAMA YULE ALIYEMPONDA ETOO.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 17, 2008

    ooh supa modo unasell mwili ah!mbona nyie mmejaa ofisini na visuti vyenu ndio zero kabisa,tabia ya kusell mwili ni tabia binafsi,these girls(supa modos)are doing very gud miriam,agness,cynthia ,flaviani sasa haters mbona mna roho mbaya hivyo

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 17, 2008

    Haterz!
    Mi nasema kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji!
    You go gal, don't give a damn to what people say as long as you know what you do is appreciated by some of us!
    One love ma

    ScArEcRoW

    ReplyDelete
  15. HONGERA KWA KUWA MJASIRIAMALI BORA. UNGETUANZISHIA VIJISEMIA VYA BURE ILI WENGINE TUJIKWAMUE VILEVILE

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 17, 2008

    Anon wa June 17, 2008 12:57 AM PAMOJA NA JIMAMA ULIYEMWAGA UNG'ENG'E CONGR.MMEONGEA POINT SANA HAKIKA NYIE NDIO INADAMU MNATAKIWA KUISHI HAPA DUNIANI HASWA KWA KIZAZI HIKI CHA UKIMWI WENGINE MMEOSHA VINYWA BURE BORA MNGEENDA KUOSHA VYOMBO HOME.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 17, 2008

    June 17, 2008 12:57 AM umeongea point mtuwangu nakuoshea sana.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 17, 2008

    Yawezekana watu hawapendi kitendo cha Cynthia Masasi kuwa "hammer girl" katika wimbo wa rapper Juvenile,hii inatokana tu na hisia kwamba Rappers ni wahuni sana(asilimia kubwa ni hivyo).Hata hivyo fani ya model kama ya kina Naomi Campbell au kama miss Tanzania pia ni uhuni kwa mujibu wa imani zetu za kidini kama mtakumbuka kuna miss Kinondoni alishawahi kuachia taji kwa sababu la shinikizo la kidini kutoka kwa familia.
    Cha msingi hapa ni mhusika kujiheshimu na kufanya shughuli ambayo angalau inakubalika miongoni mwa wanajamii.
    Hoja zote za kumpinga ama kumpongeza mtu zote kwa pamoja ni muhimu kwa maendeleo.Kauli mbiu aliyoisema Cynthia Masasi kwamba "Don't hate,congratulate" inaonesha kwamba ndugu huyu anapenda kusifiwa sana,lakini sifa zinaharibu,na pia watu wana perceptions tofauti hivyo haiwezekani wote kukuunga mkono pindi wanapoangalia jambo kwa mtazamo tofauti.Hii inasaidia kujua uzuri na ubaya wa shughuli unayoifanya.
    Anony wa June 16, 2008 9:55 PM ametoa views zake katika ulimbwende.Kitu nilichogundua kutoka kwake ni kwamba anazungumzia aina za u modal zinazokubalika na jamii nyingi,na kwa mtizamo wangu mimi ninaweza pia kumshauri Cynthia kwamba hatua aliyofikia ni ya juu,na ameweza kujitambulisha mwenyewe hivyo asahau yaliyopita na kujishughulisha na masuala ya urembo ambayo yanakubalika hata na jamii yetu.
    Tukumbuke kua unaweza ukafanikiwa kwenye jambo fulani lakini jamii isipendezwe nawe kutokana na kuona kwamba unachokifanya ni hatari kwa maadili ya jamii yetu.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 17, 2008

    Hi Dada Cynthia,habari za shughuli zako.Watoa comments wengi hapa naona wanakufahamu vizuri.Tunaomba full photo yako tuone na nusu ya body lako ambalo umekataa kutuonyesha,kama ni namba 8 shwari kama ni....shwari vile vile.Hatuwezi kuku-judge kwa kukuangalia uso 2.Tafadhali 'anti'.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 17, 2008

    Nyie "anonis" wa June 17, 2008 1:17 AM,June 17, 2008 4:18 AM shida zenu nini hasa maana lugha ni mawasliano na mawasiliano ni kwamba ujumbe kutoka kwa "sender" umfikie "receiver" na "receiver" auelewe Alichoandika "anoni" wa June 16, 2008 9:55 PM si mmekielewa shida ya nini sasa ni kutoelewa au kuchukizwa na ujumbe? maana mmekurupukia mambo hovyohovyo tu.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 17, 2008

    Mimi penginepo ni mbongo ambaye sina chuki naye, ila naona huyu dada wetu wa kiafrika damu ya kimarekani imemuenea sana. HAYA SASA KUVAA MACHO YA PAKA KUNASAIDIA NINI? Masasi macho yaki ni brown na yanakupendeza, kwanini usibakie na uafrika wako, na badala kuiga wamarekani weusi.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 17, 2008

    Hey wewe Anonymous wa June 17 4:23P.M umenichekesha sana,mimi ndiye,nilikuwa naomba full photo ya huyu 'mdada'manake nimekodolea mimacho yangu picha zile 2 zikanichanganya!!Sikuamini kama ni mtu yuleyule,kumbe kuna kuvaa macho ya Paka.
    Nilishajiuliza hawa akina dada wengi wa kimarekani waimba muziki huwa wanaenda Saloon gani..kumbe kuna kuvaa sura bandia!Kweli blog inaelimisha!Watanz-america tusaidieni kuna kuvaa sura za paka??

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 17, 2008

    Cynthia Wakokaya,Mwanza geteeeeeeeeeee!!!!!.Tuwasiliane dada,toa namba yako tafadhari.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 17, 2008

    Anynomous wa 9:55am ametoa points zenye ukweli ndani yake kwani kwa kweli huyu binti ni mzuri sana na anaweza kuwa super model siku moja kama ataendelea to work hard in this field kwani she has the potential of that as far as looks are concerned. Frankly super models nimewasikia wengi wao lakini siyo huyu binti Cynthia and I am proud to know that she is Tanzanian.
    Anonymous of 9:55am (please people even if you are anonymous you can pick any name to use at the end of your comments for reference purposes....uuuhhh) katoa wasaa unaoweza kuwasaidia binti zetu waweze kufanikiwa katika career zao bila kushusha hadhi zao. Modeling business is tricky if one wants to continue to keep her/his dignity up kwani kuna watu katika field hiyo ambao hupenda kuwatumia young aspirants vibaya. Hivyo aliyotoa huyo dada ni mawazo mazuri japo nadhani ana hasira na Cynthia somehow....may be she knows her better.

    Goodluck Cynthia and God Bless......girl you are so so beautiful and I wish you success to make your country proud.

    JK - T.O.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 17, 2008

    halafu hiyo fulanazzzz!!!!!!ya jezi No.1 ya mkuu wa Tageta imekutoa chicha wewewewe!!! sema tu hii picha inatunyima raha kwa kuwa haikutolewa mpaka chini?

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 18, 2008

    Hii kitu inatakiwa mtu kuiweka ndani na kuipa huduma zote muhimu...

    Hapa lazima nifanye bidii kuitongoza nitangaze ndoa kabisa ili watu msipige tena kelele...

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 18, 2008

    JAMANI KWANINI KONYAGI USA HAWAMTUMII HUYU BINTI??????????????????????????????????????????????????

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 18, 2008

    Kuhusu hayo macho, hapo juu mdau umenichekesha.
    Kweli usipokua muangalifu utauziwa mbuzi kwenye gunia.
    Masasi weka picha zenye macho ya brown.
    Au huko marekani mrembo lazima awe na macho kama mdau alivyosema ya paka?

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 19, 2008

    Naomba kujua mafanikio yake ameisaidiaje nchi yake ambayo ni moja kati ya nchi maskini duniani??? maana naona kila siku anajitangaza! naomba kujua jamani, labda mie nimepitwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...