Hello Mr. Michuzi,
Salaamu nyingi sana popote ulipo. Leo katika pita pita zangu mtandaoni nikaamua kutafuta site za Cameroon zenye kuzungumzia game yetu ya jana (just to see their perception of the game) then nikatranslate to English using Google.
Naona haitakuwa vibaya ku-share na watanzania wenzangu popote pale walipo duniani. Hivyo basi naomba uweke hii news kwenye blog yako.

In short Wacameroon wame-admire sana Uwanja wetu pamoja na ukarimu wa hali ya juu tuliowaonyesha hapa nyumbani kiasi kwamba wakatarajia kuibuka na ushindi kwa sababu tu atmosphere ilikuwa bomba sana (plus pitch ni bomba na wamezoea pitch kama hiyo ulaya).
Tusiandikie mate wakati wino upo.
Kwa wanaojua kifaransa link hii hapa:

Kwa wanaotaka tafsiri kwa kiingereza nimeweka link hii (Nimetranslate using google): http://translate.google.com/translate?u=http%3A%2F%2F
www.camfoot.com%2F&sl=fr&tl=en&hl=en&ie=UTF-8
Photo gallery:
http://www.camfoot.com/spip.php?page=walma&id_article=9431
I hope brother Michu utaweka hii news hewani.
Thanks and regards.
Emmanuel Mnzava

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Thanx Michu kwa kuweka hewani,
    However kwenye link ya translation.. hizo link mbili zinazofuatana ni moja. Hivyo ili mtu aweze kupata translation ni lazima awe na full link. Nilijaribu kuclick translation lakini nikakuta inapoint kwenye link ya juu tu na kuacha ya chini yake. Hivyo yoyote atakayetaka tafsiri itambidi acopy na link ya pili na kuongeza kweny link ya kwanza.

    Pia kuna link nyingine ya photo gallery ya game yenyewe:

    http://www.camfoot.com/spip.php?page=walma&id_article=9439

    regards,
    mnzava

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2008

    CAMEROUN INATATUMI LUGHA MBILI ZA KIFARANSA NA KIINGIREZA BASI KUTAKUWA NA SITE ZA KIINGIREZA PIA KAMA SIKOSEI.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 16, 2008

    NOMA:

    Cape Verde Wamemchapa Mauritius huko Mauritius. Hivyo jamaa wana pt 6.

    Msimamo:

    Cameroun 7
    Cape Verde 6
    Tanzania 2
    Mauritius 1

    Bado mechi 3. Mhhhh

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 16, 2008

    Just right click ktk link yoyote ya hiyo page then scroll down to "Page Info" then click "Translate to English". Kwahiyo site yote hiyo inakuwa kwa kiingereza.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 16, 2008

    Daaaaaaa Mdau vizuri sana tumeona tunashukuru sana kwa sisi tuefahamu france kidogo tumeelewa sasa hivi unaweza kutanslete kutoka kifaransa kwenda kiswahili au haiwezekani maana situmii sana hii translate ya google

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 16, 2008

    NILISHALIONA HILI KUWA TANZANIA HAKUNA MATUMAINI HAPO.CHA ZAIDI NI KUJIVUNIA HIYO SARE TU NA CAMEROUN. ZAIDI ZAIDI NI KUJIANDAA NA MAKOMBE MENGINE YALIYOPO MBELE YETU NA SI KUFIKIRIA KWENDA ANGOLA AU SOUTH AFRICA.NOOO HAKUNA KITU KAMA HICHO TENA.MECHI ZILIZOBAKI ZIWE NI MAZOEZI YA KUJINOA KUIWEKA TIMU KWENYE MSTARI MZURI-IWE FIT

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 16, 2008

    Hapa inabidi tuzifunge Mauritius na Cape Verde tuwe na point 8, halafu tusifungwe na Cameroun ktk mechi ya marudiano. Hongera Stars kwa matokeo ya jumamosi ila kazi bado kubwa!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 16, 2008

    TENGA NA TFF ANZISHENI MKAKATI WA KUHAKIKISHA VIWANJA VYOTE VYA MPIRA VILIVYOJENGWA NA WANANCHI MIKOANI WAKATI WA CHAMA KIMOJA VINACHUKULIWA NA SERIKALI.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 16, 2008

    anon hapo juu,viwanja kama ccm kirumba vilitokana na nguvu ya wananchi kwa michango ya hali na mali sasa serikali ikivitaifisha itakuwa ni uporaji wa hali ya juu.rejea mambo yanavyoendelea uwanja wa nyamagana mwanza ambapo serikali imeingia mkataba na wawekekezaji kinyume na matakwa ya wananchi wa wilaya ya nyamagana na wadau wote wa soka na utamaduni
    asante
    nzehe

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 16, 2008

    pamoja na hayo hawa watoto wakaze buti kushinda matcha za zilizobaki kulinda heshima,

    nachoweza kusema matcha ya stars na simba wasiofungika ilikuwa somo kwetu ukweli walitupenda watanzania wakatufundisha mpira kwa kucheza show game yaani jamaa wala hawakukaza ila huko kwao cijuwi.........

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 16, 2008

    Haya Kamateni baadhi ya Tranlations basi kama hamzioni kwenye kink zenu;


    Stars not afraid of big names. " This sentence is the national football coach of Tanzania. A sort of motivation for troops and insurance for 60 000 spectators who will take stormed the National Stadium in the afternoon of Saturday, June 13. On the eve of the meeting, we stretched our micro certain members of the Cameroonian delegation present at Dar es Salaam. Excerpts follow.
    Rigobert Song, captain of the Indomitable Lions of Cameroon

    We are happy to be in Tanzania and we intend to remain on our successful series begun by the first two games. We have respect for this team, but we do not want surprises. This is a team that we do not know much that is why we are going to take everything seriously. We are certainly lions, but we must respect the team of Tanzania because the ball is round. We will simply play as the Indomitable Lions. Tomorrow we will stay focused because what interests us is the victory and morale of troops. I hope that my teammates and I will continue on the path to success empochant points on 9 matches to go. The climate here is not so far different from that of Cameroon.


    Linus Pascal Fouda, head of the department of communication MINSEP

    I do not have a forecast for the match tomorrow. I only hope that the lions will continue the momentum they have given over the past two weeks now, they will take full points tomorrow to liberate themselves in the spirit of this first round is what we say when even a tour trap. When you read the statements by Tanzanian coach, we must take this match seriously, take full points tomorrow and wait for the last three matches as calmly as possible. I do not think that is the lawn that will determine the outcome of the meeting tomorrow. The manner with which the lions will address this match will be decisive. It is true football is not an exact science but have still shook it absurd that Tanzania beat the Cameroon tomorrow. With the confidence that emerges from the group and good ambiance, this is really a big surprise. The lawn is a plus for the lions, especially when you sort of Curpipe. I think they may well develop their game, facing 60 000 spectators Tanzanians it does not looks easy, but the lions have already gone through the stages more difficult than the latter. Do not be fooled especially, Tanzanians we all applause during training, but tomorrow they will all be behind their team. It is quite normal. Cameroon and its stars enjoy an international reputation, you just have to see Eto'o posters across the city to testify. The names of Song and Geremi back very often in conversations, but I say we must remain vigilant and focus on our subject.

    Thomas Nkono, Cameroon international and former coach of Guardians

    Tomorrow we will encounter much more complicated because we do not know our opponents. What is certain is that we must play our own forces and to try as quickly as possible to know our adversary. The optimum conditions are here to develop a good football, it is hoped that the ideas that our team can now be implemented on the ground. This is how we can make a great result here. When we come into this country like this we bring together the successes that the old and new players accumulate around the world with its fallout. They have a chance to see those they watch each day on TV. The fact that the perception of our team by Tanzanians is different from when they all listened to the radio. It gives a jovial and fraternal atmosphere between the players and this nation.


    David Mayebi, Vice President of the Cameroon football federation and president of the AFC

    We believe that we will continue along the same lines that we have begun the first two matches and I note that in the group there is a very good atmosphere, as we say in our jargon, football is practiced among people who know. I note also that the regroupment hard over the past two weeks has been that we can have some synergy between seniors and youth, I think there is really a very good agreement. I think there will be a very good football tomorrow, better than in Mauritius because the stadium was bad, it was raining throughout most of the encounter. Today we made the recognition of the ground, there is nothing to say, they made the pass to ten, they are well trained, the ball was travelling, it would very quickly and I think that tomorrow there will be a very beautiful match. I think that the environment in which we find is very well, we were well received, we are in a good hotel, children eat very well, there is no provocation on the contrary, Tanzanians are very admiring vis - à-vis our team. Especially our goléador Eto'o son, wherever he goes there with the crowd and I think this is a very good thing because it is more like today where there was sometimes an atmosphere of animosity. It always managed to escape, I do not think now the children will have a particular problem.

    Interviewed by Stephen Sunou in Dar es Salaam

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...