Home
Unlabelled
gado leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
akukampenia kwani hapa marekani,embu kipanya naye aache pumba.kaenda kila kona ya marekani..he is the president of america,not president of the world
ReplyDeletecorrection he is not president of usa,he is a nominee
ReplyDeletehapo juu Obama bado hajawa raisi wa marekani. uchaguzi ni mpaka mwezi wa 11 na kuapishwa ni mwezi wa 1.
ReplyDeleteHe is the president of america since when? stupid.........
ReplyDeleteWe anon wa June 18, 2008 7:09 PM tatizo lako kila kitu umekremisha tu hiyo katuni ni ya Gado na sio Kipanya.
ReplyDeleteHuyo sio Masoud Kipanya...anaitwa GADO na hao watu wanaouliza kwa nini haendi ku-campaign kwao ni watu wa kijiji alichotokea Obama.
ReplyDeletesio KIPANYA, msanii mchoraji ni GADO wa KENYA
ReplyDeleteanon wa 1 yamekushuka mwenyewe! sio raisi,ni mgombea..
ReplyDeleteInaelekea kuwa wengi wa mliokomenti hapo juu hamkuielewa katuni hiyo. Msanii wa katuni hii anatuma ujumbe wa kukerwa na jinsi kampeini ya Bwana Obama huko Marekani ilivyopewa popyularite kubwa sana hapa kwetu kama kwamba ni kampeini ya Rais wetu.
ReplyDelete