Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2008

    akukampenia kwani hapa marekani,embu kipanya naye aache pumba.kaenda kila kona ya marekani..he is the president of america,not president of the world

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2008

    correction he is not president of usa,he is a nominee

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2008

    hapo juu Obama bado hajawa raisi wa marekani. uchaguzi ni mpaka mwezi wa 11 na kuapishwa ni mwezi wa 1.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 18, 2008

    He is the president of america since when? stupid.........

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 18, 2008

    We anon wa June 18, 2008 7:09 PM tatizo lako kila kitu umekremisha tu hiyo katuni ni ya Gado na sio Kipanya.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 18, 2008

    Huyo sio Masoud Kipanya...anaitwa GADO na hao watu wanaouliza kwa nini haendi ku-campaign kwao ni watu wa kijiji alichotokea Obama.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 18, 2008

    sio KIPANYA, msanii mchoraji ni GADO wa KENYA

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 19, 2008

    anon wa 1 yamekushuka mwenyewe! sio raisi,ni mgombea..

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 21, 2008

    Inaelekea kuwa wengi wa mliokomenti hapo juu hamkuielewa katuni hiyo. Msanii wa katuni hii anatuma ujumbe wa kukerwa na jinsi kampeini ya Bwana Obama huko Marekani ilivyopewa popyularite kubwa sana hapa kwetu kama kwamba ni kampeini ya Rais wetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...