katibu mkuu wa chama cha basketball lawrence cheyo akiwa na supa staa wa mchezo huo anayeishi marekani hasheem thabeet wakiongea na waandishi juu ya masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na zawadi ya vifaa vya michezo toka kwa mchezaji wa timu ya golden state warriors , richard, kwa timu kadhaa za a-taun na dar. jumapili hii hasheem anatarajiwa kwenda kutoa msaada kwa watoto yatima

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2008

    michuzi msimwite huyu jamaa supa staa wa kikapu, atabweteka na kuishia hapo, staa ni yule anayechezea NBA, bado yupo college.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2008

    Umarekani umemzidi..kwa kifupi anaboa!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2008

    Man, did Thabeet said that or Michu you are just mentioning names. Golden State Warriors doesn't have any player by the name of 'Richard'. Ama ulichapia team. Sahihisha that part.
    But that's good to hear he handed something.
    Madau-Los Angeles

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2008

    Jamani Bro Lawrence Cheyo, ni muda mrefu...sijawaona kina cheyos, nimefurahi kukuona. Mimi nilikuwa jirani yenu pale mtitu street, our house was btn ma-flat kwa kina kelvin Twisa na kina Malekias, opposite na Kitwana Kondo(by now u should have an idea). Basi safi sana naona unaendelea kuwa mshabiki wa basket ball...Where is Loti? Mimi niko Altanta georgia kwa sasa na familia.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 13, 2008

    duh dogo hata hajaanza kushika mafuba kisha pigwa vizinga

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 14, 2008

    Kuna vitu vya kuiga ambavyo mtu ukivifanya utaonekana freshi, lakini kuvaa miwani myeusi ndani ya chumba mhhhhh.... Hata wamarekani hawafanyi hivyo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 14, 2008

    Please let has start being civilized. Stop busting others when they are trying to do something for their people. It is okay for other people to wear dark glasses, but if someone from our own does that ni mshamba. Mshamba ni wewe unaye waste your time busting on someone trying to help. Why don't you do something yourself. Stop the jelous and do something with your life.
    Young man, just do your thing.
    Albany , New York

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 14, 2008

    Sasa na wewe anon wa June 14, 2008 5:45 PM, mbona na wewe una-waste your time busting anon wa juu yako?

    HA HA HAAAAAAAAA!!!

    Nyani halioni kundule, huliona la mwenzie.

    Cool down, njoo tule nyama za kuku waliokufa juzi hapa manzese. Inaonyesha una ma-stress sana kijana wa mashambani Albany. Sogea kidogo mjini, stress zitakuishia.

    Manzese kwa Mla Mbwa,
    Dar es salaam

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 15, 2008

    Mheshimiwa Michuzi, mimi nipo Marekani kwa muda mrefu sasa, naishi San Diego, CA. Ni mpenzi na mfuatiliaji sana wa NBA. Golden State Warriors haina mchezaji anaeitwa Richard. Sasa tueleze huu ni uchapiaji wako mwenyewe au Hasheem anatuletea sanaa? Jibu Michuzi, i'm very curious about this news.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 15, 2008

    labda misupu alikuwa anamaanisha Jason Richardson,kabla hajapelekwa Charlotte Bobcats.
    alafu suala la miwani me sidhani ni bid deal mtu kufanya anachopenda.kuna miwani mingine unaona fresh hata iwe usiku.wa2 wangapi bongo wanavaa makoti/sweaters wakati wa jua kali??wanamuziki wageni wakija hapa wengi wao huwa na miwani ya jua hata ktk shoo zao usiku.ila hilo halisemwi.
    watz tuache longolongo kwa wazawa.tuombe mungu amzidishie huyo Hasheem ili awe "Supa Staa" kwani naye anaweza kusaidia wengine kama hao watoto yatima.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...