waziri wa fedha wa enzi hizo mh. amir jamal akiwasili bungeni ukumbi wa karimjee hall kusoma hotuba ya makadirio ya bajeti kwa mwaka 1970/1971. naona hii staili ya kunyanyua kamkoba juu na kutua na limo hadi mlangoni kameanzia mbaaaaaali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2008

    wakati huo inaonesha bajeti ilikuwa ndogo maana hata mfuko unaashiria hivyo!Nchi ilikuwa na watu wachache,wizara chache,mafisadi hakuna, mambo swaaaaafi.Leo hii fuko la bajeti `nhinha',mijiwizara rundo,watu kedekede,mafisadi ndoo usiseme,halafu tunaota maendeleo! Yangu macho.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2008

    See, enzi hizo watu wako decent,disciplined, educated and civilized. not these days, people are greedy like m****f****! hakuna heshma kama zamani, hakuna order! hakuna standard!! basi watu wapo tu! Enzi hizo down town Dar mambo yalikuwa saaafi sana, kila kitu kinafanya kazi kama kinavyotakiwa!, baada ya vita ya nduli Idi Amin tu, miaka 5 baadaye kasheshe likaanzia hapo!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2008

    Those times were the times of real budgets for the poor people, not now!!! is not it?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 16, 2008

    HEY YOU 7:04 JUNE 15 NINAAMINI ULIKUWA HAUJAZALIWA AU ULIKUWA MDOGO SANA. BAJETI ZA JAMAL ZILILENGA SANA WAAJIRIWA KWA KUWATOZA KODI KUBWA KULIKO WAFANYABIASHRA HIVYO KILA BAJETI ISOMWAPO WAFANYAKAZI WALIKUWA MATUMBO MOTO. JAMAL ALIKUWA AKIWALINDA WAASIA AMBAO WAKATI HUO NDIO WALIKUWA WAFANYABIASHRA PEKEE NCHINI NAYE AKIWA MUASIA MWENZAO. WAKATI HUO SERIKALI ILITEGEMEA SANA KODI ZA WAFANYAKAZI, BIA NA SIGARA HIVYO VYOTE HUTUMIWA ZAIDI NA WAFANYAKAZI AMBAO NI MASIKINI, WAKULIMA HAWAKUWEMO SANA NDANI YA BAJETI KWANI WAO WALITELEKEZWA HUKO MASHAMBANI BILA MSAADA WOWOTE. ila naipongeza serikali ya wakati huo kwa kutumia hizo PIJO KAMA USFIRI WA MAWAZIRI LICHA YA KUWEPO GARI KUBWA KAMA BENZI HUMBER NA VOLVO.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 16, 2008

    wengi wa waliotoa maoni haya, wanabuni tu mlikuwa hata hamjazaliwa. You don't know the reality

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 17, 2008

    Anon wa 8:49 ni mwongo. Bajeti ya enzi hizo haikuwa na unafuu wowote kwa wafanyabiashara eg corporate tax ilikuwa 50% miaka ya 70 wakati sasa hivi ni 30%. Halafu Kilimo kilitengewa bajeti kubwa siyo kama sasa 6%.
    Ila kinachonichefua ni huyu bwana Jamal nasikia alizikwa Canada badala ya Tz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...