Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2008

    Ebwana da! mzee wa vijisent ana masooo,alijaisha la vijisent la ndumba ilo.
    kudadadek,,,,,,,,,,,,,,

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2008

    Cha ajabu na kushangaza habari nzito kama hio ya uchawi bungeni haikupata nafasi hata kidogo kwenye blog hii ya jamii ya watanzania wengi.blog ndogo kama ya haki ndio ilikuwa na habari nyingi lakini uchache wa watu wanaotembelea kule sidhani kama tumeweza kusikia maoni ya kila mtu.kama watu tunaowategemea kuendeleza nchi wanjihusisha na mambo ya kichawi.je tutaendelea?
    Samahani sana michuzi kama nitakuwa na kuhudhi kukwambia kwamba kuna mambo mengine sio lazima huyafiche hata kama inawahusu mabosi wako.kuwa na uhuru wakutoa habari na pia habari ya uchawi bungeni ilikuwa imeenea kwenye vyombo vya habari kwahio sioni kwanini huogope kuweka humu.
    Asante sana KP kwa kuwakilisha.
    Michuzi samahani tena na kama unaona maoni yangu mabaya unaweza usipost kwani una haki ya kufanya hivyo.ninacho shukuru kwamba ujumbe umepata.
    Mdau mzawa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2008

    DUH! KP ACHA SOO BABA KE!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2008

    sir, MIHUZI UMEMSOMA ANONYOMOUS wa june 20,2008 5:41 pm. un lolote la kutueleza waungwana juu ya kisa hiki?.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...