mwanamuziki kelly rowland aliye katika ziara ya afrika akiwa kama balozi wa kampeni ya ishi ya mtv leo ametembelea shule ya sekondari ya biafra na kujichanganya na wanafunzi pamoja na jumuiya ya vijana wanaharakati wa ukimwi tayopa. juu akiwa na wanafunzi wa kidato cha tano an sita, chini akiwa na mmoja wa wanaharakati hao pamoja na vanessa mdee wa mtv ambaye ni mkalimani na mtangazaji . kelly anaondoka mchana huu kuelekea kwa wataki wa jadi kwa ziara kama hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2008

    hicho kiatu ni gucci £350!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2008

    hiyo jeans ni ya kp wear thamani yake ni $520.00 millenium tower

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2008

    Huyu Demu mwambie ana-fit Tanzania anafanana na wa.....wa A-Town.Au wa....wa Ngara au.....?
    Hivi Kimeolewa hiki kibinti nataka kurusha ndoano hapo Michuzi.Weka hadharani simu yake ya kwenye Kiganja.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 18, 2008

    kwa celebrity ni bei raisi sana.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 18, 2008

    Wabongo nao ushamba!! mmeshaanza kushoboke viatu!! mara gucci!! Acheni hizo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 18, 2008

    mshamba ni wewe wa 4:13 ambae hata kingewekwa mbele yako usingejua ni designer lable gani! kiwe ni bei gani yeyote,kelly rowland ana hela sana..wanamuziki wa marekani are rich,so she can afford it.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 18, 2008

    Sasa wewe masikini wabongo unafaidika nini na gucci ya huyo dada au ndiyo ndiye mlioletewa msaada na huyo dada? Hata ukihua bei yake haitokusaidia kama huna uwezo wa kkukinunua au ndiyo nyie kutwa mpo kwenye magazeti ya ulaya ulikujua bei za vitu ili mkawatambie watu mitaani wakati umasikini umewajaa!!
    haya mfagilieni maana anawafanya muishi

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 18, 2008

    mbona watu hamjibu information yenye manufaa,mnakazania kurumbana in inadequate matters!?!?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 18, 2008

    Who cares what she is wearing? Avae Gucci ama sum from payless, no one really cares. Acheni mambo yasiyo na kichwa wala mguu, eti Gucci, hao wakazi wa uwanja wa fisi do you think they care kwamba amevaa Gucci ama anatembea peku? Watu wana matatizo yao mengi tu. Cha muhimu hapo ni kazi iliyomtuma nchini mwetu, je how is her trip making a positive impact on those people? Ama ni yale yale ya "Darwin's Nightmare"??

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 18, 2008

    mimi ndiye niliyeandika hiyo information kwamba hicho kiatu ni gucci,na nimeshangaa sana negative feedbacks zilizotoka kwa watu humu ndani.kwanini unaniita masikini?how do you know?maybe i own that shoe,and thats how i knew.. tafadhali fikiria kabla ya kupayuka pliz

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 18, 2008

    There goes my fellow stupid tanzanians.baada ya kuoengelea kilicho mleta huyu dada na kubadilishana mawazo wote wanataka kujifanya wajuaji kavaa nini.
    Mwendawazimu ni mwendawazimu tu na hajisikii vizuri bila kukamilisha uwendawazimu wake.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 18, 2008

    she is a sales woman right there,akisharudi ataanza kuwachangisha maceleb. wenzake ile mbaya na hela ataytuma Africa no one monitors it,hivyo kweli hazina msaada.Oprah kajenga shule lakini waliotoa hela ni wengine kabisa ila alikua na initiative na uwezo wa down payment ya kuwaalika watu na kuwachangisha.
    Africans at the end of the day we will help our selves,foregners won`t do shit to us beside look for there personal interests.Huyu anatafuta popularity eti I help Africa,fu....ck Tha shit

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 18, 2008

    Jamani ni kawaida ya wanawake kuchunguzana mwenzao kavaa ni nini.

    Hata Hillary Clinton alisema kuwa wakati anapiga kampeni kuwania tiketi ya kugombea Uraisi kuna wanawake walikuwa wanamaindi jinsi anavyovaa tu, na wala sio sera alizokuwa anatema.

    Ndio mambo ya wanawake hayo. Na habari ndio hiyo.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 18, 2008

    Gucci huna usilete za kuleta hapa. kazi yako kuangalia bei kwenye majarida na kuanza kujionyesha wewe ni wa matawi ya juu. Kujua bei yake ndiyo umeona diliii. Nyie ndiyo wale watu wa kuazima viatu, mikoba ili mjionyeshe kwamba mambo yako safi kumbe vya kuazima!!!! Acha hizo pambana na umasikini wako na siyo kuwaonyesha watu kwamba unajua bei ya gucci kwani hiyo haitakusaidia kitu. najua umeumia lakini siku nyingine usipost mambo umbea

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 18, 2008

    Nyinyi vipi mmerogwa? Mbona mnalopoka mambo yasiokuwa namaana? Yani vitu alivyo vaa huyu dada muhimu kuliko swala lilomleta ?
    Wewe unayepiga kelele kwamba hataisaidia vipi africa yeye ajasema atawasaidia binafsi hapana mtv wanamtumia kama balozi wao na mambo yote yatafanywa na wao wenye mtv.mijitu inakurupuka tu wanaleta pumba zao zilizojaa kwenye kichwa chao.
    Pambafu ,wananikera kwa kujifanya wajuaji wa vitu visivyo kuwa na maana.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 18, 2008

    Wewe unajifanya unajua sana bei za Gucci nk nk tumia muda wako angalau kwenda shule na kuongeza kidogo kwenye huo ubungo kuliko kupoteza muda wako kujua Gucci inauzwa bei gani. Utaishia hapo hapo na bei za Gucci vingine ziro mxsiiiiii.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 19, 2008

    ndio kweli leo nimeamini wabongo ni watu wenye wivu sana,mwafrika mwenzako muogope na ndio maana hapa nilipo sijihusishi nao kabisa!bora wazungu!

    gucci bei zake nazijua,iwe kutoka kwenye majarida au maduka yao,fact ni kwamba bei naijua na nitaendelea kuijua. nina PHD we anon usie na akili wa 11:51 wewe badala ya kuandika utumbo hapo,nenda kajielimishe.mwenzio nilishafanya hivyo kitambo na ndio maana saivi nina gucci na nitaendelea kuwa navyo.najua inawauma ila siwezi,i cant help it,i own them and will keep owning them.asante sana Mdau,angalau wewe umeelewa!

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 19, 2008

    Kama kujua bei ya gucci ndiyo PhD yenyewe hapo nakukubali kinyume na hapo sikubali kwamba wewe ni PhD holder. Kwa ushamba uliouonyesha wa kushabikia kiatu haishiwishi watu kuamini kwamba una PhD. Najua huna gucci na kama uliwahi kuivaa basi ni ile ya kuazima kwani inavyoonekana siyo mtu wa matawi ya juu ila unataka watu wakuamini hivyo. Pole sana lakini humu siyo sehemu ya kujitafutia ujiko wa kijinga kwani kama huna kitu cha kuandika basi usiandike mambo ambayo yatakudhalilisha. maandishi yanayotolewa yanaweza kuwafanya watu wajue uwezo wako wa kufikiri.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 19, 2008

    kwani kuwa na gucci ndio nini,fanyeni tu over-time hata nyie mtanunua!NYIE NDIO WASHAMBA

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 20, 2008

    LOL NGOJA NIENDELEE KUTIBUA....MIE NAMPA SHAVU VANNESA WETU NAE KATOKA KAMA KASHUKA NA KELLY...DADA PHD NIPE BEI YA MIWANI IYOOOO.....WENYE WIVU MNYEEE

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 20, 2008

    PhD unaisikia tu na utaendelea kuisikia na kusoma kwenye globu kama za kina Michuzi, mbeba maboksi wewe PhD uitolee wapi? Haloooo usinifurahishe ijumaa hii hebu nikanywe mie.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 20, 2008

    Hizo Gucci mbona hata sisi tunazinunua hapooo makumbusho kwa kina Ras na tunatokea vizuri utatujua basiaa!!! Me namfagilia sana Vanessa ametoka mzuxxx utafikiri kashuka!!! Amakweli bongo new york natumaini hata Kelly ataenda hadithia akirudi kwao...Big up wabongo wote wanaojua kuvaa kama vanessa...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...