Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naungana na kipanya Huyu Maximo ni mchovu anatakiwa aondolewe haraka sana kabla mambo hayajaharibika inawezekanaje Tanzania kutoka sare na wabovu kama Mauritius.Naomba timu ikabidhiwe kwa Supe coach Mziray akisaidiwa na Kibadeni pamoja na charles Boniface Mkwasa.
ReplyDeleteanon 8:57 UNAJUA UNALOLIONGEA,AU UMESIKIA KUBWATUKA?MAXIMO AMEFANYA MANGAPI,AMBAYO NYINYI MLISHINDWA KUYAFANYA?
ReplyDeleteMNAJAUA SISI WA TANZANIA HATUNA SHUKRAN KABISA TIMU IKITOKA SARE AU IKIFUNGWA KOCHA NDIO TATIZO BASI INGIENI NYIE MKACHEZE MIMI NASEMA HONGERA MAXIMO KAMA SIO MAXIMO HATA TUSINGEJULIKANA KAMA KUNA TIMU YA TANZANIA
ReplyDeleteTusianze kumlaumu Kocha bila kufikiria mi nadhani hapa inabidi tuangalie kwa makini mi kwa upeo wangu nadhani tatizo bado ni KIWANJA..., nadhani kuna wadau wanashangaa hapa tukubali tusikubali hatuna kinachoitwa "HOME GROUND ADVANTAGE", kwani wachezaji wetu hawajauzoea kuutumia uwanja huo ndio maana hata hao wageni wanapokuja wanajikuta wana experiance sawa ya uwanja cha maana ni vijana wetu kutumia muda mwingi kufanya mazoezi hata kucheza michezo mbalimbali hata michezo ya simba na yanga ichezwe humu ili vijana wetu wauzoee na waweze kuutumia ipasavyo...., hapo tu ndo tutaweza kufanaya vizuri otherwise kama serikali wataendelea kuubania na kuufungu mara tu..., tutakapokuwa na mechi timu itaendelea kufanya vibaya..., kwani wanakuwa bado hawajisikii kuwa wako nyumbani na uwanja utaendelea kuwa mgeni kwao.
ReplyDeleteMshaanza msitake kumlaumu MAXIMo, wachezaji washazoea kucheza mpira wa kuhaidiwa pesa chezeni kwa moyo wa taifa jamani. ngoja twende kule uone waavyotunyonga naomba tu tushinde, midfield za bongo wanapenda kucheza "SHOW BOAT" wakati hawawezi mambo hayo waachiyeni kina C. Ronaldo Torres Robinho na wengine kati pale tucheze kama kina Essien na SG wa liverpool kujuwa kuzuia na kunyoosha mashuti tumieni kichwa Middle zikijuwa kuzuia basi beki zetu zitakuwa zinacheka Shuti la mnyoosho bao. sio gonga mpaka kwenye box waachiyeni arsenal na barcelona.
ReplyDeleteMaximo hakuna alichofanya kikubwa, mambo yote yamefanywa na pesa zilizomwagwa ktk timu ya taifa na mabadiliko ya uongozi wa TFF. Kama tungepata kocha mzuri na hali kama hii ikaendelea tungekuwa mbali sana. Amekuwa mtu wa kusikiliza majungu kama mswahili!!!
ReplyDeleteSure!!!...now is time for maximo to resign...we need another coach ambaye hasikilizi majungu..
ReplyDeleteKupata maendeleo kwenye mpira inahitaji muda na siyo kama mavuno ya mafanikio ya kilimo cha nyanya ua mahindi ambayo huonekana kwa muda mfupi. Mpira unahitaji mambo mengi ambayo kwa tanzania kuyafanikisha inahitaji muda. Nadhani tusimlaumu Maximo kwa kufungwa kwani mpaka hapa tulipo ameifikisha tanzania pazuri na kinachotakiwa ni kwa watanzania na wachezaji kubadilika. Tutafika tu tusiwe na haraka. Si mnaona vilabu vyetu vinavyoharibu, navyo vingekuwa bora vingesaidia kusukuma soka mbele
ReplyDeletehao ni wadau njaa kabisa kabla ya kumlaumu maximo tathmini kwanza premia ligi yenu nyie wadau koko imeisha mfungaji bora mganda,anyemfuatia mkenya huyo watatu ana magoli mangapi katika mechi 25,msione vyaelea vimeundwa taifa stars inaimarika siku hadi siku, acheni wivu wa kijinga nyie wadau wa kuzibiti mapato ya milangoni a.k.a makomandoo.
ReplyDelete