Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kp 2o1o mishono yote hiyo haitakuwepo kwani itakuwa imepigwa polish au rangi. hii inamaana kuwa chama kikitoa kanga, baiskeli na vijicent watu wanasahau na kukipa kura za ushidi. hali ndio hiyo!!
ReplyDeleteNi kweli Mtanzania mwezangu ila Kp nilivyomuelewa kuwa huyo Mtu kashachanika sasa anajishona ili kutuzubaisha ss wananchi tuamini kuwa hakuna Mafisadi CCM ila wamechelewa ndo maana wana kikao hao Chukua Chako Mapema(CCM)unakumbuka Michu enzi zile,KP hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteUnadani Wewe Madu KP hajakosea kbss hizo Khanga wavae wao kama wataziba makovu basi wawaachie hao Waliojiuzulu hata Manzese waone kuwa Watanzania Walala hoi tumechoka sasa.Watajishona Sana
ReplyDeleteKULIKUWA NA KATATIZO CHA LUGHA HAPA KUTOKANA NA SHULE NILIYOFUNDISHWA HERUFI NA MATAMSHI YA SILABI HAPO MUUNGANO PRIMARY SCHOOOL MOSHI NA MWALIMU ISDORY (NDEURANO) AKISHIRIKIANA NA MWALIMU TEDI MMBAND KWENYE HISABATI 1983 NI KAMA IFUATAVYO KIMATAMSHI. Aaa Bee Chee Dee Eee Fee Gee Iii Jee Kee Lee Mee Nee Ooo Pee Ree See Tee Uuu Vee Wee Yee Zee. haponi kwamba q na x hazipo Katika kosonati za kiswahili. sasa CCM NI KIINGEREZA KILICHO KOMAA KISWAHILI CHAKE NI CHee CHee Mee. HILI NDILO JINA HALISI YA CHAMA CHETU KILICHOTULISHA MATUNDA YA UHURU AMBAYA WAKOLONI WANATUINGIZA MKENGE WAENDELEE KULA
ReplyDeleteKwa hali ilivyo ni vigumu CCM kukubali kuachia madaraka maana hata vyombo vya dola vimeishawekwa ktk mazingira ya kutokubali mabadiliko (baada ya kukubali kugawiana nyumba za serikali) kama ilivyo kwa Zimbabwe.
ReplyDelete2010 Makovu yatakuwa hayajakauka.2 Years to go.Huyu jamaa ni bondia mtaaluma huwa anashinda na Makovu yake.KIPANYA USIPOTEZE MUDA.
ReplyDeleteninaungana mkono na anony wa 2:19 pm. kuendeleza umaskini kwa kivuli cha kauli mbiu bomu "maisha bora kwa kila mtanzania", ni mkakati kamambe wa chama cha mafisadi kuhakikisha wapiga kura walio wengi wanabakia na elimu duni (st. kata secondary schools) na ufukara wa kuwa tayari kuuza kura zao kwa khanga au fulana!!!
ReplyDeleteHahahaaa kweli kila mtu hajui hatima ya chama hiki.
ReplyDeleteBRO MICHU UCHAWI UTAKUWA UMEISHA AU HAPO HAMNA KITU
ReplyDeletejamani jamani chama chetu bomba. ccm oyee!!
ReplyDeleteNantombe
moshi