Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MSAADA KWENYE TUTA BLAZA MICHUZI
ReplyDeleteAwali ya yote pongezi lukuku kwa blog yako yenye maarifa tele. wadau naomba mchango wenu, kuna hii dhana kuhusiana na jinamizi. jinamizi hasa ni nini? je ni kweli kwamba, jinamizi ni kiumbe ambaye humjia mtu usingizini na kumkaba? au ni ndoto tu katika usingizi inayomfanya mtu ahisi au afanye lolote kwa sababu ya hofu, au ndoto ya kutisha? naomba mchango wenu.
Pili: Je ni kweli kwamba, kuna watu ambao hufanya mapenzi na majini na hata kufunga nao ndoa?
wenu mdau wa pwani
Mijitu mingine bwana mada huijui unaanza kuingiza mambo ya majini au unalo huko pwani soma mada kiamkini yakhe uspaparuke
ReplyDeletembona uko off pointi kijana anon wa 1.tuma email,sio kwenye posti zisizohusiana
ReplyDeleteKipanya unavituko hilo parachuti utarukaje nalo waka tofali liko kichwani unadhani ni angani naona hujatulia kabisa
ReplyDeleteKipanya ... mtu atarukaje wakati kadondokewa na nyumba? ... mbona sipati logic hapo?
ReplyDeletejamani,,,watu wengine sijui ndo msongo wa akili,,,wee anon 1 vipi??sasa kipanya labda siku izi tujenge magorofa yaliyo na uwazi pembezoni mwa kila level ya gorofa na level ya mwisho iwe wazi ili iwe rahisi kwa mtumia parachute abembee nje,,,tatizo ni kujenga kwa matofari iwish tungekua na uwezo tujenge gorofa km za Uropa au zile twin-tours yalititia tuu chini basi laaa ingekua km ya apa kwetu yan iyo maafa kwa majengo mengine ingekua kazi,,,akili tu sijui ma-engineer wetu wanajua huo utaalamu??
ReplyDelete