

wadau waliotaka mkombozi wa namba za simu wanaambiwa kwamba mzigo mpya umeingia na angalia msichelewe kama safari iliyopita maana kago yenyewe haikai.
hii ni ufumbuzi wa wale wanaopoteza simu ambapo kifaa hiki huhifadhi hadi namba 1000 ambazo unazihifadhi mahali salama. simu ikipotea ama namba zikiwa zimejaa ama simu ikiwa imedata unafungua mkombozi wa namba za simu unakomboaa namba zako kiulaini kabisa.
bei ni poa kabisa. zinapatikana kwa sh. 10,000/- tu!
kwa dar mkombozi zinapatikana: Intermarine Clearing & Forwarding, Karibu na Antelope Travel Agency mtaa wa Jamhuri street, na duka la muziki Kilimanjaro Audio Visual lililopo Corner Bar, Sinza
kwa watu wa moshi na a-taun mkombozi zinapatikana duka la Radio Specialist hapo Moshi lililoko karibu na ofisi za Vodacom, moshi
maelezo zaidi piga simu namba 0712 40 40 44 uliza chale
Haka kadubwana kakicrash kakiwa na namba ndani yake inakuwaje sasa? Afadhali simu ikicrash, nitazipata namba zangu toka kwenye chip. Hebu Mdau tutoe shaka hapo
ReplyDeleteKAKI CRASH BASI UTAKUWA NAMBA ZAKO KWENYE SIMU KWANI HAVIWEZI KUHARIBIKA VYOTE KWA PAMOJA SIMU NA HICHO KIDUBWANA NAPIA HIYO NI KAMA AJALI PIA KUA SWALA LA KUIBIWA SIMU KADI YAKO ITAKUWA IMEPOTEA PIA HIVYO BADAO HIKI CHOMBO KINA UMUHIMU WAKE MKUBWA
ReplyDelete