toka shoto ni joe johnson holela, chris phabby the lover na super deo ndani ya club vision 2000 jengo la airline ama margot club usoni pa extelecoms. nasikia badhi ya hawa watakuwa columbus kwenye old skul bash. kama ni kweli basi itakuwa balaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2008

    MHHHHHH MDJZZZ WA ENZI HIZO BWANA!!YUKO WAPI DJ YOUNG IZACK AU KWA JINA LINGINE ISSAH KIBAYA ALIKUWA ANAPIGA LIBERTY ENZI HIZO???KAMA KUNA MTU ANAJUA HABARI ZA HUYU DJ MAHIRI NA HANDSOME BOY!!MDAU WA DISCO ENZI HIZO

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2008

    joe holela si ndo huyu mshua wa JOE TRADERS? hiyo ilukwa mwaka gani? kama ndo yeye lazima ntaiforward hiyo pic kwa add yake

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2008

    kama hao maveterani watakuwa Columbus, basi Dj boni itabidi kwanza awape shikamoo na pili akae pembeni kuwaachia wazee wazima wafanye vitu vyao. Wakati huo maveratani wanapiga, boni alikuwa darasa la sita, ata kuruhusi kwenda disko la jumapili la mchana ilikuwa mbinde!
    Listi inge kamilika kama wangekuwepo wakina Jessee Mwalongo, Stewart Chiduo na Rich Mazula (Ebonite wall Jack)

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 14, 2008

    Wee Horera, Horoko ugende,Kwenyu!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 14, 2008

    Deo, where are you?
    Remember Jessica Shaaban Robert in the late 70's?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...