Home
Unlabelled
ma DJ wa enzi hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MHHHHHH MDJZZZ WA ENZI HIZO BWANA!!YUKO WAPI DJ YOUNG IZACK AU KWA JINA LINGINE ISSAH KIBAYA ALIKUWA ANAPIGA LIBERTY ENZI HIZO???KAMA KUNA MTU ANAJUA HABARI ZA HUYU DJ MAHIRI NA HANDSOME BOY!!MDAU WA DISCO ENZI HIZO
ReplyDeletejoe holela si ndo huyu mshua wa JOE TRADERS? hiyo ilukwa mwaka gani? kama ndo yeye lazima ntaiforward hiyo pic kwa add yake
ReplyDeletekama hao maveterani watakuwa Columbus, basi Dj boni itabidi kwanza awape shikamoo na pili akae pembeni kuwaachia wazee wazima wafanye vitu vyao. Wakati huo maveratani wanapiga, boni alikuwa darasa la sita, ata kuruhusi kwenda disko la jumapili la mchana ilikuwa mbinde!
ReplyDeleteListi inge kamilika kama wangekuwepo wakina Jessee Mwalongo, Stewart Chiduo na Rich Mazula (Ebonite wall Jack)
Wee Horera, Horoko ugende,Kwenyu!!!!
ReplyDeleteDeo, where are you?
ReplyDeleteRemember Jessica Shaaban Robert in the late 70's?