maonesho ya sabasaba mwaka huu yana ahadi ya mambo motomoto

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2008

    tigo inatusaidia sana vijana na wanafunzi kwa ujumla, hiyo voda ni ya wazee!
    vena
    Arusha

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2008

    Jamani kwani hakuna rangi nyingine ila blue tu? Hawa jamaa vipi, wote wameanza kufanana sasa. Mi ndiomaana naipenda naninhii.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2008

    Nyie tigo na Voda, hebu muwe creative kwenye hizo corporate color zenu. Wote bluu bluu manake nini. Si mnamcheki Zantel na Celtel walivyo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2008

    Blue ni rangi ya Voda. tiGO ni wazi wamechemsha.

    Ni kweli tiGO pia wana blue katika rangi zao, lakini huwa tunawatambua kwa ule mchanganyiko kamili wa rangi zao zote (blue, njano sijui na kijani) sio kama hivyo wanavyofanya kupaka blue tu.

    Ona sasa hakuna tofauti na rangi ya Voda.

    Mzee wa Mapesa vipi Sheikh!!?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...