shirikisho la soka nchini limemuongezea mkataba wa mwaka mmoja kocha marcio maximo kuendeleza libebbeke la kuinoa taifa stars. mkataba wake wa awali wa miaka miwili unamalizika mwezi ujao. yeye kakataa kuongeza miaka miwili kwa sababu za kifamilia. ila imewekwa wazi kwamba endapo stars itafuzu kombe la dunia na mataifa ya afrika ataongeza wa pili. wadau mnaizungumziaje hatua hiyo?
shirikisho la soka nchini limemuongezea mkataba wa mwaka mmoja kocha marcio maximo kuendeleza libebbeke la kuinoa taifa stars. mkataba wake wa awali wa miaka miwili unamalizika mwezi ujao. yeye kakataa kuongeza miaka miwili kwa sababu za kifamilia. ila imewekwa wazi kwamba endapo stars itafuzu kombe la dunia na mataifa ya afrika ataongeza wa pili. wadau mnaizungumziaje hatua hiyo?

HUYU MJASIRIAMALI ANANIFURAISHA SANA . AMETUELIMISHA TUWE NA MAfIGA MENGI KATIKA KAZI TUSITEGEMEE MOJA TUU. PIA TUSIIBE NDIO TUWE WAJASIRIAMALI TUTAFUTE MALI KWA HAKI ILI IDUMU MILELE NA VIJUKUU NA VITUKUU VILE MATUNDA KAMA TOYOTA, SONY NA WENGINE
ReplyDeleteHUYU MJASIRIAMALI ANANIFURAISHA SANA . AMETUELIMISHA TUWE NA MAfIGA MENGI KATIKA KAZI TUSITEGEMEE MOJA TUU. PIA TUSIIBE NDIO TUWE WAJASIRIAMALI TUTAFUTE MALI KWA HAKI ILI IDUMU MILELE NA VIJUKUU NA VITUKUU VILE MATUNDA KAMA TOYOTA, SONY NA WENGINE
ReplyDeleteAnaondoka huyo baada ya huo mwaka mmoja alioongezewa,hapo 'ametutega' tu.Nilikuwa na pumba nyingi za kumwaga hapa lakini kuna "blogger" mmoja ananifuatafuata humu hadi nimeanza kuogopa kukolimbwa(Kidding).
ReplyDeleteWaheshimiwa mimi sio mtalaamu wa soka ila kwa akili ndogo nilizonazo naona huyu Makisimo akae miaka mmoja, miwili haisaidii.
ReplyDeleteMabadiliko ya soka nyumbani yatahitaji kuwekeza kwa muda mrefu zaidi, miaka kidogo ya kuanzia iwe mitano mpaka kumi. Uwekezaji uwe kwenye vijana wadogo wenye vipaji vya soka. Tena kama inawezekana Chama cha soka kisiwe chini ya serikali, kiwe huru.
Vinginevyo ndugu zangu siku zote sisi tutakuwa watu wa kushangilia mataifa mengine, so so sad
Hiyo ndio raha ya watanzania, tumetoa sare na Cameroun tumeridhika na udhaifu wote wa kocha umefutwa. Wenzetu wote wameshinda timu kubwa ktk michezo ya nyumbani, Malawi wamewafunga mabingwa wa Africa Misri na bado hawashangilii. Baada ya muda aliopewa Maximo kuisha ndipo tutagundua tumeliwa na tutakuwa tumechelewa na kupoteza raslimali nyingi kama ilivyo ktk mambo yote. Wajinga ndio waliwao, idumu TFF!!!
ReplyDeleteMaximo mjanja, amesoma ALAMA ZA NYAKATI.
ReplyDeleteNilimsikia leo asubuhi Leodgar Tenga wa TFF akitoa maelezo kwamba walimwomba Meximo aendelee kufundisha Taifa Stars kwa miaka mingine miwili kutokana na kuridhishwa na utendaji mzuri wa Ukocha wake,Lakini yeye mwenyewe akakataa na kuomba apewe mwaka mmoja tu na iwapo timu yetu itafanikiwa kusonga mbele katika Kombe la Dunia basi atakubali mkataba mwingine wa miaka miwili zaidi!What a good natured Coach!Napendekeza Maximo apewe Miaka mingine KUMI ili tuweze kufikia kiwango cha Brazil na tuwe tishio barani afrika!Maximo ametutoa mbali jamani mpaka tumeweza ku draw na Cameroon?Siyo mchezo Babaaakee!Watanzania wazuri jamani!Peace and Love!
ReplyDeletehivi huyu maximo mbona haonekani kama mbrazil?
ReplyDeleteKUONDOKA LAZIMA ATAONDOKA,ILA ANAONDOKA KWA STAILI GANI,AKIONDOKA TUTAMKUMBUKA KWA HISTORIA ALIOIWEKA, KUIPANDISHA CHATI,NA KUFANYA VIZURI KWA TIMU YETU YA TAIFA KWA KIPINDI KIUPI TU,NA AKIONDOKA ANAWEZA AKAJA KOCHA BOMU,NAKUANZA PROGRAM YAKE MUPYA,KWAJINSI HIYO KILA SIKU TUTAKUA TWAANZA KWA KIPA,KWAKUKOSA UVUMILIVU WABONGO,MWISHO TIMU TUTAIRUDISHA KWA MTAALAAM JAMUHURI KIWELU (JULIO).HAPO NDIPO TUTAKAPO UTWAA UBINGWA WA DUNUIA KWA DOMO.BIG UP MAXIMO ATA UKIONDOKA WAPENDA SOKA WA KWELI TUTA KUKUMBUKA DAIMA NA HONGERA SANA UMEJARIBU AMIGO.
ReplyDeleteSasa wadau wote waliokuwa wanataka maximo hafukuzwe tunawapa kazi ya kutafuta kocha kuanzia leo ambae atachukuwa nafasi ya maximo mwakani.mda mnao wakuja na kocha mzuri zaidi mna mwaka mmoja.kazi kwenu.na kumbukeni maximo alikuwa kaongezewa miaka miwili sema yeye mwenyewe ndio kaamua kuchukua mwaka mmoja kuwapa nafasi makocha wengine.
ReplyDeleteMdau mzawa.
HUYU ANACHOSEMA NI KWAMBA AMEHAKIKISHA KWAMBA TUNA TAMBAA, TUKISHA SIMAMA TUMTAFUTE WA KUTUWEZESHA KUTEMBEA HALAFU TUTAFUTE WAKUTUWEZESHA KUKIMBIA.
ReplyDeleteish, mshkaji ana vitara ya mtumba? alafu makanika mwenyewe? hakyanani huyu kaweza kujimix bongo utazani nanihii.
ReplyDeletewe peggy acha ushamba wewe,eti gari ya mtumba,unajua bei yake wewe???
ReplyDeleteaongezewe tu,kwani hakujakuwa na maendeleo tangu aanze kusimamia timu?!?
ReplyDeleteTena we mshenzzi huna adabu ya mtumba?!!!! si ajabu we hata huna gari kama hilo.watu wakiishi kama nyie mnawasema akiishi maisha ya juu anakula pesa za TFF,watu hamna jema
ReplyDeletendio wadau wenzangu.Nashangaa sana watanzania juzi walikua wakipiga kelele Moximo atufai,lakini leo anafaa naomba kabla atujachukua maamuzi tufikirie kwa makini!!kihistoria soka la bongo tumejaribu mara nyingi kulifufua lakini mafanikio atuyaoni,atakama yapo basi ni kidogo.Nachojua ni kwamba kila kitu kina msingi,ukijaribu kuangalia tunang'ang'ana na timu ya taifa,kwenye club akuna uboreshaji wowote!tunategemea kama atutaanza kuboresha kwanza vilabu tutatoa wapi wachezaji wenye vipaji?Kingine ni namna wachezaji wa timu ya Taifa wanavyobalishwa mara kwa mara tunaomba mchezaji apate muda wakutosha wa kukaa kwenye kikosi akishindikana ndio uamuzi wa kutoa ufanywe na kamati ya ufundi ya timu,sizani kama ndivyo timu nyingine za taifa zinavyofanya tuige pia tujifunze kutoka kwa wenzetu.Jambo jingine timu yetu ya taifa tunapenda sana kukomaa na yale mataifa makubwa kutaka ushindi,uku zile timu za mataifa madogo tukizembea,matokeo yake tunapoteza mechi rahisi na kudroo mechi ngumu!kama mechi zilizopita tulikua na uwezo wakushinda lakini ndo kama yalivyotokea!Moximo peke yake si kigezo cha kupandisha soka la bongo tunaitaji kujipanga zaidi.
ReplyDeletenyie mnaomtukana mtoa hoja ya gari ya mtumba hamjaelewa hapo. mwenzenu anamsifia maximo kwa kuishi maisha ya kawaida, oil anapima na kutia mwenyewe na nyie mnamlipukia na matusi. magari ya mitumba ni jambo la kawaida kabisa kila sehemu duniani humu. acheni asila
ReplyDeleteIt will be very dificut to leave just now because Taifa Stars now play international foootball not continentale because of supot from Tenga and Chikwete.Now play no fear big names like Etoo and Drogba!Zey Play same same standard.If Stars dont win remain matches zey will angry everybody even myself will go back to Brazil!Some players no disiplin,Zey want to play but no trial matches!When I refuse, Zey begin saying Maximo no good Coach!Ripota wa interview hii bado kalazwa Muhimbili kwa kuteguka Mbavuuz!tehe tehe!
ReplyDeletemimi naona ni sawa apewe muda huo halafu tuangalie. wanaosema afukuzwe kutokana na udhaifu kidogo 2 wakumbuke kuwa yy sio Mungu kusema anaweza kufanya 100% sawa, cha msingi toka kaishika timu imesogea kiubora au laa. kama haijasogea hatufai lakini wenyewe tunaona.... kwa hiyo tumpe muda zaidi.
ReplyDeleteSio kwanba anaweza sana ila amekuja wakati mzuri na amewezeshwa vya kutosha, pia back up ya serikali, TFF na Wadau. Ingekuwa enzi zile angechemsha, in short he is the only one. so one yr is better as we can re-evaluate this guy
ReplyDeleteMaximo anataka kutu-Scolari atimkie Chelsea. Hivi anataka kutumia mwaka mmoja huu kujiongezea sifa kwenye wasifu wake.
ReplyDeleteUkweli uko pale pale, ameinua soka la bongo. Tulikuwa tunapigwa 5-0 na Kenya mwaka 2002 tu hapa. Sasa hivi Kenya wakiambiwa wacheze na sisi Taifa wanakuja kujihami, hawana hamu.
Mkuu wa nanihii anzisha mada ya nani aje kumrithi Maximo. Vigezo ni uwezo wa kutufikisha tunakotaka kwenda na kutojali kuendesha gari ya mtumba akiwa nchini.