mpiga conga wa tanga pepeta MCD hana mshindani katika shughuli hiyo na baada ya kutokea mashindano ya marapa na yeye anaomba wajitokeze mapromota wataowakutanisha wapiga tumba wa bendi zote ili bingwa wao apatikane.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2008

    MCD amezeeka kiasi hiki? Nadhani Michuzi ungempiga picha vizuri au tukuchangie kamera nzuri kama tulivyomchangia Mjengwa?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2008

    Nikiwa mdau mkubwa wa mambo haya, kwa siku za karibuni sijaona mpinzani wa MCD. Walikuwepo wengi zamani ila sasa wengi ni marehemu kama Syde Moris wa MK na wengine wameacha. MCD anawabeba sana twanga!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2008

    EBWANA SI MCHEZO MTU MZIMA NIMEFURAI ATA NIMEIONA PICHA YAKO IMENIKUMBUSHA MBALI. JAMAA AMEWAI KUNIAMBIA ANAPIGA ALA ZAIDI YA 40 ZA NGONMA, KWA WALE WANAOELEWA MZIKI APO BONGO KWA SASA HAKUNA MPIGAJI ANAYE PIGA ZAIDI YA ALA 20. WATU WAFUATAO NDO WAPIGA NGOMA APO TZ. II ORODHA IANGALIE VIZURI SHAULI YAKO.

    NAANZA NA AMBAYE ANAJUAS ALA NYINGI.STYLE KILA MTU ANA YAKE.

    CHRISS JEJI BRUNO, MFARANSA MTANZANIA YUPO BONGO MIANKA 33, UYU JAMAA AMEISHI SANA MSITUNI AKIWA ANACHÓNGA NGOMA.

    SAIDI JUMANNE WAKANDA, KAMA ULIKUWA FAN WA SUPA MATIMILA UTAKUA UNAJUA NINI NAONGEA. ANAISHI BRIGHTON UK, UYU JAMAA NUKSI.

    MENARD MPONDA, UYU NI MUASILI ILE KABISA YA KINYUMBANI. ANAKIPAJI CHA AYA MADUDE AMABCHO KWA SASA BONGO AIPO. UYU YUPO TAMPERE FINLAND NA WALIO UKO WANAIPATA FRESH.

    MCD, KAKA AWA WATU NDO LEVEL YAKO, SASA NDO MAANA SISHANGAI IYO MECHI UMEIOMBA, MAANA WOTE HAWAKAI BONGO KASOLO JEJI BRUNO. NA HAPO TZ HUNA MPINZANI.
    SIPATI PICHA SIKU IVI VICHWA VIKUTANISHWE SEHEMU KAMA LEADERS. FUNIKA YA KUFA MUNTU.
    BIG UP MCD.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...