Mwandaaji wa pambano ya marapa, Abdulhakim Magomelo ‘Young Kim’ akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu shindano la kumsaka ‘rapa’ mkali linalotarajiwa kufanyika Julai 4 mwaka huu jijini Dar. marapa hao ni wa bendi za muziki wa dansi kama vile kina romario wa msondo ngoma, totoo ze bingwa wa akudo, khalidi chokoraa na kadhalika. young kim anafahamika pia kwa lile shindano aliloanzisha miaka ya nyuma la yo rap bonanza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2008

    HAZEEKI HUYU YOUNG KIM, ALIKUWA MCHUMBA WA HALIMA MCHUKA NA WALIFANIKIWA KUPATA MTOTO WA KIKE.
    Keep it up endelea kuwa kijana tu Kim. sio mambo ya kujinenepea na mavitambi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...