niko naa mdau wa h-taun a.k.a houston ambaye ana mwezi sasa toka atue bongo. hapa ni kiota cha vilaji na mlo kipya cha break point ambacho kiko maeneo usoni pa paking ya magari ya bilicanas na zamani ilikuwa klabu ya posta. kila siku jioni hadi manane kuna muziki wa disko na kila ijumaa wanapiga inafrika ambayo ndio kwanza imerudi toka ughaibuni. break point hii ni baba mmoja na mama mmoja na ile ya ifm, kijitonyama na kule udasa na misosi ni ile ile...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2008

    Huyu msela sio yupo Kenya anakula Certificate ya Mass Media Production.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2008

    Naona Mzee wa Utepe"Red Stripe"!Harusi vp?
    H-town hapa!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2008

    kakak Misoup hiyo Fulanaz mpaka iseme duuh Noma ina Dumba nini?Maana hata bungeni kuna jujuz nahisi hiyo FULanaz nayo ni noma kila Cku

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 21, 2008

    mhe. michuzi, sasa hiyo fulana mboni itachoka ila tu kusema haiwezi.
    Sasa je kundi la wahaya linahamia hapa breakpoint ya zamani? jamaa noma sana ati mtu akiwapa ukweli wanakaa vikao break point kuarange na kuwalipa watu wapigwe au kupewa mkon'goto. Noma kweli wahaya mambo ya kitoto na ya shule za msingi. wanaendelea nazo japo ni watu wazima sasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...