mdau, hivi wewe ungekuwa katika safu hiyo hapo juu ungeganyaje katika

1. kashfa ya epa

2. tuhuma za juju nangai bungeni

3. tatizo la umeme zenji

4. tuhuma za ufisadi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2008

    mimi langu kwanza ni mavazi. hawa jamaa hawapendezi kamwe katika hii unifomu iliyokubalika kuwa vazi rasmi la watawala ninafikiri kwa shinikizo la mabepari wa magharibi, na kwa hiyo inaonyesha jinsi walivyolewa hiyo kasumba na hatuwezi kutegemea la maana kutoka kwao!!!! Tuna suti tulizokuwa tumezibuni sisi watu wa afrika na zilikuwa nituonyesha tulivyojikomboa kutoka pingu za utamaduni wa magharibi. wabunifu wapo na tungeweza kuendelea kuzibuni au kuziboresha ili ziende na wakati. Ninachukia watawala wa afrika wanaopenda kuvaa unifomu ya magharibi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2008

    MAALIM ISSA HABARI ZA KAZI, PICHA "..NADHIFU.." HII. INASEMEKANA KWAMBA RAHA/SIFA YA MAJINA YETU HUWAKILISHA TABIA/MATENDO AU "..AUMBILE.." LA MWENYE JINA.
    MMEPENDEZA SAANA KUANZIA UTOSI MPAKA "..UWAYO.." BILA KUMSAHAU MHESHIMIWA MIZENGO "..PINDA.."

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2008

    MAALIM ISSA...NI SAWA KUWAHUKUMU MAFISADI KWENYE VYOMBO VYA HABARI (MBINU YA MAFISADI)..LAKINI ITAKUWA ".SAHIHI." KUWAFIKISHA MAHAKAMANI WAHUKUMIWE ".KISHERIA.".

    ..au ndio mambo ya..".ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKUMALIZA..???."

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 21, 2008

    mmmh sijui niseme ?/ anyway mimi wacha nireserve my comment ..........................!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 22, 2008

    Mimi naona wangevaa "kaunda-suti" au "vitenge" kama yake mavazi yaliyovaliwa alipokuja rais Bush wa marekani.....kwasababu hali ya hewa inaruhusu. Hizo suti walizovaa wawaachie wenyewe huko majuu kwenye baridi yenye barafu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 23, 2008

    hawajapendeza kwa kweli. Naung amkono. Na hii ndio inastruck mtu akiiona tu hii picha, nadhani ni mpiga picha amekosea, angepiga akiwa amesimama tusiwaone kwa kutokea chini.
    Kuhusu swali, sina jibu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 23, 2008

    wametoka bomba kwa sana tu, ila AIBU YA KUKUMBATIANA NA MAOVU NA MADHAMBI YAO, YAANI VIONGOZI KWA VIONGOZI NI LAANA. 100% HAO WOTE HAWANA LA MAANA ZAIDI YA KUWA VIONGOZI, PINDA NAE AKISHIKWASHIKWA SHAVU, BIASHARA 'MAREGHEA CHE'.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 23, 2008

    DU KAKA MISUPU MI NAONA HAWA JAMAA WANGEVAA KAPTULA NA MASHATI YA MIPASUO MIWILI KWA NYUMA KAMA BONETI ZA MWAROBANI LANDROVER 109. HIZO SUTI WAWAACHIE WENYEWE WASIO TOLARATE UFISADI.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 23, 2008

    Knock nock,Who is incharge here?. 'Incharge of what?'.I mean the Overall Incharge?.'Well,it depends on what you mean by Overall,sir?'.I mean incharge of you all here including everything that I see? 'Carefull,who could be all that incharge without the will of God?'Just a footnote:if you looked closer at the postures of the excellencies,you would notice that each posture carried a different message!That of being incharge;that of being there because you are there already;that of simply counting yhe dayz;that of wishing the Presidency was elevated to Sultanete;that of wishing one was born in the United States and had nothing to do with this appalling poverty;that of wishing one was born a Missionary;that of wishing next Presidential and Parliamentary elections were called off indefinitely due to an impending earthquake which will strike around 2010!that of wishing to be burried alive!Mea Culpa Mea Maxima Culpa!Asalaam Waleikhumm!Watu wa DaSlums!DSM.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...