mwenyekiti wa bonanza la michezo na muziki la kila jumapili lidaz klabu, mh. romanus mdete (pili shoto) akiwazawadia msondo ngoma kreti ya kilaji cha kilimanjaro kwa ushiriki wao mzuri kwenye bonanza hilo. shoto ni mwenyekiti wa msondo ngoma band muhidin maalim gurumo, mwenye gitaa ni mkuu wa bendi ya msondo ngoma saidi mabera, kulia ni katibu mipango wa bonanza hilo papaa mudi pizzaro na mwenye nyekundu ni rapa na mpiga tarumbeta wa msondo romanus mg'ande

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2008

    michuzi usibane,zawad ya kret la bia haifa kupewa bend kubwa kama hiyo,dharau hizo,ndio maana bend zetu azifiki mbal wanaishia kunywa pombe,maendeleo hakuna.
    inabid wenye bend wajifunze biashara zahid kwa manufaa ya wanamzik na familia zao kwa ujumla,siyo kupewa kret la bia.michuzi nusibane ukwel huo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...