wadau toka kila kona ya jiji hujazana lidaz klabu kila jumapili kwenye bonanza ya michezo inayodhaminiwa na TBL ambapo pamoja na timu kushindanda kandanda msondo ngoma na twanga pepeta hutumbuiza toka saa nane hadi kumi na mbili jioni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...