mashabiki wa cameroun wameshaanza kuwasili dar tayari kwa mechi na taifa stars kesho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2008

    Shabiki wa Cameroun au Barca.Mshamba amekuja kununua simu Samora avenue.Stars 1-Cameroun 0 atalia kwa nini amelipa nauli yake kuja TZ.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2008

    DUHH!!!! MICHUZI HUYO NI PACHA WAKO AU???

    MDAU #1 LIVERPOOL

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2008

    Karibu tu kwetu yakhe,tabasamu yako inasema maneno mengi kwani nina uhakika baada ya mchezo utacheka sana kwa sababu mtaichuna timu yetu ya walemavu kwa mabao chungu mzima...Cameruni...9 Taifa stazi...0

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2008

    Karibu tu kwetu yakhe,tabasamu yako inasema maneno mengi kwani nina uhakika baada ya mchezo utacheka sana kwa sababu mtaichuna timu yetu ya walemavu kwa mabao chungu mzima...Cameruni...9 Taifa stazi...0

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 13, 2008

    we halahala acha ulimbukeni na jezi yako ya karibu textile,kuwa mzalendo kipindi hiki

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 13, 2008

    huyu sio mkameroon wala nini. ni mbongo mwenzetu.du! si matani mchizi wangu naona una signed barca jersey ya etoo..!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 13, 2008

    siyo Shehe Halahala huyu

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 13, 2008

    Oya Michuzi huyu jamaa namjua anaitwa Shehe Halahala, siyo M-Cameroon wala nini wabongo bwana kwa mbwembwe.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 13, 2008

    misupu acha kutuyeyusha hiyo picha ni wewe na hilo pua ka lako.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 14, 2008

    Michuzi huyo si Shekoum Hala... Katoka lini Kameroun

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 14, 2008

    Du Simchezo Tunanyolewa Kipara Bila Maji!!!Poa Tu Yote Maisha Stars 0 Cameroon 11..Kaka Misupu Kuna Uvumi Dr Mwaki.. Kafa???? Hebu Toa Habari Za Maana Acha Kujifanya Sio FISADI ..hihihihi Job true true

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 14, 2008

    kaka Issa ni hivi! hivi sisi watz ni kwamba bado au sijui nismeje?tuna vyombo vya habri vingi pamoja na hizo blogs zinazodili na michezo ila jambo la kushangaza sasa hatuoni picha za taifa stars,wala chochote kinachohusiana na michezo,mechi kibao zimechezwa,ok tuseme away games ni vigumu kupata picha zake ila hata zinazochezwa hapo nyumbani pia?ila picha za mamiss na udaku mwengine,bwana ee ziko up to date!hivi hili tatizo linasababishwa na nini hasa? naamini kipindi hichi timu yetu inafanya mazoezi kambini kwao,pamoja na kameruni pia kivyao!maelezo tu ina maana ni bora kuchuni katika BBC basi,naona vyombo vya habari vinatia hamasa kwa washabiki ila hapo kwetu bado kabisaaaa~anyway natumaini wanaohusika wataupata ujumbe wao!asante saana mkurungezi MICHUZI:
    mungu ibariki taifa starz
    mungu ibariki Tanzania
    mTONDOO,SEOUL

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 14, 2008

    Yaani wee Michuzi mi nakwambia wee acha tu! Yaani mbona leo tutaona Vioja! Nauhakika kuna baadhi ya hata Wabongo wataokuwa wanaishangilia Cameroon badala ya Taifa Stars, kisa? Ni washabiki wa Barcelona au wa Mastaa wa Cameroon kama akina E'too! We acha tu!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 14, 2008

    Huyo anaitwa Shee Hala Hala (Mzee wa Waka Waka). Ni Mbongo kabisa.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 15, 2008

    Huyu kaka ana mke jamani, macho yake tu mi hoi....
    Mdau, Netherlands.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 16, 2008

    mbona pumba humu ndani.sasa kama ana mke?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...