Home
Unlabelled
shabiki wa cameroun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Shabiki wa Cameroun au Barca.Mshamba amekuja kununua simu Samora avenue.Stars 1-Cameroun 0 atalia kwa nini amelipa nauli yake kuja TZ.
ReplyDeleteDUHH!!!! MICHUZI HUYO NI PACHA WAKO AU???
ReplyDeleteMDAU #1 LIVERPOOL
Karibu tu kwetu yakhe,tabasamu yako inasema maneno mengi kwani nina uhakika baada ya mchezo utacheka sana kwa sababu mtaichuna timu yetu ya walemavu kwa mabao chungu mzima...Cameruni...9 Taifa stazi...0
ReplyDeleteKaribu tu kwetu yakhe,tabasamu yako inasema maneno mengi kwani nina uhakika baada ya mchezo utacheka sana kwa sababu mtaichuna timu yetu ya walemavu kwa mabao chungu mzima...Cameruni...9 Taifa stazi...0
ReplyDeletewe halahala acha ulimbukeni na jezi yako ya karibu textile,kuwa mzalendo kipindi hiki
ReplyDeletehuyu sio mkameroon wala nini. ni mbongo mwenzetu.du! si matani mchizi wangu naona una signed barca jersey ya etoo..!
ReplyDeletesiyo Shehe Halahala huyu
ReplyDeleteOya Michuzi huyu jamaa namjua anaitwa Shehe Halahala, siyo M-Cameroon wala nini wabongo bwana kwa mbwembwe.
ReplyDeletemisupu acha kutuyeyusha hiyo picha ni wewe na hilo pua ka lako.
ReplyDeleteMichuzi huyo si Shekoum Hala... Katoka lini Kameroun
ReplyDeleteDu Simchezo Tunanyolewa Kipara Bila Maji!!!Poa Tu Yote Maisha Stars 0 Cameroon 11..Kaka Misupu Kuna Uvumi Dr Mwaki.. Kafa???? Hebu Toa Habari Za Maana Acha Kujifanya Sio FISADI ..hihihihi Job true true
ReplyDeletekaka Issa ni hivi! hivi sisi watz ni kwamba bado au sijui nismeje?tuna vyombo vya habri vingi pamoja na hizo blogs zinazodili na michezo ila jambo la kushangaza sasa hatuoni picha za taifa stars,wala chochote kinachohusiana na michezo,mechi kibao zimechezwa,ok tuseme away games ni vigumu kupata picha zake ila hata zinazochezwa hapo nyumbani pia?ila picha za mamiss na udaku mwengine,bwana ee ziko up to date!hivi hili tatizo linasababishwa na nini hasa? naamini kipindi hichi timu yetu inafanya mazoezi kambini kwao,pamoja na kameruni pia kivyao!maelezo tu ina maana ni bora kuchuni katika BBC basi,naona vyombo vya habari vinatia hamasa kwa washabiki ila hapo kwetu bado kabisaaaa~anyway natumaini wanaohusika wataupata ujumbe wao!asante saana mkurungezi MICHUZI:
ReplyDeletemungu ibariki taifa starz
mungu ibariki Tanzania
mTONDOO,SEOUL
Yaani wee Michuzi mi nakwambia wee acha tu! Yaani mbona leo tutaona Vioja! Nauhakika kuna baadhi ya hata Wabongo wataokuwa wanaishangilia Cameroon badala ya Taifa Stars, kisa? Ni washabiki wa Barcelona au wa Mastaa wa Cameroon kama akina E'too! We acha tu!
ReplyDeleteHuyo anaitwa Shee Hala Hala (Mzee wa Waka Waka). Ni Mbongo kabisa.
ReplyDeleteHuyu kaka ana mke jamani, macho yake tu mi hoi....
ReplyDeleteMdau, Netherlands.
mbona pumba humu ndani.sasa kama ana mke?
ReplyDelete