mbunifu zamda george (shoto) akiwa na modo wake katika vazi la harusi alilobuni
mbunifu mkongwe toka mji kasoro bahari anti monica (kulia) akiwa na modo wake katika vazi la harusi alilobuni
mbunifu jamila swai (kulia) akiwa na mamodo wake kwenye vazi la harusi alilobuni
warembo kibao walijitokeza kushuhudia shoo ya mavazi ya harusi ya kimasomaso ukumbu wa nssf waterfront lililoandaliwa na tanzania mitindo house

Flaviana kwani ndo unahilo gauni tu la kutokea manake kila picha umevaa kwenye hilo gauni na mkanda wako wa marangi rangi (colie budz picture as reference)(http://sherianamavazi.blogspot.com/search?updated-max=2008-06-06T16%3A34%3A00-07%3A00&max-results=38)... Chunga we star saivi usirudie rudie nguo tena nyakat zinazokaribiana.. tunakuona
ReplyDeleteWarembo wetu nao usafiri mgogoro!!!
ReplyDeletehuyo anti monica mbona kanuna hivyo?
ReplyDeleteMIE NIMEPENDA VAZI LA JAMILA.
ReplyDeleteZamda, congrats! A very bright future is ahead of you. Keep it up baby. De
ReplyDeleteMimi nimevutiwa na Jamila mwenyewe! she looks trully African. Nifikishie pongezi zangu kwake da Jamila
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteNatarajia Kufunga Ndoa Mwakani, nimevutiwa sana na Baadhi ya hayo Mavazi.
hawa madesigner maduka/ofisi zao zipo wapi? Naomba uaziweke hewani tujue ili tukajionee mambo zaidi. naamini hiyo ni sehemu tu ya nguo walizoonyesha siku hiyo
Sukuma Wiki
Flaviana asugue magoti hayo jamani, yaani yanaboa kama nini. Anatakiwa awe na uniform colour, please, kama anapenda kuvaa vimino
ReplyDelete