mbunifu zamda george (shoto) akiwa na modo wake katika vazi la harusi alilobuni
mbunifu mkongwe toka mji kasoro bahari anti monica (kulia) akiwa na modo wake katika vazi la harusi alilobuni
mbunifu jamila swai (kulia) akiwa na mamodo wake kwenye vazi la harusi alilobuni
warembo kibao walijitokeza kushuhudia shoo ya mavazi ya harusi ya kimasomaso ukumbu wa nssf waterfront lililoandaliwa na tanzania mitindo house

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2008

    Flaviana kwani ndo unahilo gauni tu la kutokea manake kila picha umevaa kwenye hilo gauni na mkanda wako wa marangi rangi (colie budz picture as reference)(http://sherianamavazi.blogspot.com/search?updated-max=2008-06-06T16%3A34%3A00-07%3A00&max-results=38)... Chunga we star saivi usirudie rudie nguo tena nyakat zinazokaribiana.. tunakuona

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2008

    Warembo wetu nao usafiri mgogoro!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2008

    huyo anti monica mbona kanuna hivyo?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2008

    MIE NIMEPENDA VAZI LA JAMILA.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 16, 2008

    Zamda, congrats! A very bright future is ahead of you. Keep it up baby. De

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 16, 2008

    Mimi nimevutiwa na Jamila mwenyewe! she looks trully African. Nifikishie pongezi zangu kwake da Jamila

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 16, 2008

    Michuzi,
    Natarajia Kufunga Ndoa Mwakani, nimevutiwa sana na Baadhi ya hayo Mavazi.
    hawa madesigner maduka/ofisi zao zipo wapi? Naomba uaziweke hewani tujue ili tukajionee mambo zaidi. naamini hiyo ni sehemu tu ya nguo walizoonyesha siku hiyo

    Sukuma Wiki

    ReplyDelete
  8. Flaviana asugue magoti hayo jamani, yaani yanaboa kama nini. Anatakiwa awe na uniform colour, please, kama anapenda kuvaa vimino

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...